PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Monday, December 1, 2014

THE PROJECT.....

Wapendwa,
Ile project naona imebamba... Hahahahaa
Kwanza let me take this opportunity to Congratulate Diamond kwa kupata tuzo 3 kwa mpigo... Salute you shem darling wa zamani... Tatizo wala sio nyota, man you surely make us very proud!!!

Ila sasa Diamond mie nakaribia kukuchoka na hizo mambo za project...yaani naona kama ni repetitions za matukio yaleyale na ni kama vile unamkomoa Wema kuwa what you did to her you can also do with others (kwangu mie naona ni ushamba) kwanini wewe na Zari msije kivingine????
Ili tuone kweliiii umepata, yale ya nyuma ya kitoto toto umemwachia mtoto Wema na wewe sasa upo na ''ze mutu muzima'' ''ze boss lady'' mnafanya ''ze projekti'' Hahahahaaa...

Kiruuuu, mie bado nasubiria hii season two ya ''ze projekti'' itaishia na episode ngapi??? Nina uhakika haitakaa muda mrefu maana mambo ni yale yale tena haya ya sasa wala hayana kishindo kikubwa kama yaleeeeeee ya movie....
 
 
Wema alikuwa na pajamaz sembuse Zari na gauni kabisaaa!!!
WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMZ WADAIWA KURUDIANA, PICHA ZAO ZA ...
 
Mie nikajua sasa upo na mtu mzima ndio uta'act ki'utu uzima kumbe ni yale yaleee... Hadi naweza kutabiri kesho Diamond ata'post picha ya Zari akiwa anakata mauno jukwaani... Hahahahahahahahaaaaaaa!!!!! Ni utabiri wangu tuu... Chaaaa, mbona kama TeamWema mnaniunga mkono... Si ndio eeeh???!! Kama Madame alikatishwa mauno on the stage, atashindwa nini kukatishwa Ze Boss Lady???!!!

 Wema alibebeshwa tuzo saba sembuse Zari tuzo tatu.. Chaaa!! Diamond nae bana...

MTAZAME WEMA SEPETU SIKU YA KILI MUSIC AWARD 2014 AKIWA NA TUZO ZA ...

RedCarpet's moments ndio zilikuwa za kumwaga na Wema sembuse Zari....

Diamond Platnumz akiwa na Wema Sepetu

Diamond, Wema, Babu Tale na Aunt Ezekiel


BAADA YA KUCHUKUA TUZO WEMA SEPETU AMPONGEZA DIAMOND PLATNUMZ AMUITA ...

Zari my dear, mwenzio alikuwa anakumbatiwa kabisaaa na mate yanaliwa nje njee sembuse wewe umeng'ang'ania mkono... Hahahaaa!!!!

Diamond atwaa tuzo 7 za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 usiku ...

diamond platnumz zari hassan Photos: Diamond alivyotesa tuzo za ...
 And I am soooo ready na season three maana hii two najua inaisha hivi karibuni.... Hahahahahaha!!!

Swala la mama Diamond mie ndio sitaki hata kuliongelea, maana hadi video za kumsifia Wema tushaona, sembuse ya kumkubali Zari... Wapi alivyokuwa anampenda Penny??? lol... Hahahahaaa... Ma'wifi jeeee????
Hayo ebu tuyaache maana may be ningekuwa mie ndio mama akee Diamond labda nisingefanya anything different from what she's doing... (mama's love to the son ni swala la kumuomba tuu Mungu akusaidie aiseee, mtoto mtamuuu atiii..tena akiwa na pesaaaa)

Ila ningekuwa wifi sijui kama ningekuwa mnafki hivi... Mmmmh, hapo ningeona hata aibu kidogo.. Nisinge'post picha hata na mmojawapo kati ya my wifizzzz... Ningesubiria hadi yule wa ndoa, hapo sasa ndio ningejiachia nae hadi mnuneeee!!!
 
 Diamond Platnumz ndio alikua msanii pekee wa Tanzania aliekua akiwania ...



Ni mtazamo wangu tuu... Sipo team yoyoteeeeee!!!

XOXO!!!

3 comments:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT