One thing you all know about me ni kuwa i am a proud mama...yessss, hiyo haina ubishi yaani nio too proud na wanangu... na leo Faith kanifanya niwe more proud na kuzidi kujipenda na kupenda ''the mama'' i am to my babies...
Fred, Faith and Tina...
My babies!!
Don't mind ''minyoosho'' hair-style ya Faith, mama is still learning to do ''minyoosho'' bombaaa zaidi...
Nilifurahi mnoooo... nikaona hii ndio life-style ambayo naitaka, siwezi pray for any other life-style zaidi ya hii...na'enjoy maisha yangu na wanangu...na mume wangu ofcoz!!! Hahahaaaaa
Nafurahia kuweza kuwakuza katika makuzi haya walionayo... yananifurahisha sanaaaa, najiona bongeee la mama, dah...coz most of my friends(wa'mama) walikuwa too busy kuumiza vichwa where to take their kids on Christmass, wengi wakihofia kuwa kila eneo litakuwa too crowded and watoto wao hawatawaelewa wasipowatoa ''out''....nilikuwa nawaelewa, ila sasa nimeelewa na kujifunza kumbe mie wanangu are too special eee, coz i do not have kuwa na worries kama hizo anymore...dah, i am the proudiesttttt mama ever!!!!!
My advise is:
It's so nice when ukiwazoesha watoto wako kutoka mara kwa mara, coz you don't have kuwatoa ''out'' kipindi cha sikukuu kisa everyone does that...
Sisemi kuwa msiwatoe watoto ''out'' on sikukuu noooo, mimi ninachomaanisha kuwa ukimzoesha mtoto ''outings'' za mara kwa mara hutakuwa na presha ya kuwaza kumtoa out,hata kama upo katika mazingira usiyoweza kumtoa ila tuu you have too, kisa ni sikukuu...
Jamani jitahidini muwe mnawatoa watoto, pamoja na mapurukushani yoteeee ya life mjitahidi mpate hata 30min za kutoka na watoto wenu kila mwezi mara moja basi...
For example,the pictures you see zilikuwa za ka'outing flani iviii amazing... Mie na wanangu tulienda zetu zoo kucheck wanyama, we had some bites and drinks then tukarudi zetu nyumbani tume'enjoyyyyyy as if tulikuwa marekani..hahahahahaaa!!!
Simple like that na hapo tume'create memories za kutoshaaa...
The Simba behind Us though...
Bye...
Enjoy the holidays,
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment