PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Thursday, July 3, 2014

DUNIA HAINA HURUMA....

Habari za leo wapendwa!!
leo kuna story imeugusa moyo wangu, i would love to share it with you wapenzi...mimi as any mjasiriamali na muajiriwa pia jamani swala la mdada wa nyumbani(house girl) ni la lazima.. Mimi kama mimi ukweli nisipokua na mdada home najisikiaga kuchizi...yaani nakua totaly crazy maana itanibidi niombe sick leave job, Gf Boutique and Gf Min Depot ita'turn na kuwa 'day care' maana itabidi nizurure na wanangu kila mahali..and you all know that isnt professional,how will i consetrate kwako mteja wangu when Faith wants kubebwa??? Fred anataka pipi and all that purukushanizzz za watoto...Its realy hard....
Even if unaweza kuwapeleka kids day care,still mdada ana umuhimu wake, maana you all know vile unavyorudi home jioni, tired like sijui nini then kazi zote za home zinakusubiri....seriously, mimi apo naeza nikaanza kulia kwanza...But nikifika home, nikakuta nyumba safi,kitchen pako sawa, kids wapo oky yaani nitajitafutiza ata ka'kazi kadogo tuu nifanye ili nimpe dada moyo kuwa she is not alone in kazi,we are 
together..na najitahidi niwe nae karibu like mdogo wangu,nampenda maana najua umuhimu wake in my life..  
Sasa nashindwa kuelewa huyu  Amina Maige (42) aliepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni kujibu shtaka la kumjeruhi kwa meno mfanyakazi wake wa ndani Yusta Lucas ivi alikua anawaza nini????? Kama alimuona hafai si angemuondoa atafute mwingine??? Maana unamlipa,so you must be satisfied na ufanyaji wake wa kazi..and if you are not,basi mrudishe kwao...Mdada wa kazi nae ni binadamu, ni mtoto wa watu,ni ndugu wa watu...nawaombeni msiwafanyie ubaya na ukatili huo jamaniii...
Ebu m'check alivyo mrembo, hata hafananii na unyama aliomfanyia mtoto wa mwanamke mwenzake...lol




AMINA MAIGE
                                                   
Yusta dada wa kazi alokuwa akiteswa na boss wake
Fikiria angekua mwanao au mdogo wako....

Haijapita hata wiki mbili sasa nae huyu Yasinta Rwechengura, anakabiliwa na kesi ya kumtesa hausigeli wake kwa miaka miwili (siku 730),
Mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi.

Yasinta akiwa chini ya ulinzi.

Hausigeli aliyedaiwa kuteswa na mtuhumiwa huyo

House girl aliyedaiwa kuteswa na Yasinta, apo amepelekwa Muhimbili hospital




Video ni Mjomba wa house girl aliyeteswa na Yasinta..
For sure nina huzuni sana leo, tuonane kesho for my today's look...

2 comments:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT