Hi all,
Jana was my hubby's birthday...
And for those ambao mnani'follow Instagram nadhani jana tuli'enjoy pamoja na post zangu za mashauzi, hahahahaa... And kwa wale ambao hamjani'follow, feel free to follow me... User name ni @flowerhenry7
And pia nowdays i am not a very big fan wa facebook so ni fresh if tutakuwa tuna'hook up more on Instagram and here... ila i'll be sharing my blog posts kwa facebook account pia, only sintakuwa na'post events na mambo mengine mengine direct huko.... sawa lovies??!!
On my Instagram nadhani nilishayasema yoooteee ambayo i wanted to say... Ila tuu niongezee kidogo kuwa, nilimpa mume wangu cake yenye noti ya pesa kubwa kuliko zote Tanzania (note ya 10,000/=) maana all i wish for him is nothing but utajiri mkubwaaaa mnooo....
Namtakia wallets zake and his bank accounts zote ziwe full of notes, full of money, maana naona as richer as he becomes ndio na mie nazidi kula batraaaa more and more...
As richer anakuwa na mie ndio nazidi kung'araaa... as richer as anaendelea kuwa anazidi kunipa uhakika na amani ya maisha...hahahaaa Mchagga mie najikuta nazidi tuu kumpenda more and moreee kila siku...
Msininukuu vibaya jamani nampendaga kwa hali zote ilaaaaa hahahahahaaaa.....
Yaani akiwa na hela mume wangu mie ndio nakuwa na rahaaa zaidi, napata kila kitu roho inapenda, nikiguna tuu naulizwa baby unataka nini?? hahahahaaa...
sasa why not nisikazane kumuombea ili Mungu amzidishie nyingiiiii na nyingiiii zaidi??? Kwanini nisiendelee kumtia moyo na kumpenda wakati ma'caring yanaongezeka kila siku, mahaba moto motooo na pesa ndefu juu,kiruuuu!!!
Mungu wa mbinguni ampe vyoteee aviombavyo na zaidi maana utajiri wake unazidisha tabasamu usoni mwangu!!!
Hakika mume wangu ni mume bora... Ni that type of mwanaume ambaye kila mwanamke anasugua goti ampate, ila kwa neema za Mungu ninayemuamini mie amenipa tuu, kirahisi rahisiiii akawa wangu..yaani wangu kihalali kabisaaaa!!!!
Asante Yesu wangu...endelea kumlinda mume wangu, nilindie Yesu, mlinde na nyakunyaku, na zaidi endelea kumpa hofu ya Mungu, na zaidi pia Yesu wangu naomba manoti yaendelee kuongezekaaaaa!!! AMEN....
Aya sasa mseme AMEN wapendwa wa mie...lol,
Owky...about last night sasa...
Tulifanya ka'small party home, mume wangu hapendagi mambo za party party so nilijitahidi iwe tuu simple but lovely ili nisimkwaze...
Sasa buanaaa, mpiga picha wa jana alikuwa my son...Fred Jr.... So kiukweli picha zilikuwa amazing ukilinganisha na his age, hahahahaaa...ila i'll only share with you veryyyyy few pics(za msosi and cake only)...hizo nyingine(za sisi/me,mr and Faith) hadi nizitafakari zaidi then nitajua when to post them...hahahahahahaaaa!!!
Enjoy....
Msosi wote cooked by me...
Mama la mama kwa jiko, yaani ni mambo hatareeeeeeeeeeeee!!!!
Nilipika kitu cha mseto wa wali maharage nazi, yaani that is my son's favorite dish... hahahaaa, hata umpikie mwezi mzima yaani atakula kila siku na tabasamu tamuuu usoni, hahahaaa!!!
Pia nilikaanga cubes potatoes na sliced-ndizi mzuzu...
Nikatengeneza na my own ''plata'' dish... Ni mix fillet ya kuku and king-fish, boneless white meat plata...
I made the chachandu, (nyanya,kitunguu maji na kitunguu swaumu,chumvi and secrete spices, mafuta kidogooo na pilipili mbuzi kiasi) hapana chezea mama la mama akiamua kupika... hahahaaa, najikutaga nakuwa M'pwani ghaflaaa...U'chagga mwisho sitting-room baab, bedroom na jikoni nakuwaga m'zanzibarrrr... Hahahahahaaaaaa!!!!
Bila kusahau kitu cha kachumbari kidogo...cabbage ya kukaanga kidogo, chumvi, nyanya mbichi na tango... That's it!!!!
Nyama-dish ndio ilikuwa noumerrrr zaidi... Apo ni samaki na kuku mixed na spices za maana...zinanukia vizuriiii and tamuu balaaa!!! And hazina mifupa,so you can imagne apo unaweza kula hadi ukajing'ata na vidole...maana ni tamuuuuuuuuuu... Utamu usiopimika!!!
Soft drinks onlyyyy...
My hubby does not take hard stuffs, hanywi pombe kabisaaaaa...no wine no beer no kinywaji chochote chenye kilevi, ni soda maji na juice tuu so since it was his day basiii mambo yalikuwa yanaenda on his favours....
Tuishie hapa and ngoja niendelee kutafakari na kuchambua chambua picha nyingine za ku'post...maanaaaa, hahahahahaha!!! Mpiga picha alitishaaaa...
Happy Birthday Mume wangu kipenzi...
Mwanaume wa maisha yangu...
Fred wangu...
XOXO!!!