PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, November 30, 2016

GF's WORDS OF WISDOM....

Hey all,
Sometimes katika maisha kuna muda tunakuwa too carried away na mapurukushani ya dunia hadi tunajisahau who we are... 
Hiyo hali inatokana na vile kila mmoja wetu anajaribu to do something to make a living... Too bad vile sometimes tumekuwa tukilalamika sanaaa about life...iwe ni about mahusiano kuwa vile hatutaki yawe, au hali ngumu ya uchumi, madeni, maisha magumu na pengine ni maradhi na kero zisizoisha.... 
Sometimes tumekuwa watu wa kulaani, kulaumu na kuona tunanyanyasika tuu kwa kila hali...
Pia tumekuwa tukiota ndoto na kutamani kuwa kama watu wengine...na mbaya zaidiii hadi tumediriki kuwanenea mabaya na kuwazushia uovu wale tunaowaona wana maisha mazuri zaidi yetu... 
Tumekuwa watu wa kusengenyana na tumejawa fitina, uongo, wivu wa kijinga na husda dhidi ya binadamu wenzetu.... Tumejisahau kabisa who we are!!!

I am not here to judge ama kumnyooshea anyone kidole... All i am here to say is...

Sometimes we need to take a pose in life... tutulie na tuache kufanya lolote, just stay still...get the fresh air, breath in and out!!! Just relaxxxx... 
Stop worrying about anything... usimuwaze mtu wala usiwaze kitu for a while, clear your mind for a moment...take atleast 15minutes break from everything... Then start afresh... Be you, that's all matters!!! 
New begining, new you... Usijali about anyone else but yourself maana mapurukushani mengiii yatakufanya tena ujisahau who you are... jiwaze wewe na maisha unayoyataka wewe...Be positive, ondoa kabisa negativity katika maisha yako for a moment, waza how blessed you are to be you... Think about how many people would wish just to be alive ili watimize ndoto zao... Be greatfull for the gift of life... mkabidhi Mungu/Allah mapurukushani yako yooooteeeeeeeee and be thankful maana that's all you have to do and God will do the rest... 
 
Anza kwa kuwaombea na kuwabariki wengine... Muombee mumeo/mkeo, ombea familia yako sanaaaa, ombea jamii nzima inayokuzunguka na uwabariki kwa kumaanisha!!!
Penda kutoa zaidi ya kupokea maana the more you give the more and more you receive, jifunze kutoa and you'll see wonders...
Fanya kazi kwa uaminifu and make sure you don't i repeat DONT ever compete with anyone but yourself... Usijifananishe wala usishindane na mtu yeyote zaidi yako, you are you and nobody can be you...Being you is your POWER, use it!!! 
Ishi maisha yako at your level... Ishi vile hali yako inaruhusu, usijikweze ili uonekane wewe ndie wewe kumbe unaongeza tuu madeni ku'maintain status... Utaumbuka!!!! 

 
Hayo ni maneno yangu ya hekima kwa leo, so as i said i am not here to judge anyone so msini'judge na mie pia, ni ushauri nimetoa na mie nimejishauri pia so take it and come thank me later, 
 
Ila nimeanza-anza kurudia hali yangu ya kawaida eeeeh??!!! Asante diet, hahahahaaaaaa.... maana huu mwili wangu sasa ulitaka kuwa kokoro(In DiamondPlatnamz voice)

And heyyy...that hair style sio kijogoo-style, excuse meee...Iyo ni tetea-style, tetea la mwendokasiiii.... Hahahahhahaaaa!!!

Nawapenda sanaaaaaa!!!
XOXO!!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT