PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Friday, November 25, 2016

I AM VERYYYYY HAPPYYYYY....

Dear ones,
 Si mnajua vile it feels ukipanga jambo then liende kama vile ulivyolipanga... Dah, unapata furaha ya ajabu... Na that is what happen to me leo, can't wait to share all the good news with you all... hahahahaa, yaani nina furaha leo...kiukweli nina raha mnoooo.... mambo ni motoooo!!!! 
Mchagga nilitumwa pesaaa, hahahaaaa.... Yaani mkae tuu mkao wa kula, kunywa na kupendeza... si nilishawaambia kuwa ''Gf'' is too many things in one package eeeh??!!! Na sasa nakuja kivingine tena... All i need is your never die love, muendelee kunipa support tuu wapendwa wangu maana mie na nyieeee.....
Kiukweli tulipotoka ni mbaliiii mnooo, na hadi hapa tulipofika ni kwa Neema tuu na Baraka zake Mungu wetu....Sitamani kuwapoteza hata dakika sifuri, maana nawapenda hatareeee...haswaaaa vile mnavyojuaga kuniungisha, hahahahaa...wallahy nawa'loveee!!!
Don't mind my hair-style maana ilidumu kwa muda wa masaa 48 tuu, hahahaaa... It's just i am too happyyyy hadi najikuta na'post picha nilizoziwekaga kwenye recycle bin...lol, ila Hakuna Matata kwa my t-shirt ndio mpango mzimaaa.... For reallll. hakuna matata!!!

HAKUNA
MATATA
Early December 2016 nitawapa full reasons za mie kuwa this happy leo... 
Ndio ivyo tena nishaamua nyie muwe part of my life...hakuna namnaaa... Hahahahaaa.... nitawaambia tuu, ila leo mjue tuu yaani Gf ana rahaaa mnooo and natamani kila anayesoma hapa na yeye aungane na mie kuwa happyyyy!!!

Be Happy My Dear,
Enjoy the week-end...

Happy Fridayyyy!!!!
XOXO...

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT