God bless you all...
Katika kujibu pia naomba tuu mnisamehe niliowakwaza and mlionikwaza pia consider yourself forgiven!!!
So nimeona kwa vile mwaka ndio unaishia ishia ivyooo....wacha tuzifanye hizo ziwe goals zetu za 2017...
Let's set the goals pamoja, tena mapemaaa ili ikifika tuu 2017 basi tuwe ni kuzifanyia kazi... Hope next year tuwe na day special kwaajili ya kutoa ushauri and kupeana mawazo ya life... Ama vepee??!!
Iyo ipite au isipiteee???!!!! Waiting for your ideas wapendwa wangu... Si mnajua bila nyie mie sio Gf eeeh.... basi nasubiria mawazo yenu....
Can not simama for the picture maana nimekuwa too kibongeee...hahahahaa, but my hair did me wonders!!!! Nywele tamuuuu....from Da'Ruth wangu... Anaziuza and anazishone, yaani unanunua hapo hapo na unasukwa apo apo...tena kwa veryyyy affordable price... Unatoka umependeza na full upako juu...hahahahaaa... Ni'check 0753 891 997 nikuunganishe nae...Kwa wale waliopo Arusha tuu ndio watapata huduma ya kushonewa but kwa wale wa mbali anatuma wivings na wigs, zote originals na za kawaida... Follow her on her Instagram page ili kujua zaidi @ruthhenry81
It's always too good to be here...
Lovely Thursday My Darlings...
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment