Can you guys imagine it's November already??!!! Dah, kweli siku hazigandi...
Na sasa kibabeee kabisa tumeuanza mwezi wa kumi na moja, sifa zote na heshima na shukrani zimrudie aliye juu!!!
Only one month, yaani December should be the month of final-touches tuu...
I personally not there yet, but i am sooo very proud of me maana i am not where i used to be... Atleast nipo ni 80% kukamilisha my 2016 goals... And sijakata tamaa yet na wala sina mpangu wa kukata tamaa ever!!!
So hey, pull up your sox... mwezi mmoja kitu ganiiii??!!
Let's all believe katika Yeye atutiaye nguvu... Mie naamini huu mwezi mmoja nitakamilisha yoooteeee and more than what i planned for 2016... In God i trust, can somebody shout AMEN!!!!
Aya sasa...
Endelea ku'enjoy mapicha picha ya ''our road-trip'' to Arusha...
Me and my F-babies drove all the way from Iringa to Arusha and tukafika as beautiful as we look apo kwa photos... Sooo fresh soo clean, hatuonekani na hata chembe ya uchovu... hahahhaaaa...
Chezea kupania safari wewee, unaanzaje kuchoka kwa mfanoooo??!!!! Hahahaahaha...
Apo tulianza safari usiku usiku and by lunch time tulishatinga A.city... And ofcoz bi.arusi wetu was waiting eagerly for us, so hata before hatujafika home Eve treated us with lunch ya ki'nyota tano at Mount Meru Hotel...

You can not even tell kama nimechoka eee???!!! Hahahahahaa, apo nilikuwa na usingizi hatareeee coz sikulala usingizi mnono and by saa nane usiku we were hitting the road....
Imagine sikulala fresh maana nilikuwa nashtukashtuka kila saa nawaza tuu Arusha, hahahahaaaaa.... Tuliipania hii safari wallahy...utasema tulikuwa tunaenda kuolewa sie...lol... Eve ulichotufanyia wenzako, hahahahahaaaaaaaaa!!!

These babies are something else, yaaniiii safari nzima walilala tuu ile usiku usiku hadi tulipokaribia kuingia Singida wakaamka...huko kwingine koteeee wapo macho wananipigia tuu mastory and wanaplan how wakifika Arusha itavyokuwa...hahahahaaaa!!! My babies ni noumerrr sanaaa... and wakasema safarini lazima eti wasafiri wavae miwani...hahahahaa, kusafiri na hawa wawili wallahy ni rahaaa...tena rahaaa sana!!!
And sikuweza kupiga picha nyingi coz nilikuwa nimepania mnooo kufika Arusha, so muda wa kusimama kupiga picha nilikuwa naona kama tunachelewa vileee... Hahahahaaa, hizo picha za ndani ya gari was arround Singida when my babies walivyoamka i had to stop kidogo for short-calls and to eat...then safari ilivyoendeleaaa ni full kunyookaaa hadi picha nyingine tukaja kuzipiga Mount Meru Hotel - Arusha.... Unaweza pata picha how kupania i was eeeh??!!
Hahahahaaaaa.... 2016 is absolutely an amazing year!!!

At Mount Meru Hotel - Arusha...
Tumeshibaaaa....sasa ndio tukaenda home!!!
Apo ni ''home'' kwetu kwa mjini party two, kunapo tena ''home'' kwetu kwa mjini part one na part three, and tuna ''home'' kwetu kwa kijijini pia...
kote ni ''home'' kwetu maana i was born at ''home'' kwetu pa mjini part one, and raised at ''home'' kwetu pa mjini part two, niliolewa nikiwa ''home'' kwetu pa mjini part three na now my parents shughuli zao wanazifanyia sana kule ''home'' kwetu kwa kijijini... I love being home kwetu pa kijijini more!!!
#Home Is Where My Heart Is....

Love you all,
Kisses & Hugs!!!
No comments:
Post a Comment