Hey lovies,
Nahisi it's a human-nature hata ukimfanyia mema mia na baya moja always atakuwa anakumbuka sana baya zaidi ya mema mengi... Nimejitahidi sana kuepukana na iyo hali ila dahhhhh...kiukweli December isn't on my favor at all... Huu mwezi umeanza na mbwembwe zake not amazingggg kabisaaa kwa upande wangu... Natamani niongee in-deep ila naona nitakuwa namkufuru Mungu... Maana He(GOD) has been bless me zaidi ya vile ninavyostahili from January to November, so kwa haya majaribu ya December tuu kiukweli all i can say is ''Hata sasa Bwana atanisaidia''....
Ila in-short is ''serikali ya auncle-magu si ya mchezo-mchezo...hahahahaaa, wameniharibia mwezi sanaaaa, nimeichukia December yangu kwa ajili yao... T.R.A shikamooniiiii, mmeninyoosha wallahy, nitawakumbuka kwa miaka yoteeee nitakayokuwepo in the game called business...and kiukweli mmenitoa mzuka kabisaaaa wa kumiliki magari, maana sio kwa magari hayooooo mliyonihesabia, lol...mungu anawaona lakini, natamani ata niwatukane, mxiiiuuuu(kusonya)''
Kitu pekee kinanipaga stress ni kupoteza pesa kizembeee,
na mwezi huu kiukweli nimepoteza lotsss of money kizembe kuilipa
serikali ya magu, yess...i call it kizembe maana all happened to me ni
kwa vile sikuwa najua vizuri sheria za tax na how my TIN number
inavyonionyesha namiliki vitu vingi inavyoweza ku-affect ulipaji wangu
wa kodi nisipokuwa makini navyo... Maana nilijiona ''dangote wa kike''
ghafla pale walipo'view my TIN number TRA,hahahahaaaa...kumbe maskini
vitu vingine nilivimilikigi nikiwa sijui kutafuta ata mia yangu... (My
dad alinikatiaga TIN number tokea nikiwa 18years old purposely nipate
driving-licence ila sasa from hapo nishamilikishwaga mali za kutoshaaaa
kwa that TIN number, in reality nyingiiii sio zangu lakini, sasa plus
mali nilizojitafutia ambazo mimi ndio nazijua ni zangu....Uuuuuwiiiiii,
nilikaribia kuzimia etiiii...hahahahaaa, all in all ila TRA wangetakiwa
wawe wanatoa elimu kwa walipa kodi jamaniiii, au wanatoaga???!!! Mimi
sijawahi sikiaga buanaaa) and too bad wakili wangu aliniambia kisheria
Usipojua sheria na ukatenda kosa,utahukumiwa bila kujali ulijua au
hukujua...
That's not fairrrrrrr lakini...Ingekuwaga ukiwa hujui kitu kama ni kosa then ukikifanya ukaja ambiwa ni kosa kuwe na sheria fair ata ya kukusamehe bure, hahahahaaa....ila ndio maana sikusomaga law, and
business-law pia nilikuwa siipendiiiii maana longo longo
nyingiiii...waiiii!!!!
Due to that situation nimeshindwa kusajili biashara yangu mpya so nimei'keep onhold, Mungu akipenda nitaisajili rasmi February next year... Yeah, hii ni changamoto yangu ya December, ila sijakata tamaa bado... plans zangu zimechelewenshwa tuu ila hawawezi kuzifuta kamweee...maana my Heavenly Father ndiye master-planner wangu!!!
So mnajua ni neneee??!! As long as mie ni fighter,
siogopi face-punches... So here i am... Still slayiiiiiiing like i don't
careeee!!!!!(In Zari's voice)
Can't afford to be stressed in this Kitenge-wear... Mh mhhh, this African-print swag is too yummy to be stressed in it!!!
Natupa stress kuleee, mama la mama na'slayyyyy tuu....
All in all, sijasahau kuwa nina vingiiii mno vya kumshukuru Mungu wangu kwa December hii... My kids wame'faulu vizuriiiiiii mnoooo, next year Fred will be in standard two and Faith atakuwa Pre-class one... I am a verryyyy proud mama!!!
wish i'll be able kuwapa batraaaa la likizo.... Stay tune kwa udhamini mnono wa ''sponsor'' wangu a.k.a #MumeWangu... Hahahahaaaaaa....
Mimi apo nawapenda nyang'anyang'aaa....
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment