PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, January 28, 2015

''AYAAAA MKE WANGU NIMEKUPA RUHUSA NIPIGE MPAKA NIKOME'' BY NUH MZIWANDA

Dolls, 
Hapa nina mambo kibao ya kuwaza na kufanya ila Nuh kweli leo ame'make my day... Hahahahahaaa, yaani nimecheka leo hadi machozi,duh!!! Kweli haya ndio mahaba niuweeee... Kina G na Fred tutasubiri sana kufikia huku... Kiruuu,hata siombei kufikia huko aisee!!

''Issue ilianzia Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko Yao lililofanyika Leaders Club, msanii Shilole alimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh alikua hataki kuondoka nae eneo la tukio, mchekeshaji Steve Nyerere alijitokeza kuamulia ugomvi na kufanikiwa kumtoa Shilole eneo lile lakini baada ya muda Shilole akarudi na kumdai funguo ya gari Nuh ambaye siku hiyo alionekana kuwa mpole ikabidi mabaunsa waingilie kati na kumtoa kwa nguvu shilole, baadae Nuh alionekana akitoa machozi na Malkia wa Taarabu Khadija Kopa alionekana akim'bembeleza na kumfuta machozi''

Ruwa mangi, keleuwiiiii....
Haikuishia hapo, bado Nuh akaenda kujielezea huko Instagram
 

 Naona apo Shishi alimuonea huruma Le-muchumba, nae akatoa yake ili kuzima soo... Sie wazungu tunasema ali'nutralise situation!!!
Ila mashabiki wake walimpondajeeee,kujua comments za mashabiki Ingia Insta page ya Shilolekiuno!!
 
 

Uuuuuwiiii, ningekuwa mie ndio wifi wa Shilole yaani dada ake Nuh,hahahahaaa.... Ningebebwa na mbeleko la chuma maana ningekinukishaaaa!!!

Naona kama Nuh bora angebaki kimya tuu amuache Shilole ajiongeleshe eeeh???
Sasa Nuh kweli ndio umekubali upigwe hadi ukome??? Hahahahaaaaaa, kweli love is on the air!!!

Ila kwa vile hawanihusu, na wenyewe wamesharidhiana kama ivo...wacha sie tubaki na midomo wazi tu!!!Haaaaaaaa....

Na mie namalizia hiviii....
 
 Ayaaa,mume wangu nimekupa ruhusa Nipige mpaka nikome... Hahahaahahaaa!!!


XOXO...
 

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT