Happy Saturday to you all... Karibuni sana katika blog yangu ili tu'enjoy na mambo mawili matatu siku ziende... Maana kwa usawa huu wa magu wallah usipopata kitu cha kuku'enjoy'isha unaweza zeeka kabla ya umri wako... And who wants kuzeeka??!! Hahahahaaa, akuu bab...
We started vacation yetu kwa a road trip, Iringa to Mbeya... It was amazing at the start... Kumbuka my hubby was not arround, so it was me and the kids only!!!
I was the driver, mama and mpiga picha at the same time so poleni kwa picha mbaya and chache...
Next morning, wote tulikuwa super fine... Na safari ikaendelea hadi Mbeya...
Apo sasa safari was non-stop, coz we were almost out of ratiba yetu..tuli'plan kukaa Mbeya two days yaani iyo siku tuliyofika ilitakiwa ndio iwe day one in Mbeya, kesho yake iwe day two and our flight ilikuwa iondoke jioni of day two... Arusha pia two days yaani asubuhi ya siku next to the day tumeenda, then kesho yake na keshokutwa yake our flight back to Mbeya was mchana...tukirudi Mbeya tushinde huo mchana and jioni then tulale,kesho yake we hit the road back to Iringa... So kulala Makambako kulisababisha muda wa kukaa Mbeya kupungua kidogo... Coz tulifika Mbeya mchana, and we had kwenda Songwe kuhakiki everything was clear for safari ya kesho yake so tulichoka sanaaa... Hata hatukuwa na muda wa kuzurura Mbeya siku iyo... Tulilala tuu and the next day tukachelewa sana kuamka so tulivyoamka tuu tulijiandaa for safari...
Here comes day one in Arusha... And Doctor wa familia came all the way from Moshi to pick us... We love our Debby a lotttt, straight akatupeleka kwanza ku'enjoy...maana tulimwambia tunataka ku'enjoy na ku'creat memories nyingiiii sana kwa muda mfupi...
So she took us to the snake park... Meserani snake park Arusha...
Mie nimeshaendaga huku several times ila that time nili'enjoy sana coz nilikuwa na wanangu...and ilikuwa mara yao ya kwanza kwenda at the ''snake park'' and to see big snakes live...
Tulimpata park-keeper yupo deep huyooo, maana alituelezea kila kitu about snakes... na tena ni aina nyingiii mno za nyoka, ila anazijua hatariiii...na anajua kuadithia aiseee...
Snakes are not something to like ila ukiwajua na ndio upate wa kukuadithia about them kama huyu aliyetuadithia sie wallahy unaweza jikuta umeanza wapenda nyoka...
Snakes are not something to like ila ukiwajua na ndio upate wa kukuadithia about them kama huyu aliyetuadithia sie wallahy unaweza jikuta umeanza wapenda nyoka...
Tupo makini kusikiliza historia za nyoka...Apo akituelezea how they get them..its sooo interesting, na kuna nyoka wanaozaa kabisa nyoka-watoto na wengine wanataga mayai...
And most of nyoka ni wapole in-nature, wanakudhuru tuu pale wanapohisi kuwa thretened...so most of them iyo ni deffesive mechanisim,otherwise ni nyoka wachache sana wakorofi... Na hao wakorofi ni wakorofi haswaaa....kunao huyo mkorofi mmoja tuliambiwa ni adimu sanaaaa, ila sasaaa...uyo mmoja tuu akicharuka anaweza maliza kijiji kizima chenye more than 1,000 people in 25min...
kiruuuu!!!...they are surely not something to like eeee...(in my Kichagga voice)
And most of nyoka ni wapole in-nature, wanakudhuru tuu pale wanapohisi kuwa thretened...so most of them iyo ni deffesive mechanisim,otherwise ni nyoka wachache sana wakorofi... Na hao wakorofi ni wakorofi haswaaa....kunao huyo mkorofi mmoja tuliambiwa ni adimu sanaaaa, ila sasaaa...uyo mmoja tuu akicharuka anaweza maliza kijiji kizima chenye more than 1,000 people in 25min...
kiruuuu!!!...they are surely not something to like eeee...(in my Kichagga voice)
My kids sio waoga jamani...ni majasiri hatareee, na vile yule park-keeper alikuwa anawatoa uwoga, loh.... Walivyokuwa wanahoji sasa,hahahaaa...
We really creates memories of a life time!!!
We really creates memories of a life time!!!
Baada ya nyoka, tukaanza na mamba na kenge... Check walivyo makini apo...
Aya sasa, hapooo ndipo patamu... Tukafikia pale kwenye nyoka wapoleee kuliko wote, and we hadi ku'prove... Akaanza kwanza Doctor, apo mie natetemeka balaaa... hahahahaaa
Look at her, comfortableee yaani na nyoka... Uuuuwiii!!! Apo mie sijashawishika kabisaaa bado kuwashika aiseee....
But my kids walikuwa wanatamani kuwashika nyoka, so it was dreams cames true!!!
Akaanza kaka la kaka!!!
Then my girl...
Baada ya hapo sasa na mie nikamshika, from Faith to mama... Dah, nilikuwa natetemekajeeee
Nipo, pleaseee nyoka be gentle, i wanna kiss u!!! Hahahahahaaa...
After nyoka sasa vinyonga... kiruuuu!!! Hapa aisee mie nikagoma...and nikagoma hata wanangu wavishike... Mie nikikiona kinyonga napata vipele vya baridi mwili mzima ghaflaaa...lol
So alivishika tuu Debby...she is fearless, ndio maana anapenda udaktari...mie...aku!!!
So alivishika tuu Debby...she is fearless, ndio maana anapenda udaktari...mie...aku!!!
Then kwenye ndege...wild birds!
Peace and love!!!
From there then tukaenda for camel-ride... Aaaaaw, was amaziing...
Wote, mie na wanangu tulishawahi kuona ngamia live, ila hatujawahi kupanda... So it was the very first time kupanda ngamia
Ngamia wakasogezwa, na kuandaliawa...
Then wakaanza Fred Jr na aunty Debby... Kiukweli it was scary but amazing!!!
Look at them.... yeeeyaaah!!!!
Waliporudi sasa ni zamu ya mama na binti wa familia...
Tisa kumi kwenye mwendo wa ngamia kinachotisha ni anaponyanyuka na anaposhuka...Uuuuuwiiii!!!!
From there tayari ilikuwa jioni, tukaenda for a dinner then home kulala...
Day two in Arusha... Breakfasting!!!
We really loveee eating...
Eve is gonna kill me for posting these pictures...Hahahahaaaaa, but she was realy good...and veryyyy pregnant ofcoz!!!
Ila aliniruhusu kuzi'post after akijifungua, na niliheshimu maamuzi yake, sikuzi'post hadi baada ya kujifungua ndio nilianza post picha zake za pregyy... I respect peoples privacy, ingawaje mie siwezi aiseeeee....hahahahaaaaaa, hata ultrasound tuu ya 14days nikipiga ni lazima nita'post lol...apo nasubiria tumbo likue tuu nipige picha za mapozi yoteeeee ninayoyatamanii na nizipost zoteee!!! Hahahahaaa...''we all got that sisy aliye kama mimi'' lol
Baada ya kupata huduma then home for lunch....
Ugali kuku wa kienyeji....
Sie kwa misosi buanaaaa hatutakagi sports sports kabisaaa...
Baada ya lunch, tukapumzika kidogo then tukaanza kuandaa ''choma'' yetu wenyewe at home back yard...
Apo nikiwaelekeza wanangu how to use hilo jiko...la kinyumbani zaidii... then we all do the choma
Fred akijaribu to put the nyama kwa jiko...
And Doctor is gonna surelly ninunia for posting this picha..hahahahahaaa...buanaaa, si kitengee tuu,ama??!! Basi usinune na mie nitapost yangu na shuka masai...
hahahahaaaaa..that was me, ila kinywaji ni kama tulikuwa na wageni sijuiiii, maana hakinihusuuuuu!!!lol
Tulilala sanaaaaa.... So the next day tulipata the very late breakfast na kuondoka zetu back to Mbeya...
hahahahaaaaa..that was me, ila kinywaji ni kama tulikuwa na wageni sijuiiii, maana hakinihusuuuuu!!!lol
Tulilala sanaaaaa.... So the next day tulipata the very late breakfast na kuondoka zetu back to Mbeya...
Kwa kula tuu...tupo freshhhh!!!
Back to Mbeya tulikuja na Doctor Debby, she had some things to do in Mbeya then anarudi Moshi the next morning... And tulifika Mbeya arround saa kumi jioni, from Songwe sie tukaenda kucheza kwanza then Doctor akaenda kufanya ''issues'' zake and then akatufata tupofikia....tukaendelea kucheza kidogo tuu and giza hilo, so we had dinner pamoja....
And here is our Doctor... Enjoying Mbeya weather...
Thank you so much for all the time we spent kipenzi chetu... We love you so much Debby, next anniversary pia tutakuaika tutakapokuwa aiseeeee....you made us so very happy, tuli'enjoy mnooo kiukweli... (ila tuu kunikataza kupiga picha kwenye ndege bado nimeku'mind, nitumie basi ata ile selfie nzuri moja tuu..lol)
Going for dinner at a very nice hotel in Mbeya city...
Then kulala na kesho yake mapema sanaaaaa, Debby alirudi Moshi na sie tukaanza safari yetu ya kurudi Iringa...It was a non-stop driving, by saa sita mchana we were home having lunch!!!
And still hubby was not there, so ni full kumuadisia tuu hadi akaona kama na yeye alikuwa na sisi pamoja...
Once Again, Happy Wedding Anniversary To Me and My Hubby!!!! Thank You For Everything!!!
XOXO...
And still hubby was not there, so ni full kumuadisia tuu hadi akaona kama na yeye alikuwa na sisi pamoja...
Once Again, Happy Wedding Anniversary To Me and My Hubby!!!! Thank You For Everything!!!
XOXO...