I have been busy kidogo kwa hizi past few days nilikuwa namalizia malizia the new project ambayo sasa ipo ready kuwa introduced kwenu...
Actually it has already been introduced kwa wale ambao wanani'follow on my Instagram account... (go follow me @flowerhenry7 ) and special account for cosmetics is @e.zone_cosmetics
Follow us on instagram account iyo apo...
E-Zone Cosmetics is located in Iringa town, jirani kabisa na GF MIN DEPOT
Tutakushauri jinsi ya kutunza na kuboresha:
- Ngozi yako
- Kucha zako
- Nywele zako
- Lips na macho yako
- Miguu yako
- Umeungua na creams feki??!! Njoo tukurudishie ngozi yako ya asili then sasa uanze upya kuutafuta uzungu...
- Una sugu na rangi tofauti tofauti mwilini na usoni??! Ata usiwaze yaani wee njoo tukupe products za kukupa rangi moja mwili mzima...
- Una michirizi ya unene/mimba/creams??!! Karibu ufute michirizi, madoa, makovu na mabakabaka yoteee mwilini
Kwa wale wa ku'keep it natural nao pia kuna lots of products ambazo zitawafanya waonekane watanashati zaidi na wenye nuru ya asili...
Please dears, spread the news!!!
Mawasiliano; 0753 891 997
KARIBUNI SANA...
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment