How are things.. Mie nipo cool kabisa naendelea fresh with my daily activities!!
This is my last week end story, and I am thankful it ended well...
Last week'end kulikuwa na graduation at Iringa University so I expected to be damn busy.. Niliamka mapema sana, by saa moja asubuhi nilikuwa at the Gf boutique hadi saa nne, then nikaenda high'land hall kupeleka drinks (nilikuwa na oda) after hapo yaani the day was so cool, nikakaa Gf Min-Depot kidogo then nikaenda zangu saluni maana sikuwa na oda kubwa tena at the depot...
Imagn kila saluni ninayoenda nikawa nakuta watu kibao, kama saluni nne sasa finally nikaamua tuu nitulie nisubirie folen yangu ifike, from saa sita hadi saa kumi na moja jioni ndio kwanza nimefumua tuu na kuosha, vile nakaa sasa nianze kusukwa, my dadaz wakanipigia simu niende nikawasaidie maana wamezidiwa na wateja... Mmmh, nikahisi my be wanataka tuu niende ili tuwahi kufunga mapema na wao waende kwenye masherehe, so I was like ''Oky, nakuja baada ya nusu saa wapendwa''
Kama dakika tano tena akanipigia simu mtu nisiyemfahamu, ''dada utachelewa sana maana navipeleka vinywaji Tumaini and wanavisubiria"
Heeee, kumbe was a very serious deal, nilikurupukaje na nywele zangu robo kichwa huyoooo, nikafika Gf Min-Depot sasa...
Aaaah, nikataka kusema weee natania ila Mchagga mie nikawaza it's almost saa moja jioni, sina mpango wa kurudi saluni tena, ni kwenda tuu kufunga offices na kurudi home (maana na nywele zangu robo nitaenda wapi??) lol.... nikatulia nikachukua zangu laki yangu mie, nikakabidhi funguo za gari, hahahahaa...
I had to call hubby anifate sasa, akanifata... He wasn't so happy about it but nilijielezea mwenyewe acha tuu, and he was like ''kweli wewe Mchagga'' Hahahaa...
Tukaenda kufunga office zetu then home.. Ikabidi nifumue tuu zile nywele sasa ili niweze ata kuvaa wig..
Sunday after church nikafata gari, lilikuwa safi and everything was oky...
So nimepata fursa mpya ila I'll do it kwa wale watu wa Iringa mjini tuu for now, and itakuwa a little bit proffessional this time, ''NAKODISHA GARI'' so ukiwa na kasherehe mwaya and you need a black car please nicheck kwa 0753 891 997, tutaongea about my terms and conditions, ukiziweza basi tutafanya biashara!!!
(Ina uwezo wa kubeba watu saba pamoja na dereva ni nane, nyuma ina 3 seats, kati 3 seats and mbele 2 seats..It's luxurious car and rangi ya Black inapambika kiurahisi...) Vingine utaona mwenyewe when you need it!!
5 Special thanx....
Kwanza namshukuru Mungu kwa kunifanyia supprize ya wateja almost muda wa kufunga office.. Amen!!
Pili niwashukuru kipekee my dadaz (Mariam & Fatma) Asanteni sana wadogo zangu mie, nawapendaaa...Bila nyie siwezi kujishaua mujini mie!!!
Third kwa that friend of mine alienipa ushauri wa kutumia tuu my car kupeleka mzigo (shogaa ulinipatia laki moja ya faster aisee) Hahahahaa..
Nne to my hubby kwa kuwa muelewa.. Thanx darln!!
Tano na mwisho ni kwenu nyote mnaowaelekeza watu a place to buy drinks (maana that mtu alisema alielekezwa Gf Min-Depot na mwanachuo, ata simjui ni nani ila Asante sana mpenzi wa mie) Endeleeni na moyo huo huo eeh...
Nawapenda woteeee,
XOXO!!!
kwel ww mchaga maana unapenda hela so kila fursa inapotokea huiachi ipite, u r my role modal g
ReplyDeleteyani kuna kipindi nilitakaga nikuambie iyo ishu ila nikaona ungenichamba, si unajua wadada wa mjini hamtakagi magari yenu yaendeshwe na mtu mwingine, kumbe unaruhusu,nitakuwa nakupa dili kila jmoc mpnz. Jane
ReplyDeletemariam adi kavua viatu, hahaaa.. nakupenda tuu unawajali sana wafanyakazi wako wanakujagawashamba ila wiki tuu wanakuwa wa mjini
ReplyDeleteHahahaaa mchaga wangu... ila dada mariamuuu
ReplyDeleteKweli G mchaga
ReplyDelete