Dah, yaani mambo yanayoendelea kwenye jumba la Big Brother ni shiiiiiidaaaa!!!! Hahahahahaaa... Jana usiku as it happen kila friday kulikuwa na party ndani ya jumba, so washiriki wanakula, kunywa na kufurahia maisha!!! Our one and only dadaa Laveda baada ya kupata kinywaji huyooo akaenda zake kitandani, akajifunika mara miguno ikaanza kusikika...Hahahaaa!!
Dont forget, Laveda yupo katika hatari ya kutoka... Please vote for her!!! Abaki baki tuu even if anaonekana ka'miss real life but ndio mchezo huo mamito!!! All the best Laveda!!!
Ukitaka more news of Big Brother ingia hapa www.bigbrotherafricans.com
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment