PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Saturday, January 10, 2015

BOSS LADIES WAMECHARUKA... HAHAHAHAAA!!!

Hey dears!!!
Pole kwa kuwaacha kitambo, but leo nipo hadi mtafurahi... As usual mje na ndimu za kutosha kabisaaaa!!!!
Updates.....
King Lawrenc alitusubirisha eti alikuwa anafanya transactions na kaka (Diamond) lol...

 Tukasubirijeeee.......

Sasa hapa ni matokeo, after transactions kukamilika... Kulingana na maelezo yake!!!

Mission was well accomplished!!

 Mambo mapya sasa....

Sijui wanataka kutufanya nini sasa hawa watu, maana linapoa hili linaanza lingine... Si Hudda (Boss Lady wa Kenya) nae akaanza saga jipya huku akiwa na full support ya wifi Zari.....



Majibu ya shemeji wa wifi sasa... Uuuuuuuwiiiii, huyu kaka aisee ni noma.. hafai kuwa buzi wala kichwa huyu maana anakuumbua mchana kweupeeee!!!!


 
 
Anatoa na evidence kabisa... Duh!!! King jamaniii mbona sasa nimeanza kukuchoka nawee!!! Heeee, hayo mambo yenu ya ndani unatuanikia iviii...keleuwiii!!!


 Hudda alijaribu sana kujielezea... Na huyu nae akajitokeza aka'back up story ya Huddah...

 Ila ndio kwanzaaaa Lawrenc aliendelea kutupa ma'evidence hadi finally Huddah akaamua kumaliza movie ki'utu uzima!!! Hahahahaahahaa... Shikamoo Huddah, hapo umemaliza mzizi wa fitna kabsaaaa!!!!!





Aya wapendwa... Mie pia bado nashangaa na kuzubaa kabisaaa nikiwaza kila kilichoongelewa hapo??? 
Ivi kweli kaka Diamond alikubali mkwanja akamuacha Zari akalee wanae au???? Ina maana project ndio imemalizwa na King Lawrenc ama???
Alafu ni kweli Huddah wasn't dating Lawrenc??? Na mbona hakukataaga tokea enzi na enzi sie tunajua they were dating kumbe ni mashauzi, why akatae now baada ya kuumbuliwa kuwa she was paid for one night tuu???
Na hizo tuhuma kuwa King ni gay jeeeee???
 Mmmmmmhhhh..


Be here tushangae pamoja!!! Thank you all who keep tagging me ma'story ya Insta... Tag me @flowerhenry7

Nawapenda sana!!
XOXO!!!

Wednesday, January 7, 2015

NEW ADDICT OF SELFIE ....

Hey...
Yaani nikishamaliza tuu kufanya stock, hii ndio kazi inayofatia... Ni mwendo wa selfie tuu!!


Nimejisikia tuu kuji'post ivo...




This Is My Blog.. You got problem with what I post deal with it PERIOD (In Zari's voice) Hahahahahhaa!!!





Worth editing...

 aya, hii ni bonous Selfie-pict!!

XOXO!!!

BOSS LADY Vs KING LAWRENC

Dolls...
As I promised, siongelei issue ya ''project'' hadi ije kivingine... Hahahahahahaaaa.... Sasa leo imekuja na sura pamoja na shape mpya kabisaaaaa!!!

Ni vita kati ya wifi yetu (Zari) yaani mpenzi wa kaka (Diamond) Vs shemeji yake (mdogo wa Ivan)
Wasiomjua Ivan ndio mtalaka wa Zari, ndiye baba wa watoto watatu wa kiume wa wifi yetu na ndiye business partner wa Zari (As the part of their divorce agreements ni kwamba wana'share mali zao pamoja) Mmmmh!!!

Aya sasa turudi kwenye point yetu...
Yaani huko Instagram na Facebook ni full maneno moto moto...
Alianza Lawrenc(mdogo wake Ivan) kutetea haki za watoto wa Zari kama hiviii...
 Sema ukweli mimi am Zari's fan, yaani ukweli nampenda sana Zari ila nilijisikia vibaya sana siku alipost eti ni birthday ya mwanae then yeye anamsindikiza Diamond sijui Rwanda, mmmh... but alisema akirudi atamfanyia bonge la party so nikawa mpole nikaona atleast atamfariji mtoto...
Ila hadi sasa bado sijaisikia hiyo party, ndio kwanzaaa juzi alikuwa tena bongo... Kiruuuu!!!
So hapa Lawrenc alivyopost nikasema safi sana, sometimes we need people like him ili watukumbushe majukumu yetu..

Ila sasa.. nikaja kushangazwa na post ya Zari, yaani ni majibu ambayo yanaonyesha kabisaaaa yana reaction ya kukasirika, kudharau na kujishuku...
(Zari tunayemjuaga kwanza hata hii post asingemjibu, kweli mapenzi yana nguvu, hahahahaaa)

Jibu la Zari ndio hiloooo.....


Keleuwiiiiii... Nadhani shemeji wa wifi kuona hilo jibu kaitwa dereva (Wakati anajiweza hadi amefikia level ya kuwa ''boy-friend'' wa BossLady Wa Kenya Huddah, hahahahaa) roho ilimchafukaaaa!!! Akili ikamrukaaaa!!! Akacharukwaaa....

Akaanza kuonyesha na yeye jeuri ya pesa!!!
 
Hapo sasa Zari akaona ''beiby'' kadhalilishwa so nae aka'post something kuwa jamaa ni gay, anahitaji wife and bla blaaasss!!!

Keleuwiiii, shemeji wa wifi akarudi na hili... Full evidence za Zari akimuomba hela..
Jamaniii shemeji wa wifi, kwanini lakini umemfanyia wifi yetu mambo za aibu hivi...

Hapo wifi akaona kuna mengi yata'postiwa aisee, akasema "kweli when they see you happy they start to hate you'' then akakaa zake kimya kuepusha shari!!

Hapo hajui Lawrenc ndio kashayavulia maji nguo!!!
Akatoa final offer.... 


Kimya kikaendelea sasa akaamua kumwaga mchele kwenye banda la kuku kabisaaaaaa!!! 
Haaaa, yaani kajitoa ufahamu etiiii

 

Nasikia na Clip za aibu zaidi zipo njiani ku'postiwa If Zari wont go back to take care of her boys na aachane na Diamond kwa gharama yoyote!!


 NB: Sitaki kujua kama you are thinking what I also think, hahahahaa... Huyu shemeji wa wifi siku zote alikuwa wapi asimzodoe Zari???? Na Zari anasema when you are happy ndio wanaanza kumchukia, kwani kuna siku Zari posted she is not happy??? Aiseee, mimi ninavyojua If mkiwa wapenzi na mtu,mkaachana alafu akaona ume'move on happily ndio anaweza akaanza kukuchukia... Sasa Jeee, ni kweli Zari alikuwa ana uhusiano wa kimapenzi na shemeji yake??? (Keleuwiiiiiiiiiii....)
Au ni Ivan anatumia account ya mdogo wake kumchafua wifi yetu????
Maana haya yote ukiyasoma kiustaarabu lazima ugundue posts za Lawrenc ni za kumchafua Zari na anazipost akiwa na wivu uliochanganyikana na uchungu wa mapenzi, si bureee aise!!!! Kuna kituuuu....
Alafu pengine zile hela alizoomba Zari zilikuwa zinatoka kwa Ivan eeeh??? 

Uuuuuwiiiii, hadi hapo jamani mie ndimu zangu nishazimaliza, maana nimezilamba mwanzo mwishoooo.. Ngoja sasa niwahi sokoni niongeze na malimao, na ndimu ya unga na vinegar pia!!!
Hahahahaa...

Msisahau birthday inaendela the whole week eeeh... Na Cake bado ipo so karibuni woteee!!!
 
Nawapenda sana sana sanaaa!!!
XOXO..

MORE BIRTHDAY GIFTS..... HAPPY ME!!!

Hey dears..
Yaani am in my birthday moody wiki nzima, naendelea kusherehekea till next Monday!! hahahaahaa... 
So If ulikuwa bado hujatuma zawadi yaani wala hujachelewa!! Napendaje mazawadi, wewe nitumie tuu mwaya!! Ila zawadi ziwe za kula kula tuu kwa sasa, other zawadi sintazipokea...

Jana my dear Janeth alini'supprize at Gf Min-Depot na mazawadi matamu matamuuuu...
Thanx sana my sweetie, yaani acha tuu ninenepeeee then next week nianze diet serious maana hizi zawadi mnazoniletea ndio haswaaaaa ninazozitaka mie mtoto!!!


Janeth & I



Yammmyyyy!!!



And this one nimeletewa this morning... From the business fellow Mr.D Kipepe, Thank you very much man!!


Aaaaww...


Nawapenda wote...
XOXO!!

Monday, January 5, 2015

THESE POSTS MAKE MY BORN DAY MARVELOUS....

Hey dolls...
Yaani I realy appreciate kujali kwenu.. Hata wale mlio'post in a short form ''HBD'' mmeugusa moyo wangu in a very special way...

Ila sasa kati ya posts zilizonipa raha zaidi ni hizi hapa... Nimeona nisipozi'appreciate kiukweli sintawatendea haki wapendwa wangu hawa....
This is from Eve, posted on My Instagram page...


Love you loads my Eve... Thank you very much Victoramua, Siamolla Lollypq02, Jennygee255 and my wii karen.ngondi
 
The other post ni hii...


Hahahahaaa... Kesho asubuhi asubuhi utanikuta nimesimama Barclays nakusubiria nikupe cake yako aiseee... This is so sweet of you darling!!


Nyingine ni hii..

This is beautiful, I love every word apo maana they are all true... Uuuuwiii, nakupendaje sasa na mie!!!



This wasn't a post ila is something makes my born day marvelous pia...
 She just like all my pictures.. I realy appreciate it dear Sia... Love you and I miss you so big my long'time friend!


Aya hii ya mwisho sasa, ipo kwa mya facebook page, its from my Original soul, My one and only Fred, my mume... I love you too darling!!
Happy Birthday My Lovely Wife... Mungu akujaalie long life with great achievements!! Love you!!
— with Flower Henry.
Happy Birthday My Lovely Wife... Mungu akujaalie long life with great achievements!! Love you!!Hakuishia hapo yaani akani'postia na picha pia... Hahahaa, My mume posted a picture..i love it sweetie, najua hivo ni kati ya vitu vigumu kuvifanya but you did it for love and am touched!!

Niishie hapa sasa, Nawapenda sana wapendwa wangu...
Happy Birthday To Me Once Again!!!

XOXO..

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT