Yaani I realy appreciate kujali kwenu.. Hata wale mlio'post in a short form ''HBD'' mmeugusa moyo wangu in a very special way...
Ila sasa kati ya posts zilizonipa raha zaidi ni hizi hapa... Nimeona nisipozi'appreciate kiukweli sintawatendea haki wapendwa wangu hawa....
This is from Eve, posted on My Instagram page...
Love you loads my Eve... Thank you very much Victoramua, Siamolla Lollypq02, Jennygee255 and my wii karen.ngondi
The other post ni hii...
Hahahahaaa... Kesho asubuhi asubuhi utanikuta nimesimama Barclays nakusubiria nikupe cake yako aiseee... This is so sweet of you darling!!
Nyingine ni hii..
This is beautiful, I love every word apo maana they are all true... Uuuuwiii, nakupendaje sasa na mie!!!
This wasn't a post ila is something makes my born day marvelous pia...
She just like all my pictures.. I realy appreciate it dear Sia... Love you and I miss you so big my long'time friend!
Aya hii ya mwisho sasa, ipo kwa mya facebook page, its from my Original soul, My one and only Fred, my mume... I love you too darling!!
Happy Birthday My Lovely Wife... Mungu akujaalie long life with great achievements!! Love you!!
— with Flower Henry.
— with Flower Henry.
Hakuishia hapo yaani akani'postia na picha pia... Hahahaa, My mume posted a picture..i love it sweetie, najua hivo ni kati ya vitu vigumu kuvifanya but you did it for love and am touched!!
Niishie hapa sasa, Nawapenda sana wapendwa wangu...
Happy Birthday To Me Once Again!!!
XOXO..
Yeeees and we love u more
ReplyDelete