As I promised, siongelei issue ya ''project'' hadi ije kivingine... Hahahahahahaaaa.... Sasa leo imekuja na sura pamoja na shape mpya kabisaaaaa!!!
Ni vita kati ya wifi yetu (Zari) yaani mpenzi wa kaka (Diamond) Vs shemeji yake (mdogo wa Ivan)
Wasiomjua Ivan ndio mtalaka wa Zari, ndiye baba wa watoto watatu wa kiume wa wifi yetu na ndiye business partner wa Zari (As the part of their divorce agreements ni kwamba wana'share mali zao pamoja) Mmmmh!!!
Aya sasa turudi kwenye point yetu...
Yaani huko Instagram na Facebook ni full maneno moto moto...
Alianza Lawrenc(mdogo wake Ivan) kutetea haki za watoto wa Zari kama hiviii...
Ila hadi sasa bado sijaisikia hiyo party, ndio kwanzaaa juzi alikuwa tena bongo... Kiruuuu!!!
So hapa Lawrenc alivyopost nikasema safi sana, sometimes we need people like him ili watukumbushe majukumu yetu..
Ila sasa.. nikaja kushangazwa na post ya Zari, yaani ni majibu ambayo yanaonyesha kabisaaaa yana reaction ya kukasirika, kudharau na kujishuku...
(Zari tunayemjuaga kwanza hata hii post asingemjibu, kweli mapenzi yana nguvu, hahahahaaa)
Jibu la Zari ndio hiloooo.....
Keleuwiiiiii... Nadhani shemeji wa wifi kuona hilo jibu kaitwa dereva (Wakati anajiweza hadi amefikia level ya kuwa ''boy-friend'' wa BossLady Wa Kenya Huddah, hahahahaa) roho ilimchafukaaaa!!! Akili ikamrukaaaa!!! Akacharukwaaa....
Akaanza kuonyesha na yeye jeuri ya pesa!!!
Hapo sasa Zari akaona ''beiby'' kadhalilishwa so nae aka'post something kuwa jamaa ni gay, anahitaji wife and bla blaaasss!!!
Keleuwiiii, shemeji wa wifi akarudi na hili... Full evidence za Zari akimuomba hela..
Jamaniii shemeji wa wifi, kwanini lakini umemfanyia wifi yetu mambo za aibu hivi...
Hapo wifi akaona kuna mengi yata'postiwa aisee, akasema "kweli when they see you happy they start to hate you'' then akakaa zake kimya kuepusha shari!!
Hapo hajui Lawrenc ndio kashayavulia maji nguo!!!
Akatoa final offer....
Kimya kikaendelea sasa akaamua kumwaga mchele kwenye banda la kuku kabisaaaaaa!!!
Haaaa, yaani kajitoa ufahamu etiiii
Nasikia na Clip za aibu zaidi zipo njiani ku'postiwa If Zari wont go back to take care of her boys na aachane na Diamond kwa gharama yoyote!!
NB: Sitaki kujua kama you are thinking what I also think, hahahahaa... Huyu shemeji wa wifi siku zote alikuwa wapi asimzodoe Zari???? Na Zari anasema when you are happy ndio wanaanza kumchukia, kwani kuna siku Zari posted she is not happy??? Aiseee, mimi ninavyojua If mkiwa wapenzi na mtu,mkaachana alafu akaona ume'move on happily ndio anaweza akaanza kukuchukia... Sasa Jeee, ni kweli Zari alikuwa ana uhusiano wa kimapenzi na shemeji yake??? (Keleuwiiiiiiiiiii....)
Au ni Ivan anatumia account ya mdogo wake kumchafua wifi yetu????
Maana haya yote ukiyasoma kiustaarabu lazima ugundue posts za Lawrenc ni za kumchafua Zari na anazipost akiwa na wivu uliochanganyikana na uchungu wa mapenzi, si bureee aise!!!! Kuna kituuuu....
Alafu pengine zile hela alizoomba Zari zilikuwa zinatoka kwa Ivan eeeh???
Uuuuuwiiiii, hadi hapo jamani mie ndimu zangu
nishazimaliza, maana nimezilamba mwanzo mwishoooo.. Ngoja sasa niwahi sokoni niongeze na malimao, na ndimu ya
unga na vinegar pia!!!
Hahahahaa...
Msisahau birthday inaendela the whole week eeeh... Na Cake bado ipo so karibuni woteee!!!
Nawapenda sana sana sanaaa!!!
XOXO..
No comments:
Post a Comment