PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, May 20, 2015

OOH NOOOO.....

Hey everybody...
Hope mpo pouwa, mie pia nipo fine ila leo i feel reallly down... Yaani siku yangu leo wasn't well kabisaaaaa.. Yaani leo nimekuwa na mapurukushani ya ajabu ajabu tuu...

Kwanza kabisa leo nimechelewa kuamka hadi my son akaachwa na school bus, so i had to take him hadi shuleni kwao nikiwa on my ''pajamaz'' (nikajikasirikia sana)

Pili, after kumuandaa Faith na mie nikaenda kuoga, ninapotoka bath-room nikamkuta Faith kachora chora my hand-bag na pen, jamaniiiiii....hiyo pochi in mpyaaa, hata sijawahi ibeba... Uuuuuwiiiiii.... kanichosha, maana kwanza anaumwa namuonea hata huruma kumchapa, ila ndio utundu gani huu jamaniiiii.... Nimejaribu kuufuta hadi na petrol lakini walaaaa hauna dalili ya kutoka iyo michoro michoro... I guess ndio nitakuwa naubeba ivo ivo... Aa????
Anyone who knows nini kitaweza kutoa michoro ya kalamu ya wino kwa pochi???? Jamani anisaidie tuu maana nikiuangalia ndio nazidi kujikasirikia.... (nimejinunia zaidi)

Tatu sasa ndio kiboko yao....
Nikaondoka home nimesahau my power-bank, nikaona sina haja ya kurudi maana i have USB-wire, so if simu ikiisha charge nitatumia laptop kuicharge...
Kumbuka fashionista(Faith) is sick so haendi shule, nakuwa nae siku nzima, sasa mchana nikawa na'charge simu kwa laptop at my depot, simu ikaita, faster akanisaidia kuichomoa kwa USB-wire akanipa, nikafurahi mwenyewe nikapokea simu nikaanza kuongea, akawa ni mteja anatoa oda ya drinks, kwa vile ni nyingi nikasogea mezani ili niwe naandika, nikaandika drinks zote then nikaanza kumpa maelekezo msaidizi wangu ili apeleke drinks kwa mteja... After hapo nageuka niirudishe simu kwa charge(laptop) nakuta imefungwa...
Kiruuuu, naifungua inagoma kufunguka... (hapo Faith yupoje busy ana'colour her books) Nikatumia nguvu kuifungua laptop ikagomaaaaa kabisa hadi nikaomba msaada kwa my neighbour (mkaka) ndio akanifungulia ikafunguka ila sasaaaaaa, screen imevinjika, imejaa wino hamna hata kitu kinachoonekana... Nilidata, nilisikia kuchizi aiseee...
That laptop ina documents zangu muhimu nyingiiii jamani, ina programs za ku'controll my incomes and expenditures, ina daily sales reports, ina picha zanguuuuuu uuuuwiiii.... Ingawaje nina back-ups somewhere ila aiseee sitaki kuipoteza hii laptop na sikutegemea kuipoteza kwa muda huu, naipendaaaa... 
Nilikasirika sana, maana Faith aliingiza USB-wire and rangi yake moja kati kati ya laptop ndio akaifunga, tena alivyoona haifungi akaikalia hadi ikafunga..(Hahahaaaaa...nicheke tuu maana nimeshajikasirikia vya kutosha leo)
Sasa kilichonimaliza zaidi ni majibu yake baada ya kukasirika namuuliza ''kwanini umeifunga??" anajibu ''ilikuwa haina tena simu'' (Imagine hapo in her voice ya kitotoo, nikakumbuka kumbe alivyonichomolea simu basi akaona sasa laptop haina kazi tena soo bora niifunge) ''nani kakuambia sasa uifunge jamaniiii???" akajibu ''nimejiambia tuu mwenyewe''
Hahahahahahahaaaaaaaaaaa, yaani nilijikuta nimecheka maana i didn't expect hilo jibu, eti alijiambia mwenyewe afunge laptop yangu, dah.... Anavyonijibu sasa na kasauti kapoleeee, maana hapo namfokea nimemkazia macho, ila majibu yake ndio hatareeee!!!

Nikajikasirikia zaidi na zaidi hadi hasira zoteeee zikawa hazina faida tena... Nikaanza kutafuta fundi sasa, i didn't want to loose that laptop kisa screen tuu..
Sikupata fundi easily as sijawahi kabisaaa kwenda kwa fundi wa laptops kwa hapa Iringa... I called Fetty for help, akanipeleka mtaa wa ''uhindini'' kwa fundi anayefahamiana nae, kiruuuuu....nikaambiwa kutengeneza hii screen ni laki na nusu tuu, eti 150,000/= Mchagga mie macho yalinitokajeeee sasaaaa, i was like ''pesa yote iyo???!!!'' Hahahaaaa... Naachaje kujinunia sasa jamaniiiiiii.....  What a terrible day..... No way out, i must itengeneza ile laptop anyhow...

Hapa now natumia my old laptop, kweli old is gold, leo kitu cha old kimenisaidiajeeee...nakiona kipyaaaa, wakati nina karibia mwaka hata sijaishika zaidi ya kuiwasha nikiwa nataka ku'save my photos in it basiiii na kuizima...

Sasa si mnanijua when i have bad days huwa napenda niji'entertain na mapicha-picha ya ku'take my breath away kidogo... Pictures ambazo zina memories tamuuuuu.... Pictures ambazo nikiziangalia moyo wangu una'smile and heart'beats zinaongezeka... Mmmmh, picha za matukio ambayo sitaki yatokee kila siku ili siku yakitokea niya'enjoyyyy to the maximum... Hahahahaaa....

Sasa wewe kama hupendi picha za ''heart'stoping''  na ''breath'taking'' pleaseeeee ishia hapa na nikutakie usiku mwema, tukutane kesho nikiwa na laptop yangu mpya ndio nitawapa muonekano wangu wa leo... (nilipendezajeeee, na nilivyokuwa sina tumbo uuuuwiiii,kitu cha nyota nyota tuu mazeee)

Ila kama wewe ndio waleeee wa ''my life,my rules'' basi karibuuuu....

Hapa ilikuwa party flani iviii amaizinggggg, nilialikwa na mashostito wangu wa ''kimjinimjini'' hahahaaa... (watanunaje nimewaita wa kimjinimjini,jamani si ndio ukweli... shostito wangu wa ukweli na wa kufa na kuzikana ni Faith tuu) Ila nawapenda wote, hata nyie wa ki'town town nawa'love sana tuu na ndio maana mkiniita kwa parrrttty hata zisizo na ''headings'' najitahidi nisikose, ama neneeeee...
Mnaoikumbuka hii aiseee we killed it!!!!!
Yaani tuli'parrrttyyyyyy then tuka'clubbbbb then tuka'drinkkkkk hadi saa moja kamili asubuhi....

Kulala kidooogooo tuu, nilijishtukia nipo jikoni napika dinner..hahahahaaaa, sasa nilivyokuwa naziangalia hizi picha all those funniest memories zimenijia and zimenifanya niimalize siku yangu kwa tabasamu, hahahahaaaa... 

Kweli good times doesn't last long... You better enjoy it while it last!!!
Nilikuwa kibongeee, uuuwiiii...kweli mashavu sasa yamepungua, dah....that was me???!!!!
Hilo sasa ndio lilikuwa lile tumbo kupwelepweta... kiruuu!! Bora nimeukataa u'manyama uzembee mie!!!

Green, Pink and Black ndio zilikuwa colour za iyo parrrtttyyy...

Parttyyyy thingzzzz...

kibonge nyanya...

Oooh Nooo!!!

Bad thing about uso mnene, ukichoka tuu kidogo you cant hide it, hapo aisee nilikuwa nimechoka hatareeee...hiyo wiki nadhani sikulala for all seven days, kila siku ni ku'parrttyyy na mchana nipo busy like kawaida yangu, duuuuhhh...ama nilizipania shughuliii...

Kwa hisani ya Liquid-lipstick.. Hahahaaaa!!!
#post na wewe yako basi kama umenunaaaa


Aya sasa jamani nilale, my day ends well sasa nipo na full tabasamu baada ya kuwa cheered-up na hizi picha...

No more kujinunia, sijamnunia mtu pia...


Nawapenda sana woooteee!!!
XOXO

Monday, May 18, 2015

BLUE MONEY-DAY....

Hellow sweet'hearts...
Happy new week... It's blue Monday and i call it Blue Money-Day maana naamini ''kila ninapopata nafasi nyingine ya kuona siku mpya, ni nafasi mpya ya kupata pesa nyingine''...
(Ni akili zangu za Kichagga izo zikiwa backed-up na ka'degree kamoja tuu, ebu na wewe iga iyo, then come and thank me latter) 



Aya sasa kazi kazini...
Kwa wateja wa Gf Min-Depot mkae mkao wa ku'enjoy maana soon tuta'introduce a new spirit in the market... Yeah, ni kinywaji kipya kabisaa, kwa wale wapenda ''spirits'' stay tuned....

Na kwa swagger kali you already know where to go eeeh... ''New arrivals'' ni kesho kutwa Wednesday, nani anapenda kupendeza???? Mie aisee napenda, so kama na wewe ni mwenzangu basi tuungane pamoja tukatupie vitu vikali na vya kijanja ndani ya Gf Boutique... ''save the day'' ni Jumatano!!! 




Say BIG NOOOOO to manyama uzembe sasa ni bongeee la team...


Nani anataka pia kujiunga??? What are you waiting darling???
Ebu nicheck ujipatie na wewe suluhisho la tumbo kupwelepweta... Nicheck ujitengenezee your own natural namba nane figure kwa kutoa mafuta yaliyozidi tumboni...



'''Na kwa wote ambao mpo kwenye dose hii please naombeni niwaweke kwenye one wassap group, nimeona niwaombe kwa hapa maana yaani kumjibu mtu mmoja mmoja ni shughuli pevuuuu, na most of the time maswali ni yale yale so nimefikiria nikaona maana lengo letu wote ni mojaaa (Kukata manyama uzembe) sasa sio mbaya tukiungana pamoja ili maswali yetu yanapojibiwa tuwe tumeelimika pamoja pia, na mie mtakuwa mnanipunguzia lawama za kuchelewa kuwajibu au kutowajibu kabisa... Maana nina msg nyiiiiiingiiiiiiii za maswali, so ukiona sijakujibu please usijisikie vibaya, ni muda tuu nakosa dears.. Pia in our group tutakuwa tuna'share experience pamoja, ni vipi dawa inakufanya hadi sasa.... Unajisikiaje tokea umeanza kuitumia?? And maendeleo yapoje???
As mnakumbuka, usipopungua hela inarudi eeeh.... Sasa si ndio tuungane pamoja ili tukianza kudai hela zetu tumtoe Gf roho.. hahahahahaaaaaa.... Mtapungua banaaa, trust me!!!
Na usipopungua mwenyewe kwa group hapo tutajua kabisaaa wewe ulikuwa hufati maelekezo ya dawa so hapo refund itakuwa batili... If you are interested please unitumie wassap ''BIG NO MANYAMA UZEMBE'' my namba 0753 891 997 ukituma tuu ivo, fastaaa nakuunganisha... please iyo wassap yako iwe na maneno hayo tuu ili iwe rahisi kwangu kujua ni zipi za kuunganishwa au ni zipi za story nyingine, sawa wapendwa wa mie... And kitu kingine ambacho nimesahau ni kwamba,hata kama ndio unataka kuanza kuitumia ila bado una wasiwasi, na wewe njoo kwenye wassap group letu ujionee na uwaulize wanaotumia wapo vipi ili uweze ku'make your decision... Au mnaionaje hii???""""


''''''''owky then'''''''

Kila mtu awe na a very productive week,

Nawapenda sana and God bless you all!!!

XOXO...

Sunday, May 17, 2015

FEED-BACK PLZZZZZ.....

Hey dears,
Jamani wapendwa, juziiii nilivyowaambia about SLIMMING HERB ya BODY SLEEM, si niliomba ukianza kutumia basi tuambiane matokeo...
So far wameshachukua watu kibao, ila bado sijapata feed-back hata kwa mmoja wao, please tuambiane maendeleo.. 

Wale wa two days vipi mmeanza kwenda toilet mara ngapi kwa siku???!!! Hahahaaa... That's the progress... Msikate tamaa, lazima mafuta yoooteeee yatoke, tubaki wepesiiiii na figure zetu matata.. No more kuzeeshana, no more kuvaa ki-bibi, kwa sasa tunakaribia kuanza vaa crop-tops tuu ama neneeee??!!!

Kwa wote mlioanza kutumia hii dawa, Please please please.... Msisahau kunywa maji mengi, yaani ukijisikia tumbo namna gani vipi weee ongeza tuu maji and maji and majiiii... Mwishiwe uta'feel just fine!!! Yeah... Na kumbuka haina masharti ya msosi eeeh, wewe msosi wako kula tuu as kawaida ulivyokuwaga unakula...

Mie pia bado naendelea, ni mwendo ule-ule wa kutwa mara mbili... Sijapata tuu muda wa kupima uzito leo ila i realllly feeling big changes kwenye mwili wangu... Yaani hata nikivaa nguo najiona kweliiii nimevaa nguo, kiuno kiuno...
Alafu unajua ukipungua tumbo unaonekana una kiuno nyigu eeeh... 



Na matokeo ya kiuno nyigu ni kukupa  hagga(makalio) la haja... Hadi mie na uchagga wangu eti leo nimejiona ninalo hagga la hatareeeee.... Hahahaa!!!
Looking superb and i feel great...

Au ninyanyue hiyo top muone hagga live????? Semeni suuuu....


You know i always dressed by my own boutique eeeh... Yeah,kila kitu hapo is available, ukipenda anything there wee nicheck tuu!!!


Hii ni siku ya mwisho kuweka hili pozi aisee, nilikuwaga naliweka ili nijizibe tumbo, sasa now tumbo is kwishneyyyyy ila mazoea tuu ya pozi.....

Beautiful mama akee F-babies!!!

Mahari ya pili pleaseee... Uuuuuwiiii, hubby you are on trouble..nadai mahari nyingineee, ya sasa naitaka unikabidhi mie mwenyewe mkononi aiseee.. Hahhahaaaa

Thank you Gf, asante mae!! Haikaaa kabsaa ma'mshomi!!

Aaaawwww... Hadi natamani kujiteka....


Sasa nataka nione na mashavu wiki hii yatakuwaje, hahahaa... Eti kuna watu wameniambia hadi uso ushaanza kuonekana mrefu,lol... eti kweli???? Mbona mimi najiona bado round aiseee... mnanichora eeeh?????

Hair-do though....

Huyu ndio atanifanya nijione sina mashavu sasa, hahahaaaa...maana yake yametia fora...
She is my darling aunty, anaitwa Princess!!!

''our moment'' 

Ours is Agape love...


Love you all soooo very much,

XOXO!!!

AM PRAYING FOR YOU LOVE.....

Darling ones...
Please pray for my totoo jamani amebanwa na mafua hatareee.. Hadi kumsuka namuonea huruma, amepooza mwenyewe dahhhh...
Tumuombee apone na asituambukize na sie wengine maana mmmh, hii flue ni shiiiigdah!!!

Get well soon mama'angu.. I am praying for you love!!



Upone sweetie wangu mwaya nikusuke...


Shostito wangu in a dress swagger...



Mapozi ya mgonjwa sasaaa...hahahahaaa!!lol


Mafua yamekabana hadi kana'breath kwa mdomo jamaniiii...
Utapona Faith wangu in Jesus name!!!

Anty Fetty & Faith akeee...


XOXO!!!

Saturday, May 16, 2015

PUT ON YOUR SMILE & DANCE....

Hey dears,
Habari za Jumamosi... Hope mpo pouwa!!
My week'end was superb kiasi, my baby girl isn't feeling well... She got malaria and flue.. Ameshaanza dose and anaendelea fresh now ila ndio anadeka ni ajeeeee!!!
So kazi ni moja tuu, nyumba nzima tunamdekeza Faith wetu.... 

(naomba tuu asizidishe kudeka maana mie ndio maid na ndio mjasiriamali na ndio kila kituuuu so pleaseee Faith deka kwa step baby wangu!!!)

Am trying to make her dont feel miserable because of ugonjwa, yeah...that's what they did to me when i was sick, they made me feel not sick... I guess that's what family for....

So we dress-up and go for Ice-cream... Ila before that ni ma'picha-picha as ussual....

Enjoy!!!

Faith's swagger... On point!!!

That's my girl... No matter what you put on your smile and dance!!!

Fashionista...

Faith wange...



pozi sasaaa...lol

Aaaawwww....

I love this one....



Nimependa hili pozi aisee nitaliiga na mie... hahahahaa!!!

Dope!!!

Lovely!!!

Beautiful...

Cutest...


#nails do... Kwa hisani ya ''Happy salun''

Guu sasa... shikamoo mwanangu!!


Get well soon darling totoo..


XOXO!!!

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT