Hope mpo pouwa, mie pia nipo fine ila leo i feel reallly down... Yaani siku yangu leo wasn't well kabisaaaaa.. Yaani leo nimekuwa na mapurukushani ya ajabu ajabu tuu...
Kwanza kabisa leo nimechelewa kuamka hadi my son akaachwa na school bus, so i had to take him hadi shuleni kwao nikiwa on my ''pajamaz'' (nikajikasirikia sana)
Pili, after kumuandaa Faith na mie nikaenda kuoga, ninapotoka bath-room nikamkuta Faith kachora chora my hand-bag na pen, jamaniiiiii....hiyo pochi in mpyaaa, hata sijawahi ibeba... Uuuuuwiiiiii.... kanichosha, maana kwanza anaumwa namuonea hata huruma kumchapa, ila ndio utundu gani huu jamaniiiii.... Nimejaribu kuufuta hadi na petrol lakini walaaaa hauna dalili ya kutoka iyo michoro michoro... I guess ndio nitakuwa naubeba ivo ivo... Aa????
Anyone who knows nini kitaweza kutoa michoro ya kalamu ya wino kwa pochi???? Jamani anisaidie tuu maana nikiuangalia ndio nazidi kujikasirikia.... (nimejinunia zaidi)
Tatu sasa ndio kiboko yao....
Nikaondoka home nimesahau my power-bank, nikaona sina haja ya kurudi maana i have USB-wire, so if simu ikiisha charge nitatumia laptop kuicharge...
Kumbuka fashionista(Faith) is sick so haendi shule, nakuwa nae siku nzima, sasa mchana nikawa na'charge simu kwa laptop at my depot, simu ikaita, faster akanisaidia kuichomoa kwa USB-wire akanipa, nikafurahi mwenyewe nikapokea simu nikaanza kuongea, akawa ni mteja anatoa oda ya drinks, kwa vile ni nyingi nikasogea mezani ili niwe naandika, nikaandika drinks zote then nikaanza kumpa maelekezo msaidizi wangu ili apeleke drinks kwa mteja... After hapo nageuka niirudishe simu kwa charge(laptop) nakuta imefungwa...
Kiruuuu, naifungua inagoma kufunguka... (hapo Faith yupoje busy ana'colour her books) Nikatumia nguvu kuifungua laptop ikagomaaaaa kabisa hadi nikaomba msaada kwa my neighbour (mkaka) ndio akanifungulia ikafunguka ila sasaaaaaa, screen imevinjika, imejaa wino hamna hata kitu kinachoonekana... Nilidata, nilisikia kuchizi aiseee...
That laptop ina documents zangu muhimu nyingiiii jamani, ina programs za ku'controll my incomes and expenditures, ina daily sales reports, ina picha zanguuuuuu uuuuwiiii.... Ingawaje nina back-ups somewhere ila aiseee sitaki kuipoteza hii laptop na sikutegemea kuipoteza kwa muda huu, naipendaaaa...
Nilikasirika sana, maana Faith aliingiza USB-wire and rangi yake moja kati kati ya laptop ndio akaifunga, tena alivyoona haifungi akaikalia hadi ikafunga..(Hahahaaaaa...nicheke tuu maana nimeshajikasirikia vya kutosha leo)
Sasa kilichonimaliza zaidi ni majibu yake baada ya kukasirika namuuliza ''kwanini umeifunga??" anajibu ''ilikuwa haina tena simu'' (Imagine hapo in her voice ya kitotoo, nikakumbuka kumbe alivyonichomolea simu basi akaona sasa laptop haina kazi tena soo bora niifunge) ''nani kakuambia sasa uifunge jamaniiii???" akajibu ''nimejiambia tuu mwenyewe''
Hahahahahahahaaaaaaaaaaa, yaani nilijikuta nimecheka maana i didn't expect hilo jibu, eti alijiambia mwenyewe afunge laptop yangu, dah.... Anavyonijibu sasa na kasauti kapoleeee, maana hapo namfokea nimemkazia macho, ila majibu yake ndio hatareeee!!!
Nikajikasirikia zaidi na zaidi hadi hasira zoteeee zikawa hazina faida tena... Nikaanza kutafuta fundi sasa, i didn't want to loose that laptop kisa screen tuu..
Sikupata fundi easily as sijawahi kabisaaa kwenda kwa fundi wa laptops kwa hapa Iringa... I called Fetty for help, akanipeleka mtaa wa ''uhindini'' kwa fundi anayefahamiana nae, kiruuuuu....nikaambiwa kutengeneza hii screen ni laki na nusu tuu, eti 150,000/= Mchagga mie macho yalinitokajeeee sasaaaa, i was like ''pesa yote iyo???!!!'' Hahahaaaa... Naachaje kujinunia sasa jamaniiiiiii..... What a terrible day..... No way out, i must itengeneza ile laptop anyhow...
Hapa now natumia my old laptop, kweli old is gold, leo kitu cha old kimenisaidiajeeee...nakiona kipyaaaa, wakati nina karibia mwaka hata sijaishika zaidi ya kuiwasha nikiwa nataka ku'save my photos in it basiiii na kuizima...
Sasa si mnanijua when i have bad days huwa napenda niji'entertain na mapicha-picha ya ku'take my breath away kidogo... Pictures ambazo zina memories tamuuuuu.... Pictures ambazo nikiziangalia moyo wangu una'smile and heart'beats zinaongezeka... Mmmmh, picha za matukio ambayo sitaki yatokee kila siku ili siku yakitokea niya'enjoyyyy to the maximum... Hahahahaaa....
Sasa wewe kama hupendi picha za ''heart'stoping'' na ''breath'taking'' pleaseeeee ishia hapa na nikutakie usiku mwema, tukutane kesho nikiwa na laptop yangu mpya ndio nitawapa muonekano wangu wa leo... (nilipendezajeeee, na nilivyokuwa sina tumbo uuuuwiiii,kitu cha nyota nyota tuu mazeee)
Ila kama wewe ndio waleeee wa ''my life,my rules'' basi karibuuuu....
Hapa ilikuwa party flani iviii amaizinggggg, nilialikwa na mashostito wangu wa ''kimjinimjini'' hahahaaa... (watanunaje nimewaita wa kimjinimjini,jamani si ndio ukweli... shostito wangu wa ukweli na wa kufa na kuzikana ni Faith tuu) Ila nawapenda wote, hata nyie wa ki'town town nawa'love sana tuu na ndio maana mkiniita kwa parrrttty hata zisizo na ''headings'' najitahidi nisikose, ama neneeeee...
Mnaoikumbuka hii aiseee we killed it!!!!!
Yaani tuli'parrrttyyyyyy then tuka'clubbbbb then tuka'drinkkkkk hadi saa moja kamili asubuhi....
Kulala kidooogooo tuu, nilijishtukia nipo jikoni napika dinner..hahahahaaaa, sasa nilivyokuwa naziangalia hizi picha all those funniest memories zimenijia and zimenifanya niimalize siku yangu kwa tabasamu, hahahahaaaa...
Kweli good times doesn't last long... You better enjoy it while it last!!!
Nilikuwa kibongeee, uuuwiiii...kweli mashavu sasa yamepungua, dah....that was me???!!!!
Hilo sasa ndio lilikuwa lile tumbo kupwelepweta... kiruuu!! Bora nimeukataa u'manyama uzembee mie!!!
Green, Pink and Black ndio zilikuwa colour za iyo parrrtttyyy...
Parttyyyy thingzzzz...
kibonge nyanya...
Oooh Nooo!!!
Bad thing about uso mnene, ukichoka tuu kidogo you cant hide it, hapo aisee nilikuwa nimechoka hatareeee...hiyo wiki nadhani sikulala for all seven days, kila siku ni ku'parrttyyy na mchana nipo busy like kawaida yangu, duuuuhhh...ama nilizipania shughuliii...
Kwa hisani ya Liquid-lipstick.. Hahahaaaa!!!
#post na wewe yako basi kama umenunaaaa
Aya sasa jamani nilale, my day ends well sasa nipo na full tabasamu baada ya kuwa cheered-up na hizi picha...
No more kujinunia, sijamnunia mtu pia...
Nawapenda sana woooteee!!!
XOXO
No comments:
Post a Comment