Happy Wednesday...
It's a sunny day... Joto la Iringa is so boring yaani, huku tumezoea hali ya hewa ya ubaridi flani iviii amazing...
My skin glow during the cold so huwa sipendi joto kabisaaaaa... I enjoy a natural-cold air, sipendi a.c pia, so you can pata picha how my day is soooo boring kukiwa na joto, natamani nikae tuu kwenye maji all the day long...
But hey, mchagga mie must go to work...
Since its a boring hot-day nimeamua to cherish it with a ''White&Orange look'' atleast nipunguze kuichukia hii siku ya joto...and yes!!!nimefanikiwa, maana nikiangalia tuu how my dress goes with my body aaahhh,nasahau joto kwa muda.. Hahahahaa!!!
Enjoy my look...
WCW..
Iringa jotoooo....
It's getting hot in here....
And i hate it, wapi(In Tz) kuna baridi jamani niende kwa muda??!! I need a vacation....
But this look...Aaaah, ivi naanzaje kukumbuka kama kuna joto??? Hahahahaaa....
BackViewOnPoint....
Stay fabulous,
XOXO!!
Imebidi nije kuona zote hahahaaa
ReplyDeletekaribu tena dear...
ReplyDelete