I think kila mtu got her/his own definition of ''simple things''... Maana jana sio kwa kunizodoa huko.... Kiruuu!!! eti sikuwa simple??!! Najishaua??? Hahahaaa... Mbona mie pale ndio nilijiona nipo simple hatareeee....
Acheni hizo wandugu... I was so very simple bana, ama let me give you a remix post ili mpate muonekano ambao sio simple!!
Enjoy ''Gf na mashauzi yake''....

Wacha nijishaue mie... #MashauziYanahitajiVigezo

Full mashauzi... Hahahaaa!!!

Do you wish kujishauwa pia??? Join the club!!! #KamaUnaVigezoIgaNaWewe#

And dont get twisted, this isn't yesterday's swagger... #PeplumSwaggerOnPoint#

Peoplessssss.... Power!!!


Muke ya Fred... The Original!!!

Toto la Kichagga... #Miguu#Cut#Hahahaaa!!

Dope...



Tuweke kando mashauzi yangu sasa niwaambie kuwa, Mie nawapenda to the moon and back...
XOXO!!!
Hahahaaaa ila G sikuwezi.. Mashauzi vepeeeee hahaa
ReplyDeleteHAHAHAHA, SHIKAMOO GF
ReplyDelete