Dah,i love this girl hadi naogopa maana kuna time she drives me crazy kabisaaa and nakosa cha kumfanya maana mahaba nilionayo kwake yamenizidi uwezo....
Kama hapo ndio kaamua hivyo kujichagulia nguo ya kuvaa, i wanted nimvalishe ''Pensi&Top'' akagoma kabisa... Huwa namuaminia na choices zake but I got mad coz mie ndio nilianza kumchagulia nguo then she ignores my choices and akachagua zake...
Nimem'bembeleza weee wapiiii, kagoma...na akigoma ni amegoma.. And too scary ni kwamba nikakosa cha kumfanya more than kukubaliana na chaguo lake... Jamani hapa she is only 3 and ananinyoosha hivi, jee akifika 10 huyu si atakuwa ananilisha ndimu mie???!! Uuuuuuwiii, this is too scary wapendwa ebu mniweke in your prayers, ama dawa yake huyu nimletee baby number three eeeh???!!!
But,no matter how many other babies am gonna have aisee Faith will still be my one and only shostito... We understand each-other in a very verrrrryyyyyy special ways!!
Enjoy my girl's choice....
KamandaMutoto katika ubora wake...
Jamaican look vepeeee....
Ooooh,Lord... Did i see her smilling ama???!!! Hahahaaa... Thank you baby, you smilled???? Haahahahahahahahahahahaaa...
Back to mnuno'pose... Yaani hadi nimeshamzoea hivi, hahahaa... And hamtaamini kuwa she is one happy girl, ukikaa nae ndio utamgundua how happy she is..maana ana mastory huyuuuu... hutachoka kukaa nae ila tuuuuu, kumsubiria atabasamu ndio utakesha.. She can laugh,tena anachekaga that loud-lough na akicheka utatamani umwambie sasa aache maana its sooo very loud yaani... Ila kutabasamu? Kiruuuu,it's not her thing....
KAMANDAAAA....
She gave me that fake-smile again... Hahahhahaaa, Faith bana... Ninyooshe!!!
Keep smilling,
Keep smilling,
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment