Leo sipo fresh sana, feeling a little bit sick, got headache too, so nimewahi kurudi home.. I passed by hospital for check up hata hawajaona kitu, guess ni uchovu plus diet!!
(Hii diet inanichosha aiseee ila siachi hadi kieleweke, nataka 75kgs tuu, zitanitosha) I know I can!!!!
Doctor kaniambia ninywe maji mengi, hapa nipo na chupa yangu ya maji tuu namshangaa Faith...
One thing for real ni kwamba hata sina usingizi, nowdays kulala mchana for me imekuwa a very hard task..
Good thing my entertainer is home... My one and only Faith, yaani ananifurahisha mnoooo... Leo sasa nimemkuta ana'ride a bicycle.. Yaani ni full raha.. Hahahahaaa.. Ukiwa na Faith around no more mauchovu aiseee... She is my paracetamol, refreshner and entertainer!!!
She Is My WCW!!!
My Faith!!!
Anaanza apo mdogo mdogo...
Twende kaziiii.... Hahahaa
That's my toto tundu....
Yeeeeiyyyyahhhhh.... Done!!!
My beautiful baby girl...
I Lap uuuu....
XOXO!!!
Mrembo wako chautundu kumbe?
ReplyDeleteIla Fay Hahahaaa
ReplyDelete