Yaani nina furaha ya ajabu, maana nili'post jana jioni vitu vichache tuu vya ''CLASSIC BOUTIQUE'' ila nimeshapokea oda ya almost everything.. Asanteni sana wapendwa wangu kwa kunipa bonge la support, nawapendaje sasaaaa, yaani nimelala nawaota tuu, hahahahaaa!!!
Sie tuendelee kupendeza tuu, ama neneee??!! Tusake pesa ili tuweze live big life kama Mange Kimambi, hahahaaa.. Ruwa mangi (In Mbutananga's voice)!!!
Twaache wale wasiojua kutofautisha kati ya msalaba na kujumlisha waendeleze drama zao za mitara isiyo na TBS, hahahahaaaa.... Only one thing ni kwamba wanitoe midomoni mwao, wasinizungumzie kabisaaaa maana mie nawaona takataka, and what do we do with takataka??? Twazikusanya sehemu moja, twaziweka jalalani na twazichoma moto PERIOD (In Zari's voice) Hahahahahaaa....
Aya sasa, hizi ni more picha za mzigo mpya ninaoutuma leo Mbeya, ''CLASSIC BOUTIQUE'' ndio habari ya mujini...

All-stars za wazi zinakuja in this colour, red kama ile nimevaa in previous posts na black.. Size zote zipo!!!

Berbra top na kikoti pia zitakuwepo.. Sina mdoli nyumbani,otherwise ningemvalisha kabisa nguo nimpige picha, ila nyingine nitavaa mie ili mzielewe zaidi, sawa eeeh??!! Na picha za wadoli nitawa'postia tukishavipanga vitu fresh...

Hizi raba ndio habari mupya yaani, hizi unavalia tait, gauni hata denim-leggings... Nazo zinakuja CLASSIC BOUTIQUE leo hii...

Wale waliozikosa hizi sendoz in black colour sasa mkae mkao wa kuzivaa maana nyeusi sasa ndio zinakuja nyingi zaidi!!! Size zote zipo pia...




Thank you dears for the big love and support,
XOXO...
Thats nice cc.. in my voice Hehehee nakuiga ila yangu ni remix
ReplyDeleteNdio maana unawapa watu homa,kazama mama la mama ishalla m.mungu akuzidishie maana una roho nzuri kama sura yako
ReplyDelete