But Mungu wangu ni mwema, na usawa huu wa ancle-magu yaani leo nimejinunulia new laptop. hahahaaaa...yessss, nimejinunulia wajameniii, hii ni zawadi yangu from me!!!
And since nimeshapata laptop nimeenda kwa professionals IT na wameni'unblock'ia my blog so sasa naingia as the admin...So you can imagne how hapyyyy i am leo...
And hey, being here is the very best moment in my life!!!
Since mie bado sitamani ku'post my pictures yet...basi wacha niwape picha za my F-Babies (Mie hadi nipungue atleast nifikie 80kgs ndio nitaanza kupost picha zangu, ingawaje napiga picha everyday..lol..zitakuwaga #TBT...sawa eeee??!!!)
My one and only fashionista katika poziii ...
My totooo....
Before hatujaanza ma'story ya hizi picha please let me take a pose kidogo kwa iyo picha apo juu...
Hahahahaaa, ze u'leg is fireeeeee!!!
Yaani Faith hata apungue mwili mzima hajawahi kupungua miguu, like last week alipatwa homa jamani akakondaaa but guu lipo pale paleeee... And i am very sure hili guu ni from aunt Deborah hiliii, awe amerithi hadi brain pia baaaasiiii... Mara naanza kumuita Doctor Faith.... nitajishauajeee mie...hahahahahahaa!!!
Aya tuendelee sasa wapendwa wa mie...
It's holiday timeee...
And these are things we do when my babies wapo likizo... Ni outings over outings...ku'refresh mind till shule ifunguliwe, In holidays kila siku kwetu ni week-end!!!!
Kati ya vitu ambavyo vinanifanyaga nijione mie ni bonge la tajiri aiseee ni hivi....
Apo nilikuwa najiona tajiriiiiiiiiiiii...Hahahahahaaa!!!
yaani kutoka tuu out na wanangu wakiwa wamependeza, wana furaha na amani pamoja na afya teleee...
Wallahy najiona Billigate plus Dangote ghaflaaaa...apo hata kama in wallet sina ata peee,najiona tajiriiiiiiiii mji mzima hakuna kama mie!!! And yeahhhh this all is the beauty of being a mother (Just thinking-out loud)
And vile wanajua to make my day wonderful...lol, apo wananipa ma'story amazing nachekaaaaaaaaaa hadi nahisi dunia nzima tupo three of us #OurOwnWord
Asante Mungu kwa hawa viumbe...Umejua kunipa mema ya nchi!!!
Na sasa ni kubembea time.....
Raha ya outing with these two ni kubembeaaa buanaaa!!!
Yaani mara nyingi nikiwaangalia my F-Babies huwa na'feel like ''i am complete'' sioni kama kuna kitu nakosa...wala sioni kama kunacho ninachohitaji zaidi ya hapa...
And kiukweli izo feelings zinaniogopeshaga... Naogopa na natetemeka kabisaaa how sijawahi kuwazoea na kuwaona wa kawaida hawa watoto, i feel they are too special... And nawazaga zaidi when nikiwaza about having another baby... Uuuuuwiii, help me Lord maana peke yangu siwezi, na sijui how will it be...
Sitaki iwe ni kuongeza strange-object kwenye something perfectly complete... Yaani naogopaaaa, seriously naogopa mnoooo....
They say ''time'' ndio perfect way to solve everything eee... Basi mie naomba Mungu tuu ''time'' itufikishe wote pamoja kwenye moments za ku'miss something, wote tuwe in a need of new baby then ndio niongeze mwingine...otherwiseeee i reallyyy don't knowww!!!! Maana mie hupataga iyo fever ya baby number 3 when nikiona vi'baby girl kwa my friends au nikiona hottie pregs-mama...and vile haiwagi serious yaani inaishaga fastaaaa... Sasa natamani nipate iyo hamu na isiishe hadi niifanyie kweliii...hahahahahahaaaaa!!! (mume don't soma apo plzzz)
Till next time soon....
Tunaondoka zetu kama ivo....
And we all love you sana...
XOXO and XOXO!!!
No comments:
Post a Comment