PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Monday, October 31, 2016

HONEYMOON VIBES....

Happy Blue-Monday dears,
Leo ni siku nzuri sana, huwa sizipendi Mondays lakini ya leo ni bongeeee la day yaani maana ni mwanzo mwanzo wa week hapo hapo ni mwisho wa mwezi...hahahaaaa!!! What a dayyyy.....

Wakati bado tunaendelea to update the previous posts za wedding ya Eve, huku tuendelee na picha za honeymoon kidogooo ili sasa nianze kufanya kazi, hahahaaa...
Maana sio kwa kunizodoa hukooo, mnanifanya ni'mute tones za texts and wassap,maana mpo harsh jameniiii...Duh!!! Ila wapendwa yaani mngejua vile napenda to blog yaani hata msingekuwa mnanizodoa nije ni'post picha... Napendaaaa mnoo, so mkiona si'post mjue kweliiii nimebananishwa na mambo mengi... 

All in all, nawapenda tuu!!!
Maisha yenyewe ndio haya hayaaa... nikiwawaza nyie mnaonizodoa kisa picha tuu mbona nitakuwa mbwigaaa(bonge la fala yaani) si bora niwaze pesa mie, haahahahahahaaa na hivi uncle'magu kaamua kutunyooshaaaa na bado tunakomaa, sasa ya nini kujistressisha... Ebu tuache hizooo buanaaaa!!!

Tuishi leo like we'll never see tommorrow, let's all live to the fullest...
Happy souls, Happy people!!!
 
We gotta dance like there's nobody watching,
Love like you'll never be hurt,
Sing like there's nobody listening,
And live like it's heaven on earth...

Enjoy....
LO.VE
Mr & Mrs Peter Masatu!!!

Aaaawww...

 
Mahaba zindekiiii...Mahaba mahabaniii...Mahaba mahabatiiii!!!! 

Love-birds...
 Muendelee kupendana na kupendezeana ivo ivo hadi kifo kiwatenganishe wapendwa wa mie... Mungu awe kiongozi, rafiki na kimbilio lenu!!!


Nawapenda sana,
XOXO!!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT