Happy October....
Ila siku zinakimbia... Yaani i can't believe bado miezi miwili tuu tuumalize mwaka 2016, dah...I am very happy kiukweli!!!
Nafurahi sana maana almost 90% of my 2016 goals zipo accomplished, sina cha kumrudishia Mungu wangu zaidi ya kusema Asante,kweli wewe ni Baba!!!
Hata kama mambo ni magumu make sure hukati tamaa...Keep on trying no matter what... Hakikisha 2017 haikukuti pale ulipokuwa 2016, make sure umesogea, piga hatua, sio lazima uyamalize/uyakamilishe yote uliyoyapanga ila keep going...
Mwendo ni mwendo as long as hubakii ulipokuwa before... Kimbia kama unaweza,ila pia usijilazimishe sanaaaaa maana sio lazima ukimbie, kama haiwezekani basi tembea tuu...ikishindikana kabisaaa basi tambaa... ila what'ever you are doing make sure you move...
Na haya maisha ni barabara/njia tuu, wote tunapita so ku'overtake is allowed... pia nobody atakushangaa if you move in a slow motion... hakuna atakaye'panic pia ukitoka na speed 360.... ila tuu mie nitakushangaa kama utabaki umeganda barabarani miaka nenda rudi...
That's my October vibe...
Take it or leave it, maamuzi ya mwisho ni ya wewe mwenyewe....
If my vibes bores you am soreeeee... If yakiwa na maana ebu jaribu ku'work on it then come thank me later!!!
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment