PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Saturday, August 23, 2014

BEING A LADY....

Dolls... 
Now days sina mpiga picha maalumu so sometimes kuna picha napigwa then nikiziangalia nashindwa hata kuzi'post here... Leo nimekaa nikaziangaliaaa, nyingine kweliii nikazi'delete but hizi..lol, nikasema what the hell, nazi'post tuu ivo ivo... Maana mwenyewe nilipendeza zangu, nilitokelezea kama mama pastor then mpiga picha akanitoa kama zombie... Hahahaaa... (sawa tuu dada) ila nilipendeza eeh??? Apo i was being a Lady haswaaa...
Me In Kidoti Style...
Wife akee nani huyu....
To Eve,
hope utakua upo njiani sasa unarudi jamaniiii... Cant you see how i miss you!!!
 XOXO....

ME, MYSELF & I...

Mambo dears!!!
Habari za jumamosi... Mie nipo pouwa kabisa ila najisikia mpwekee without Eve arround.. Please Eve njoo, umesahau we got unfinished business?? lol...
My today's look....
Mmmh to the hair style!!!
Getting better and better..Each day & every day!
I run my own race, competing with myself!!!

NB: Picha hazipo in a good quality leo eeh??!! Forgive my camera lady maana the expert one ameondoka, na huyu nae atazoea tuu...lol

Love u....
XOXO!!

Friday, August 22, 2014

KAMA UNA SHUGHULI BASI HII NDIO HABARI YA MUJINI....

Mambo dears!!
Ebu leo na wewe try to think with me, yaani huko huko ulipo.. Uwe unawaza pamoja na mimi, ukiona hujanipata bado ebu try kumshirikisha na mwingine.. Maana mie nikiongea wanasema Oooh.. wewe mfanyabiashara mara wengine Oooh.. G unapenda sana pesa... Kiruuuu, sasa hayo yanakujaje kwa mfanoooo???? Hahahaaa
Shampen zipo Non-alcoholic na zenye pombe pia... Zipo za tshs. 8,000/= tshs. 10,000/= & tshs. 12,000/= per bottle

Issue ni hiviii, in mashughuli (harusi, kitchen party, bag party, ubatizo, kipaimara, birthday party, n.k) swala zima la vinywaji, mimi naona and nashauri pia ili shughuli yako iwe classic, stress free, bomba na isiwachoshe wanakamati wako, ni bora drinks ziwe zile za take away... Yaani kama Soda,Grandmalts, Bia za kopo, Juice, n.k 
Novida tshs. 9,500 kwa katon!
Sio kamati ya vinywaji ikishagawa vinywaji kwa waalikwa tuu wanaanza kuhaha kulinda chupa za watu, kuchunga waalikwa wengine wasiojielewa wasije kuiba drinks pamoja na chupa... 
Yaani hamjui tuu, mimi napenda hela sawa but apo nawasaidia ku'save cost zisizo na maana... Kwasababu kesho yake mnavyorudisha ma'kret ya watu mtalipia chupa zilizopotea, kuvunjika, n.k
Soda zote za coca tshs. 8,500/= kwa katon
Ndio maana mtu hadi unaogopa kupangiwa kamati ya drinks, mnasema anaringa kumbe walaaaa... Unakuta mtu hajitakii pressure zisizo na maana... Nije nimependeza zangu na nguo mpya alafu nianze na purukushani za kulinda chupa... Utanikosa aiseee!!!
Grandmalt za kopo tshs. 27,000/= kwa caton


Kwanini tusibadilike??? Every drink in shughuli iwe ya take away, yaani wewe ukishampa mualikwa kinywaji basi kazi kwisha...Aamue kunywa, kubeba, aitupe chini, wewe walaaa huna habariiii...busy kuserebuka na sherehe!!!! Sio wenzako wanacheza kwaito wewe unachunga chupa...Kiruuuuu!!!! Wala haihusu apo....
Grandmalt za plastic tshs.21,000/= kwa caton
Alafu wale msiojielewa mnasema napenda pesa mnajua wala siwashangai eeeh??!! Mimi Mchagga, mlitaka nipende nini sasa?? Kidding... 
Mnanikosea, maana mie nauza vyote, vya chupa na vya take away, so nakuaga tuu mstaarabu kuwapa ushauri... Walaaa siwalazimishi maana ukitaka za chupa ni sawaaaa... bora chupa zangu zoteee zirudi kama zilivyo... na ukitaka za plastic and kopo basi mie nakuona mjanja kinoumer...

Azam Juice za 1lt tshs.13,500/= kwa katon & za 1/2lt tshs. 15,500 kwa katon
Badilikeni... Msifanye shughuli zenu kwa mazoea, hizo zilikua za mwaka 47... enzi za bibi na babu akee F-Babies.... Tusiishi ki'analogy my wapenzi, lol!!!
Bia zote za kopo zipo kwa tshs. 42,200/= kwa caton
Soda zote za Pepsi kwa caton ni tshs. 8,000/=
 

Hope umemaliza kuwaza pamoja na mie, na majibu utakua umeyapata..  Sasa ebu tell me ukweli.... Kwa bei izo mie eti napenda hela tuu au nawajali pia wateja wangu?? Hahahaaaa... Natafuta pesa na natoa ushauri maana nawapenda nyie zaidi ninavyoipenda pesa...Trust me!!!
NB: Huo ni mtazamo wangu tuu... Wapendwa msijenge chuki!!!
 
When i say nawa'love love, I mean it!!!
XOXO!!!

Thursday, August 21, 2014

I AM BLESSED....

Hey lovies...
Habari za alhamisi wapenzi wa mie... Mimi nipo pouwa and very busy leo but am thankfull, maana wapo wanaotamani wawe busy na hawawi... Ni kwa neema tuu na rehema, am highly blessed.. So sifa na utukufu zimrudie aliye juu maana sio kwa nguvu zangu nipo hivi nilivyo.....
Wish to tell you more but this song say it all.... Nawapendaje sasa!!
Ebeneza - By Angela!

XOXO!!!

Wednesday, August 20, 2014

IF I WERE TO PASS THROUGH THIS AGAIN......

Hey lovies....
Leo nimekaa nikawazaa, vile ninavyopenda watoto mimi... natamani niwe nao saba! Yes, kwetu pia tupo wengiiii so kama Mungu akipenda, i'll have seven kids!!!
Problem tuu ni vile nikiwazaga mapurukushani ya pregyyyy... then kulea kichangaa... Keleuwiiii... apo ndio nakuwa mpole and faster nakimbilia nyota ya njano.. Hahahahaaa
Ila to be honest, kama i have to pass through that again this time, i would wish for a baby girl.....
My Pregnancy moments..
I got both now... a boy and a girl, I love my son deeply but baby girls ndio mpango mzimaaa... they are mommy's joy, ndio mashost wetu wa ukweliii, ndio marafiki zetu wasio wanafki, ndio walezi wetu... Yaani kwangu mie naamini only Faith ndio shoga angu tusiyeweza kusengenyana... 
Baby girls ndio mambo yoteeee....
Hahahaaa... am sure hizi swagger hazikua my choice kabisaaa.... ni choice ya mimba aisee!!!lol
Apo was in my 8th month... nimechokajeee...
Aya sasa, In fashion world... Girls swagger rock zaid ya boy's... Simaanishi boys hawana swaggers nooooo... wanazo sana ila sio kama za girls...
Baby boy needs a classic hair cut, simple chain, swagger kwisha kazi... Baby girls makes you feel mommylicous, maana kwanza you must do her hair, umtoboe masikio and some accessories za maana, nguo sasaaa...Kiruuuu!!! Apo bado hujampaka nails polish, mamaaa... hadi apo tuu mie I am in love with baby girls aiseee!!
God give me another four girls and one more boy... Tosha kabisaa..
Apo hata viatu nilikua naviona vizito.... Dah!!!
Ila, siku ya siku sasa akija binti..... Kero zote nazisahau in a minute
Me & Faith Immediately after birth..
Faith when she was 3days old...
Shost wangu wa ukweli...Faith!!

NB; Nawapenda watoto wa jinsia zote...  Leo nimejisikia tuu kutamani wa kike ndio maana nikamuweka Faith... So, siku pia nikijisikia kutamani mtoto wa kiume nitamuweka Fred from pregy to kachangaa... Tena kwa Fred ndio nitawaeka hadi video ya kuzaliwa kwake...  Ila ndio mpaka nijisikie sasa....

XOXO!!

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT