PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, September 24, 2014

IT'S WEDNESDAY, AND HERE SHE IS... WCW

Habari za leo wapenzi wa mie,
Hope mpo okay and tayari kabisaa mshaanza michakato ya kutafuta pesa...I love that!!  Mungu abariki kazi za mikono yenu...
Before I bring to you my woman crush wednesday, naomba niseme ''Asanteni kwa full support mlionipa kwa kidds wear, zimeisha zoteee.. Asanteni sana kwa kuniungisha na kuwapenda watoto wenu.. Yaani mie ndio nawapenda nyieee hadi sijielewi nilivyo na mapendo ya ukweli na nyie woteee mnaosoma hapa''
Sasa kwa wale mliokosa nguo za watoto mkae mkao wa kula maana zipo njiani, ni nzuriiii hadi nazitamani zote wazivae wanangu, bei bado ni zile zile... And soon zitafika, nitawaonyesha picha hapa immediatelly tuu nguo zitakapofika dukani...
 Aya sasa My WCW.... My mamaa!!!
Mamaa'angu Roho yangu....
Love you loads....
Mamaa... My fashion icon!!!
I Love the touch of Red In Her swagger..

You are my woman crush wednesday and everyday!!!
Nawapenda woteee!!!
xoxo...

ONCE IN A WHILE ... UTAELEWA TUU!!

Sweets...
Kati ya watu ninaowafahamu wasiopenda kupigwa picha basi this man anaongoza, hahahaaa... Yaani most of his pics zinakuwaga zile za kushtukizwa and akigundua tuu unampiga picha he'll make sure unaacha mwenyewe maana pose atazokupa, hahahahaaa... niishie hapo!!
He is my man, i love him to limits.. His name is Fred, he is...... Kiruuuu... naomba leo niishie hapo maana kuna kunguru wamekaa ready wasije mnyakua ka' kifaranga cha kuku... Just kidding bana!!! Natania, hamna anayeweza kumnyakua maana hanyakuliki (sijui hiki kiswahili cha wapi, i mean he is not easly taken) Mmenielewa bana... trust me when I say hamna, maana hamna kweli... He is mine, you try to touch him I kill you.. Hapo nipo serious!!!
Alright, leo nimejisikia tuu to post part of my mahaba ninyonge, mahaba nipoteze na unizamishe baharini kabisaaaaaa!!!! 
Kama hujaipenda basi bora u'log off and Sign out faster maana hapa kama una wivu hata ukivaa miwani bado utaona gere!!!
Onyo: Am sensitive when it comes to my man, dont dare try to comment upuuzi maana I'll hunt you down to the core.. Huna cha kuandika wee pita tuu kimya kimya... This is my blog, nakukaribisha ila usijifanye wewe ndio admin maana nitakunyamazisha kwa ukucha wa kidole kidogo.. Thank you and enjoy!!!
Me & Fred...
Just Us...
Tunaji'baby'sha zetu wenyeweeee...
I must loose more weight, hahahaa..nimemficha kabisaa hapo hata haonekani jamaniii...hahahahaaaa!!!


Sasa hapa ma'pose yalizidi..lol!!! Love the feelings that i can post him and be with him popoteeee.... Siogopi sijui nani atamuona wala nini, maana He is mine...... Rahajeeee!!!!

Hii ni mara moja moja nikijisikia kum'post mume wangu... Hapo msubirie tena hadi next year eeeh?! Hahahahaaa.... 
Si mbaya ''Once in a while'' mkamuona anayenipa jeuri ya kuendelea kuwepo mjini... Huyu ndio Director wangu.. Hata nisipoamka early in the morning kusaka chapaa mie nina uhakika wa kula, kuvaa, kupendeza, kulala, kuwekewa petrol full tank nizurureeeeeee!!! Hahahaha... So bora ufanye yako na uniwacheeeee, maana ukishindana na mie ninaye' hustle kutafuta pesa yangu tuu ya ziada waweza patwa na ugonjwa wa moyo seriously ....
As I said, mie nilikuwepo, bado nipo na nitaendelea kuwepo hadi Sir God apende...

 Moyo wangu hauna nafasi to hate anybody, I realy love you all More and More!!!
XOXO...

Tuesday, September 23, 2014

SAVE YOUR DRAMA.... I NEED A MOMENT!!

Dolls...
Hope you are all good.. Hatimaye msusi wangu alikubali kunishonea ile hair style iliyonirusha roho.. So rasta zangu nimeziifadhi, after hii ndio i'll do yebo style... 
Dah, watu mlini'discourage jamaniiii.. Eti Oooh, una mashavu makubwa so haitakaa fresh..lol!!! Mbona mie najiona nimetokelezeaaaa... 
You didnt knew kuwa I got no rules in fashion and I dare to break all the rules!!! And sasa i need my space nianze kujishaua, so save the drama leo I need a moment!!!
Sijui nizibane ama niziachie?? Am thinking loud... Hahahaaa... maana style zote natoka bombaaa.... With this ''a dying for'' sexy body nilionaya saa'ivi... Uuuuuwiii... Utanunajeeeee!!!!
Nakuwazisha eeh??? Am in my silence mode, kelele zako peleka sokoni...
Hahahaaa.. Eeeh, Mungu wewe.. Dah!! Asante kwa kweli...

The talent of success is nothing more than doing what you can do best..
Am not lucky my dear, am blessed!!!

Everyone has a fair turn to be as great as she pleases, wait for you turn Otherwise Utajipa ugonjwa wa moyo bureee kumuiga Gf!!!

To tell you the truth, I never thought of myself as much of my success and that's what makes us different!!

 
I’ve blundered my way through life, so i got a lot to be proud for... What do you have doll???

 

Being in the moment means not being distracted by the melo'drama!! I need a moment pleaseeeee.....
 

 
Mwenye macho haambiwi tazama... Hahahahaaa.. Hard work pay!! Work hard and live like a princess, ama Talk hard and utaishia kutamani maisha ya watu tuu... Mie nilikuwepo, bado nipo na nitaendelea kuwepo hadi atakapopenda manani... 
Cheers!!!

Thank youuuuu darling akee for pictures!!!
 Dressed By My Own Collection... Do you wish To Dress For Success Kama Gf???!!! Usikonde, you just call 0753 891 997 Popote Utatumiwa......
Love you all...
XOXO!!!

WACHUNGAJI WATUHUMIWA KESI YA ULAWITI WATOTO SITA KANISANI

Wapendwa..
This is terrible jamaniiiii... Hivi Arusha imepatwa na pepo gani??? Kiruuuu... Ebu tiririka na hii story ya kuhuzunisha, kushangaza na kutia hasira....
 
Watoto sita, wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wameharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji.
Wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru walikopelekwa kwa matibabu na kuangaliwa maambukizi ya magonjwa ya zinaa, watoto hao walidai kufanyiwa mchezo huo kwa nyakati tofauti  na wachungaji watatu wa kanisa hilo lililopo eneo la  Feed Force, Kwamorombo jijini Arusha.
Watoto wanaodaiwa kufanyiwa unyama huo na Wachungaji...

Mmoja wa watoto hao anayesoma darasa la 4 katika shule ya msingi alieleza kuwa yeye na wenzake wamekuwa wakifanyiwa mchezo mchafu katika kanisa hilo baada ya wachungaji hao kuwapatia shilingi 2,000 za kufungia mdomo.
“Siku moja nilipofika shuleni wenzangu wakaniambia niende pale kanisani tukapewe hela, nilipofika niliwaona wenzangu wengine wakifanyiwa mchezo mchafu na mimi mchungaji aliniambia niiname akanifanyia kitendo kibaya na kunipa shilingi 2,000, niliumia sana,’’ alisema mwanafunzi mmoja.
Mwanafunzi mwingine alisema amekuwa akitoroka shuleni na wenzake na kwenda kwa watumishi hao ambapo huwaingiza katika kanisa hilo na kujifanya wanawaombea baadaye huwafanyia mchezo mbaya.
“Tukifika huwa wanatufungia ndani na kutuambia tuwanyonye, baadaye wanatubaka  na wakimaliza wanatuambia tukisema kwa mtu yeyote watatuchinja na kutuzika ndani ya kanisa lao,” alisema denti huyo.
Wanafunzi hao walieleza kuwa watumishi hao huwarubuni kwa kuwaeleza kuwa watawasaidia kuwasomesha iwapo watakuwa wakienda kwenye kanisa hilo na kuwaingilia.
Mzazi mmoja wa watoto hao, Julius, mkazi wa Kwamorombo alisema mtoto wake alimweleza kwamba amekuwa akifanyiwa mchezo mbaya na watumishi hao baada ya kupewa shilingi 2,000.
Alisema aligundua hilo kufuatia tabia ya mtoto wake kuchelewa kurudi nyumbani.
Naye Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, Godbless Lema ambaye alifika hospitalini kuwajulia hali watoto hao alisikitishwa na kitendo hicho na kulitaka jeshi la polisi lifanye uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na vipimo vya kidaktari ili kupata ukweli wa tukio hilo.
“Nimeongea na mkuu wa mkoa, Magesa Mulongo ambaye ameahidi kulifuatilia kwa kina suala hili na kujua undani wake,’’ alisema Lema.
Hata hivyo, watoto hao baadaye walihamishiwa katika Hospitali ya Seliani kwa ajili ya vipimo zaidi huku taarifa za awali zikithibitishwa na daktari wa hospitali hiyo kuwa, baadhi yao walikutwa na michubuko na kupanuka sehemu za siri hali inayooneshwa kuingiliwa.
Watuhumiwa wa tukio hilo wanashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini hapa  kwa uchunguzi zaidi na Kamanda wa Polisi Arusha, Leberatus Sabas amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. 

 Dah....
Ukweli hata sijui nisemeje, maana hapa nishajiuliza maswali mengiiii na yote sipati majibu.. Eee Mungu tusaidie sie wanadamu maana tumekuwa wakatili zaidi hata ya wanyama!!!

To God Be The Glory!!!
XOXO... 

Monday, September 22, 2014

OUR DADA LAVEDA... GO-GETTER!!!!

Hi dears!!!
Sasa tumeshamjua mrembo atakayetuwakilisha wa'Tanzania ndani ya jumba la Big brother, sio cha Dida wala Wema (like ilivyo vumishwaga in rumor has it) ... Ni mdada mpoleeee, Laveda!!!
She is a bubbly Tanzanian, and anasema her alter-ego is a go-getter. Her personal motto is to live everyday like it is your last.




Yes lady... Go and get that USD 300,000 home... In short, i will be voting for you my girl.... You go show them wonders!!! Kuanzia leo mie ni TeamLaveda.... 
I love Idris too but Laved is my team'mate so sintam'let down.... Wapi team Laveda??????!!!!
Get Ready To Vote For Idris & Laveda!!!
XOXO...

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT