PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Monday, September 5, 2016

MONEY-DAY.... #MONDAY

Happy Blue-Monday dears,
Ningependa kuwashukuru sana wote mliojitokeza kuwa mawakala wa Black Bee Gin and nawaahidi wiki hii ni wiki yenu... Nitawatembelea wote na naamini tutaweza kufanya biashara pamoja... Bless you aboundantly!!! 

Na kama bado haujawasiliana na mie na unapenda kuwa wakala pleaseee nicheck kwa 0753 891 997 ili tuweza weka appointment ya kukutana na kufanya biashara na wewe... Bado nafasi za kuwa wakala wa Black Bee Gin zipo, changamkia fursa!!!! 

And heyyyy... It's Money-Day so before sijawaacha naombeni nifanye kusudiiii.... #Panic at your own risk
The big-boss in the making...


My everything.... My boss... My tajiri mutoto!!!
Hapo hajui ata how hali ya ancle'magu inavyotunyoosha nowdays mtu kushika ata 1m unasema Inshallah...
Ila uongo m'baya...kiukweli tokea Black Bee Gin itambulike aiseee mie kwangu Inshallah zinasemwaga kila siku...Hahahahahaaa... #KamataFursaNaBlackBeeGin

Accountant in the making...
Yupo busy like she don'ttttt care!!!!!


May you all keep on making big money today and everyday.....
XOXO!!!

Sunday, September 4, 2016

SUNDAYING....

Hey sweets,
Karibuni katika ulimwengu wetu... It's all about me, min-me and my everything!!! #Vacaying
Me & Min-me...
Unajua when you spend the whole week kuzisaka pesa mazingira flani iviii ya mapurukushani atleast when it comes to the week'end mtu unahitaji mazingira flani iviii tulivu to relax your mind...
And here we goooo.... Sehemu tulivuuu, out of town... Mazingira ya kijani-kibichi,upepo mwanana!!!
 
 
 
Raha ya watoto ni pale wanapoweza kuyabadilisha mazingira tulivu yako kuwa adventure...
Tulienda purposely kwaajili ya kupumzika week'end ila tukajikuta tuna'create memories za lifetime.... Dah, i love my babies some moreeeee!!!!
 
Going to see the camels...
It feels like tupo somalia in a minute, hahahaaaaaaa
 
My beautiful babies... My min-me and my everything!!!

Them camels... 
Can't believe i took these pictures, nyingine i was too close to them yaani apo nawaogopa hatareeee but i had kuwapa wanangu the courage ili wasiogope... And it worked exellently... yaani hadi nikashangaa how courageous my babies can be, hawakuogopa and wakawa free hadi kupiga nao picha... ila mama yao hapo kiroho kilikuwa kinanidunda-dunda... nikawa sasa mie ndio sitaki wawe nao close tena, hahahahahaaaa....
Thank God kukawa na watoto wa camel pia, nikawaruhusu to play arround watoto but hao mama na baba zao aiseeee...no way!!!
 
 
 
 
My kids with baby-camels... 
You can tell how hawaogopi, maana Faith hadi kanipa pose la picha dadekkk kashika na kiuno...lol
 




Baada ya kucheza na ngamia sasa ni muda wa ku'ride farasi... Damn!!! Was such a great time...

Setting the horse for my kids...



Apo nawatoa wanangu hofu kwanza...wakiona mama kamshika apo na wao wanapata ujasiri wa ajabu...

My everything.... My champion... Fred Jr wangu, riding like he don'ttttttttttttttttttt care!!!
 

Akafatia sasa my baby girl... Faith wangu mie


 
 
Apo sasa ni full kuchokaaaa... 
Tukala tukashiba na my babies wakalala hapo hapooo hadi nikawaamsha sasa turudi zetu kwetu...
 

We had a quality time...

Thanx to dad'akee F-babies, my one and only hubby kwa udhamini mnono wa siku yetu hii... We love you beyond words!!!


Blessed coming week to you all,
XOXO...

Thursday, September 1, 2016

PRECIOUS MOMENTS....

Hi,
Just came across these amazing pictures of my F-Babies... And heyyy naziachaje sasa kuzi'post...
Don't mind the venue... And hapo tulikuwa in a ''dinning for whattttt-mood'' so mtuwacheeee!!!
 
The story behind hizi picha banaaa... 
 
Dah, I hate to share this ila ngoja tuu niwaambie may be mtanisaidia kupata solutions za changamoto hizi...
Yaani mie wanangu jamani swala zima za kutunza pencil ni sheeedaaarrr... Nimejaribu kila njia ya kuwafanya waweze kutunza pencil zao ila waaapiii... kila njia imegonga mwamba kwa hawa wapenzi wa mie... 
Yaani kila siku lazima niwape a new pencil, na wakirudi jioni hawana... yaani madaftari, vitabu, vichongeo, rubber, rullers vyoteee huwa vinarudi salama kabisaaaa...na hivyo if vikipotea ni mara moja moja kwa mwaka...ila pencil ikirudi hata for one day basi ujue kesho yake hairudi...
Nimeshaongea nao about it na vitisho kibaoooo ila dah, bado hali ni ile ileee... And i feel stupid kuwachapa coz of pencil,siwezi kuwachapa for that... so nimeamua niwe nanunua dozen of pencil nakaa nazo ndani, kila wakirudi jioni wanapewa pencil ya kufanyia home works and iyoiyo ndio wataenda nayo shuleni kesho yake...na hapo hairudi tena so wakirudi tena wanapewa nyingine...ivo ndio how na'deal na hii changamoto... I thought of ku'share na walimu wao but nikaona its too minor issue jamani...kuna issues nyingine sasa hata walimu ni kuwaonea sijuiiii, that's how nilihisi..but sijui if ni sahihi... Anyway, ndivyo nilivyoona the right way ya ku'deal na hii changamoto..so kuwa free ku'share anything about issue ya pencil... hahahaaa!! 

Aya tuendelee na story sasa ya hizi picha...
A day before hii siku bana pencils za home zikawa zimeisha so nikawanunulia nyingine and nikazisahau kwenye pochi yangu... so walivyorudi wakashindwa kufanya home work coz pencils niliondoka nazo mie kwa pochi...and nikarudi late home nikawakuta wamelala...I had to let them sleep tuu, so kesho yake asubuhi asubuhiii ndio wakaanza kufanya home works huku wanakunywa chai...
And since i take ''kunywa chai'' too serious ikabidi niwasimamie personaly... Yaani ni lazima wanywe chai ndio waende shule, so nikaona wata'concetrate tuu na home works then swala la chai lisipewe kipaumbele...
 
And i had my moment ya kuwapiga picha nikiwa nawasimamia home works and breakfast... And ofcoz na mie nikawasindikiza with a plain cup of tea
 
 
 
 
 
Na huo ndio mwisho wa story ya picha hizi... 


Till next time,
Nawapenda...
XOXO!!!! 


 



 

 
 

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT