Hope wote mpo pouwa.. Kama kawaida leo tena nilikua na busy day @Retco, ila namshukuru Mungu siku yangu ilikua pouwa sana and nilipata few minutes nika'pose for few pics of my today's look.... Thanx Eve kwa kunichagulia swagger za leo...me love u too much baby akee!!!
![]() |
In love with my 'mkufu' and my shirt details! |
![]() |
peace!!! |
![]() |
Confidence In Me!! |
![]() |
Aaaawwww!!!!I realy need new leggings...Smaller size ofcoz! |
![]() | ||
Nawa'love love wote!!!
|
Tunakulav ww pia
ReplyDeleteunenoga da g
ReplyDeleteunajipatia mwenyewe kila nguo inakupendeza
ReplyDelete