PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, December 3, 2014

BILA WEWE... JORDAN FT. MIRROW & NGWAIR

Darlings...
This song has become my new addiction yaani hadi sijielewi.. Naupenda, nausikiliza 24/7 hadi now naweza kuuimba wote and with correct swag like mie ndio mtunzi wa wimbo..hahahahaa!!
Sijui ni kwa vile ameimba the boy I knew tokea akiwa ka'totoo au what??!! 

Jordan babaa you make aunties proud each and everyday, hapa babaa ulikaza ile mukidee!!!



Jordan De Prince himself...

Next video na Loveness awepo sasa.. Hahahahaa.. Just kidding!!

XOXO!!!

LET'S VOTE VOTE & VOTE!!!!

Dears,



Au download Wechart, search for Big Brother Africa alafu sasa twende kazi... Pamoja tutaweza.. Let's vote vote and voteeee!!!

Idris for the pesaaa ama nini...


XOXO....

HAHAHAHAAAA...#WCW

Wapendwa wangu,
Asanteni sana wale mlionitumia wassap za ushauri wa ku'maintain weight, asante mliosema napendeza nikiwa kibonge pia na wote wote hata mnaonizodoa pia asanteni... Ushauri wenu wote nitaufanyia kazi and at the end of the day bado nitabaki kuwa bombaaa and forever young!!!

I write this post nikiwa na bonge la kicheko maana wassap na instamessage ninazozipata hapa ni za vichekesho sana... Hahahahahaaaa...

Most of them zina advices nzuri ila kuna nyingine mmmmh..... 

Leo mie mwenyewe ndio my WCW...


Mliosema nafanya diet maana sijikubali you are very wrong tena hamnijui vizuri ndio maana mkasema ivo... Mie najikubali hadi najiogopa atiii... Yaani nipo full ma'confidence the way I am ndio maana naweza vaa anything I want... Tell you the secrete, hata bikin wears navaaga ni vile tuu kwa mazingira niliyopo sijapata place ya kuyavaa...ila ukini bamba maeneo husika utaweza zimia maana natoka bomba hatareeeee yaani!!!!
I do diet for healthy reasons.. (Nilipewa ushauri na Doctor nisivuke 80kgs na ndio maana nilianza diet) Na pia I fell in love na body size niliyoipata after diet ndio maana nataka nisiipoteze, na pia manyama uzembe sio issue...wewe kama unayapenda manyama uzembe sioni ajabu maana kila mtu anacho akipendacho au sio???
Mie sipendi manyama uzembe ndio maana I want to maintain middle size body...
Wembamba najua kabisaaa siwezi kufikia labda hadi niende JKT ila middle size body naweza kufikia kwa diet tuu sooooo TeamVibonge please come down and relax!!
(muache kunichamba jamaniii, mbona hata mie nilikuwaga kibonge mwenzenu??? Au mnanionea wivu nimejitahidi kidogo kupungua??? eeeeh... msiwe ivo banaaa, mie nawapenda tuuu hata mkiwa na mapaja kama tembo nawapenda tuuu, mikono kama mti nawapenda tuuu, mashavu kama mimba ya paka mie nawapendaaaa tuuu, figure kama box bado nawapendaaa tuuuu, mwili jumba pia nawapendaaa tuuuu!!!!) 
Umekereka??? Sasa si uanze na wewe diet au uungane tuu na mie kuomba ushauri wa kupunguza weight...


Naishia hapa  kwa sasa...... 
Ila atakeendelea kunichamba wassap nam'post hapa picha yake ya alivyokuwa mwembamba na sasa alivyo bonge.. Hahahahaa!! Endeleeni muone mtavyojipenda hapa na shape zenu kama tisa wakati hata nyie sio wachagga.. lol (Sorry wachagga wenzangu) Hahahaa!!



Love you all sooooo much...
XOXO!!!

Monday, December 1, 2014

THE PROJECT.....

Wapendwa,
Ile project naona imebamba... Hahahahaa
Kwanza let me take this opportunity to Congratulate Diamond kwa kupata tuzo 3 kwa mpigo... Salute you shem darling wa zamani... Tatizo wala sio nyota, man you surely make us very proud!!!

Ila sasa Diamond mie nakaribia kukuchoka na hizo mambo za project...yaani naona kama ni repetitions za matukio yaleyale na ni kama vile unamkomoa Wema kuwa what you did to her you can also do with others (kwangu mie naona ni ushamba) kwanini wewe na Zari msije kivingine????
Ili tuone kweliiii umepata, yale ya nyuma ya kitoto toto umemwachia mtoto Wema na wewe sasa upo na ''ze mutu muzima'' ''ze boss lady'' mnafanya ''ze projekti'' Hahahahaaa...

Kiruuuu, mie bado nasubiria hii season two ya ''ze projekti'' itaishia na episode ngapi??? Nina uhakika haitakaa muda mrefu maana mambo ni yale yale tena haya ya sasa wala hayana kishindo kikubwa kama yaleeeeeee ya movie....
 
 
Wema alikuwa na pajamaz sembuse Zari na gauni kabisaaa!!!
WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATINUMZ WADAIWA KURUDIANA, PICHA ZAO ZA ...
 
Mie nikajua sasa upo na mtu mzima ndio uta'act ki'utu uzima kumbe ni yale yaleee... Hadi naweza kutabiri kesho Diamond ata'post picha ya Zari akiwa anakata mauno jukwaani... Hahahahahahahahaaaaaaa!!!!! Ni utabiri wangu tuu... Chaaaa, mbona kama TeamWema mnaniunga mkono... Si ndio eeeh???!! Kama Madame alikatishwa mauno on the stage, atashindwa nini kukatishwa Ze Boss Lady???!!!

 Wema alibebeshwa tuzo saba sembuse Zari tuzo tatu.. Chaaa!! Diamond nae bana...

MTAZAME WEMA SEPETU SIKU YA KILI MUSIC AWARD 2014 AKIWA NA TUZO ZA ...

RedCarpet's moments ndio zilikuwa za kumwaga na Wema sembuse Zari....

Diamond Platnumz akiwa na Wema Sepetu

Diamond, Wema, Babu Tale na Aunt Ezekiel


BAADA YA KUCHUKUA TUZO WEMA SEPETU AMPONGEZA DIAMOND PLATNUMZ AMUITA ...

Zari my dear, mwenzio alikuwa anakumbatiwa kabisaaa na mate yanaliwa nje njee sembuse wewe umeng'ang'ania mkono... Hahahaaa!!!!

Diamond atwaa tuzo 7 za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 usiku ...

diamond platnumz zari hassan Photos: Diamond alivyotesa tuzo za ...
 And I am soooo ready na season three maana hii two najua inaisha hivi karibuni.... Hahahahahaha!!!

Swala la mama Diamond mie ndio sitaki hata kuliongelea, maana hadi video za kumsifia Wema tushaona, sembuse ya kumkubali Zari... Wapi alivyokuwa anampenda Penny??? lol... Hahahahaaa... Ma'wifi jeeee????
Hayo ebu tuyaache maana may be ningekuwa mie ndio mama akee Diamond labda nisingefanya anything different from what she's doing... (mama's love to the son ni swala la kumuomba tuu Mungu akusaidie aiseee, mtoto mtamuuu atiii..tena akiwa na pesaaaa)

Ila ningekuwa wifi sijui kama ningekuwa mnafki hivi... Mmmmh, hapo ningeona hata aibu kidogo.. Nisinge'post picha hata na mmojawapo kati ya my wifizzzz... Ningesubiria hadi yule wa ndoa, hapo sasa ndio ningejiachia nae hadi mnuneeee!!!
 
 Diamond Platnumz ndio alikua msanii pekee wa Tanzania aliekua akiwania ...



Ni mtazamo wangu tuu... Sipo team yoyoteeeeee!!!

XOXO!!!

CONGRATULATION MY BABY'BRO....

Hey dears,
Sorry for my dissapearing act... I was damn busy these past few days so mnisamehe bure.. 
Now am back, tena very excited kuwapatia ma'story mob.. Stay here tupige story, niwape ma'umbea kidogo, full entertainments, my few looks and mostly tujuzane about business issues!!

Leo nimejipa full day off.. Nipo with my F-Babies (wote wapo home maana wamefunga shule) So ni full burudani!!

Aya sasa naanza hiviiii.... (Making long story short)
Kwetu pamoja na kuwa wasichana wengi, we got kakaz pia... And this is one of them...
Mdogo wangu wa ukweli, his name is Barnaba, we call him Nabas a.k.a Bizo a.k.a Barnito a.k.a Baree a.k.a Carter

 New Accountant In Town....

Juzi my Barnito ali'graduate his first degree in accountancy katika chuo cha IFM.. 
Hongera mdogo wangu, you always make us so proud and umefanya team ya wahasibu kuongezeka katika familia yetu..
Namshukuru Mungu kwa ajili yako.. We are sooooo proud!!!
Idadi ya wahasibu imevunja record kwetu aiseee... Hahahahahaaa, Wachagga na pesa, lol... We got the spirit from dad I guess..


 
 Congratulation my baby'bro... I love you sana and I wish you all the best in life!!!

Pamoja na kuwa muhasibu, Nabas pia ni noumer katika maswala ya IT, in short ukiwa na tatizo lolote la IT, he is the guy to count on... Na ndiye aliyenitengenezea this blog.. So, kama na wewe unataka blog yako ili uwe unaandika utakacho huku unapata pesa ebu jichange kwanza then uni'check kwa 0753 891 997 ili nikupe ma'contact yake!!

Last time I checked He was Single pia... Hahahahaa!!!
(kama kuna new wifi simjui basi imekula kwake...wifi mie ni shiiiiiidaaaaaaah bora ujitambulishe mwenyewe kama anakubania kukutambulisha kwangu... JUST KIDDING)



Congrats Nabas Wetu..
XOXO!!!

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT