PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Sunday, September 4, 2016

SUNDAYING....

Hey sweets,
Karibuni katika ulimwengu wetu... It's all about me, min-me and my everything!!! #Vacaying
Me & Min-me...
Unajua when you spend the whole week kuzisaka pesa mazingira flani iviii ya mapurukushani atleast when it comes to the week'end mtu unahitaji mazingira flani iviii tulivu to relax your mind...
And here we goooo.... Sehemu tulivuuu, out of town... Mazingira ya kijani-kibichi,upepo mwanana!!!
 
 
 
Raha ya watoto ni pale wanapoweza kuyabadilisha mazingira tulivu yako kuwa adventure...
Tulienda purposely kwaajili ya kupumzika week'end ila tukajikuta tuna'create memories za lifetime.... Dah, i love my babies some moreeeee!!!!
 
Going to see the camels...
It feels like tupo somalia in a minute, hahahaaaaaaa
 
My beautiful babies... My min-me and my everything!!!

Them camels... 
Can't believe i took these pictures, nyingine i was too close to them yaani apo nawaogopa hatareeee but i had kuwapa wanangu the courage ili wasiogope... And it worked exellently... yaani hadi nikashangaa how courageous my babies can be, hawakuogopa and wakawa free hadi kupiga nao picha... ila mama yao hapo kiroho kilikuwa kinanidunda-dunda... nikawa sasa mie ndio sitaki wawe nao close tena, hahahahahaaaa....
Thank God kukawa na watoto wa camel pia, nikawaruhusu to play arround watoto but hao mama na baba zao aiseeee...no way!!!
 
 
 
 
My kids with baby-camels... 
You can tell how hawaogopi, maana Faith hadi kanipa pose la picha dadekkk kashika na kiuno...lol
 




Baada ya kucheza na ngamia sasa ni muda wa ku'ride farasi... Damn!!! Was such a great time...

Setting the horse for my kids...



Apo nawatoa wanangu hofu kwanza...wakiona mama kamshika apo na wao wanapata ujasiri wa ajabu...

My everything.... My champion... Fred Jr wangu, riding like he don'ttttttttttttttttttt care!!!
 

Akafatia sasa my baby girl... Faith wangu mie


 
 
Apo sasa ni full kuchokaaaa... 
Tukala tukashiba na my babies wakalala hapo hapooo hadi nikawaamsha sasa turudi zetu kwetu...
 

We had a quality time...

Thanx to dad'akee F-babies, my one and only hubby kwa udhamini mnono wa siku yetu hii... We love you beyond words!!!


Blessed coming week to you all,
XOXO...

Thursday, September 1, 2016

PRECIOUS MOMENTS....

Hi,
Just came across these amazing pictures of my F-Babies... And heyyy naziachaje sasa kuzi'post...
Don't mind the venue... And hapo tulikuwa in a ''dinning for whattttt-mood'' so mtuwacheeee!!!
 
The story behind hizi picha banaaa... 
 
Dah, I hate to share this ila ngoja tuu niwaambie may be mtanisaidia kupata solutions za changamoto hizi...
Yaani mie wanangu jamani swala zima za kutunza pencil ni sheeedaaarrr... Nimejaribu kila njia ya kuwafanya waweze kutunza pencil zao ila waaapiii... kila njia imegonga mwamba kwa hawa wapenzi wa mie... 
Yaani kila siku lazima niwape a new pencil, na wakirudi jioni hawana... yaani madaftari, vitabu, vichongeo, rubber, rullers vyoteee huwa vinarudi salama kabisaaaa...na hivyo if vikipotea ni mara moja moja kwa mwaka...ila pencil ikirudi hata for one day basi ujue kesho yake hairudi...
Nimeshaongea nao about it na vitisho kibaoooo ila dah, bado hali ni ile ileee... And i feel stupid kuwachapa coz of pencil,siwezi kuwachapa for that... so nimeamua niwe nanunua dozen of pencil nakaa nazo ndani, kila wakirudi jioni wanapewa pencil ya kufanyia home works and iyoiyo ndio wataenda nayo shuleni kesho yake...na hapo hairudi tena so wakirudi tena wanapewa nyingine...ivo ndio how na'deal na hii changamoto... I thought of ku'share na walimu wao but nikaona its too minor issue jamani...kuna issues nyingine sasa hata walimu ni kuwaonea sijuiiii, that's how nilihisi..but sijui if ni sahihi... Anyway, ndivyo nilivyoona the right way ya ku'deal na hii changamoto..so kuwa free ku'share anything about issue ya pencil... hahahaaa!! 

Aya tuendelee na story sasa ya hizi picha...
A day before hii siku bana pencils za home zikawa zimeisha so nikawanunulia nyingine and nikazisahau kwenye pochi yangu... so walivyorudi wakashindwa kufanya home work coz pencils niliondoka nazo mie kwa pochi...and nikarudi late home nikawakuta wamelala...I had to let them sleep tuu, so kesho yake asubuhi asubuhiii ndio wakaanza kufanya home works huku wanakunywa chai...
And since i take ''kunywa chai'' too serious ikabidi niwasimamie personaly... Yaani ni lazima wanywe chai ndio waende shule, so nikaona wata'concetrate tuu na home works then swala la chai lisipewe kipaumbele...
 
And i had my moment ya kuwapiga picha nikiwa nawasimamia home works and breakfast... And ofcoz na mie nikawasindikiza with a plain cup of tea
 
 
 
 
 
Na huo ndio mwisho wa story ya picha hizi... 


Till next time,
Nawapenda...
XOXO!!!! 


 



 

 
 

MY DIET UPDATES....

Hellow dears,
Happy New Month...
Hope mnakumbuka kama last month nilianza kufanya diet... Nilijitahidi mno kuwa serious the first two weeks, ila hizi wiki mbili za mwisho wa mwezi wa nane aiseee nilichemshaaaa... And yote hiyo ni kutokana na mazingira niliyokuwa nafanyia kazi kwa hizi wiki mbili za mwisho... I had lots of Black Bee Gin promotions and always places nilizokuwa nashinda ni za vyakula vyakula... yaani nakutana na nyama choma matata hadi uzalendo unanishinda... And my team wote ni walaji wazuri..hahahaaa, so i was sooo tempted... Ila still nilikuwa najitahidi my best kuendeleza my diet, na'cheat siku moja moja and my schedule was too tight for mazoezi pia so gym pia nilikuwa naenda twice a week(Tuesday & Thursday only) coz hizo ndio the only days huwa naweza kuwa free na my personal things...siku nyingine zote ni za kibiashara tuu na Sundays ni siku za kumkumbuka Muumba wangu... 

I started na 98.4kgs....
 Baada ya two weeks nikawa 95.1kgs.....
 
   Dah...asikuambie mtu how nilikuwa proud of myself...Maana hizo siku za mwanzoni za diet huwaga ndio the hardest kupungua, na ningeendelea kuwa serious yaani ningepunguza kweli 15kgs in a month...Ila sasaaaaa, mambo za black bee gin si zikaingilia kati my diet...lol.. Nikaanza ku'cheat sasa diet yangu...
 
Na hapo ndipo nilipo... 94.2kgs.... Kwa mwezi mmoja nimefanikiwa kupunguza only 4.2kgs.. Duh, this is not fair...kujinyima kote hukuuuu...
So, na mwezi huu pia bado naendelea na diet... Ivo ivo hata nikiwa na'cheat kidogo ila as long as naona improvements kidogoooo basi ngoja tuu nikomae...May be mwezi huu naweza punguza hata 5kgs inshallah!!!

Hongereni sana woteeee mlioweza kupunguza kgs nyingi zaidi yangu... Mmetisherrrr sana...
Na kwa wale wenzangu na mie wa less than 5kgs pia msikate tamaaa mpaka kielewekeeee... Hapa kazi tuu,ama neneeee???!!!
Ila kupungua napo pagumuuuuu.... Hahahaahahaaaa


Nawapenda sana!!!
XOXO...

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT