PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, December 13, 2017

A MUST HAVE!!!!

Hey...
 Image may contain: 1 person, closeup
This is a lady to ladies talk... Napenda isomwe na wanawake wengi ila if unayesoma hapa ni mwanaume basi naomba ukamsimulie mkeo!
No automatic alt text available.
Mnisamehe bure for this, ila i am proudly say it's a must kwa kila mwanamke kuwa na vifaa maalumu vya kujifanyia simple make-up at home... Yes, ni lazima yaani wala hata sio ombi wala ushauri...elewa tuu kama wewe huna kati ya hivi consider yourself as a man...wewe ni mwanaume mwenye jinsia ya kike.
No automatic alt text available.
Hapa hakuna cha kujielewa wala kutojielewa...as long as wewe ni mwanamke  ni lazima kwanza uwe na ka'make-up set kadogo dogo, wanja, listick na unyunyu....
Sasa kwa wale wanawake wanaojielewa ndio madiko diko yanazidi...sie tutaongezea foundations, compact powder na wanja wa lulu...
Na wale warembo haswaaaa huongezea na kope juu...
No automatic alt text available.

Sasa kazi ni kwako, endelea kujifanya kuzubaa ubaki karne ya 10 wenzako sie na ulokole na usabato wetu tupo ng'aring'ari karne 22 iyoooo
No automatic alt text available.
Image may contain: drink

My essentials....
Izo car-keys zipotezee...hahahaaaa, inshort mie siku yangu yaijawahi kukamilika bila kuvitumia hivi vitu muhimu...kama sio vyote basi atleast vitatu kati ya hivyo... Hiyo ni kwasababu mie ni mwanamke, nothing else!!!
Image may contain: 1 person, closeup
Sasa pale ninapotaka kuwa zaidi ya mwanake, nakuwa mwanamke mrembo na anayejielewa ndio apo ninapotumia foundation, eye liners na wanja wa lulu... Na hapo sasa ndio najiona i can conqour the world. hahahaaaaa!!!
Hakuna kitu kizuri kama kuwa confident on your own make up and everything... yaani ukiamini umetokelezea kwanza unaongea na yoyoteee, muda wowote na mahali popote...tena kwa kujiamini haswaaaa...
Kama mie hapo imagne ndio unakutana na mie mizururoni, yaani hata kama sikujui...ukiniongelesha tuu nakutia tabasamu mwananaaaaaaaa...jicho nalifungua loteeee na eye'brow moja nakuchezeshea.... Hahahahaaa, chezeiya kunoga weyeee!!!
Image may contain: 1 person, closeup
Image may contain: 1 person

Image may contain: 1 person, smiling

Image may contain: 1 person, closeup

Sasa msipate tabu where to get all those and more... Vyoteee ivyo vinavyoninogesha na kunipa ma'confidence mie navipata E.Zone Cosmetics... tena kwa bei rahisiiii mno. si mnajua mie Mchagga eee?! Napenda sana pesa zaidi ya chakula, yaani pesa is almost kila kitu aiseeee...so nikikuambia hivyo vitu vyote ni bei rahisi,niamini...Coz pamoja na kuupenda sanaaa utanashati na urembo pia naangaliaga na gharama at the first place... 

Image may contain: 1 person, closeup

Image may contain: 1 person, closeup
Karibu ujipatie ma'confidence and beyond at E.Zone Cosmetics, located at Iringa town vibanda vya ccm, karibu kabisaaa na Gf Min Depot... ama call me kwa 0753 891 997, waweza pia ni'wassap ama text me kwa namba hiyo...messages zotee zitajibiwa!!!

No automatic alt text available.

No automatic alt text available.

No automatic alt text available.

No automatic alt text available.

No automatic alt text available.

Love you all,
XOXO!!!

MWANAMKE UREMBO BAAAB......

Hellow beautiful people...
 Image may contain: 1 person, closeup
Mmeshindaje?! Vipi mchaka mchaka wa ''anko'' mnauonaje?? Hahahaaaa...maana kama ni namba mie nishazisoma hadi za kirumi nimezimaliza zoooteeeee, lol
Ila uzuri ni kwambaa, mujini heshima imerudi... Eeeeh, mjini kulizidi tafran jamaniii, duh...ila sasa aaah mambo full respect...
 Image may contain: 1 person, selfie and closeup
Ila baba magu, legeza kidogooo jomoniii...watu hadi tuna'miss ma'party party kiukweli... Na ivi leo nimeamka natamani partyyyy, duh...
Image may contain: 1 person, closeup
Anyways, wanasemaga umaridadi unaficha umasikini right?! Sasa hakuna namna, pamoja na hali tata ya uchumi buanaa ni lazima tuonekane maridadi, warembo na wasafiiii... 
Image may contain: 1 person, smiling, closeup
Na ndio maana E.Zone Cosmetics bado inakazana mnooo kuhakikisha unabakia mrembo kwa a very affordable prices... 

Vitu original kwa bei pouwaaaa!!!
No automatic alt text available.
Hakuna kufubaa, kupauka midomo inahuuuu...
Kwa hizi lipsticks yaani hadi awamu wa tano na ya sita zitaisha bado tunawaka kama wazungu...maana wembamba tutaupata tuu kilazima, then madiko diko ya E.Zone tukiyazingatia aaaaaaah full kung'ara kizungu!!!
Image may contain: one or more people and closeup

Image may contain: one or more people

No automatic alt text available.

Image may contain: 5 people

Image may contain: 1 person, smiling

Lots of love from me,
XOXO...

Saturday, December 9, 2017

BEING KIBONGE....

Hey,
One thing huwa always kinanitatizaga and nimeona sio mbaya leo nika'share with you... Mwanzoni nilijuaga ni mimi tuu, ila nimekutana na watu kibao wananielezea hii changamoto...
Image may contain: 1 person, smiling, selfie, closeup and indoor
Hivi ni kwasababu gani mtu ukifanya diet, mazoezi and all the ways possible za kupunguza mwili unaweza punguza kilo chache sana kwa muda mrefu... lakini ukiacha tuu kwa muda mfupi zinarudi kilo nyingiiiii ajabu... Why??!!! Si zirudi tuu atleast kama ulizopunguza??? why zinarudi hadi kilo za nyongeza jomoniiii....

 Image may contain: 1 person, selfie and closeup
Kwa mfano mie apo kwa picha nilikuwa nimeongeza 8kgs in a month, baada ya kutoka kufanya diet na slimming herbs kama 3months ivii na nikapunguza only 5kgs... ghafla tuu nikaongea 8kgs yaani nyongeza ya 3kgs jomoniii...this isnt fair at allllllll... Au miili mingine ni ya kufanyiwaga diets za life time???
Coz sometimes huwa natamani nijizire tuu, niseme mie nilitakiwaga tuu kuwa kibonge all the time...hahahahaaaa!!
 Image may contain: 1 person, selfie and closeup
Pleaseeee...mwenye kujua ni nini naweza fanya with my very tight schedule, plus sipendi na sitamani gym kabisaaaaaaa...nishaurini vyote jamani sio mazoezi...hahahaa, pia dawa za kuharisha pia no, nipo na tight schedule siwezi stay at home coz of kuharisha and mazingira ninayofanyia kazi sio friendly na izo mambo.... nishaurini kitu ambacho kitanipunguza sanaaaaaa, hata kama kwa muda mrefu ila kisiwe kigumu...
Nasubiria maushauri yenu wapendwa wangu...
0753 891 997

Love from Gf,
XOXO!!!


ZILIPENDWA....

Hey my dears,
Image may contain: 1 person, selfie and closeup 
Image may contain: 1 person, selfie and closeup
Its been longggggg jamani tokea tuwepo humu... I seriously missing you all... sana, yaani mnooo!!!
Image may contain: 1 person, closeup

Bad thing is, nashindwa hata kuwaahidi kuwa sintapotea tena this long maana kiukweli nimekuwa na a very different life style siku izi, nimekuwa na mambo mengi so niki'prioritise eti naona kama ku'blog ndio kupumzike nifanye mengine kwanza... sijui ni umri nao unaenda? Hahahaaahaaa...maana zamani aisee nilikuwa nipo radhi niyaache yote ni'blog kwanza faster ndio nikayafanye mengine kwa kuchelewa...
Image may contain: 1 person, selfie and closeup
But good news pia ni kwamba, sijawaza bado kuacha kabisa ku'blog so muendelee tuu kuwepo wapendwa wangu...nitakuwa najitahidi hata nikipata tuu ten free minutes nitakuwepo hapa...
Image may contain: 1 person, smiling, closeup

Image may contain: one or more people
Aya sasa leo ni mwendo wa zilipendwa... Maana pamoja na how busy i get sijawahi acha kupenda picha, na mashauzi nayo bado ninayo ya kutoshaaaaaaaaaa.... 

Just stay here ili tumalize kwanza ma'picha picha ya kitambo before hatujaanza za current...

Image may contain: 1 person, smiling, closeup


Image may contain: 1 person, shoes and indoor


Image may contain: 1 person, sitting


Image may contain: 1 person, standing and indoor
 Excuse the light, maana mpiga picha wangu wa siku iyo alishapata kitu cha st.anna kidogoooo... Hahahahaaa

By the way... I designed the kitenge-casual-suit by myself... Mie nomaaa, there is nothing i fail...naamuaga tuu ama nafanya kusudi, lol
So the outfit credits goes to me,myself and i...

Nawapenda sana!!!
XOXO...






Thes

Friday, September 15, 2017

MAMBO NI MOTOOOO......!!!

Hi dears,
I have been busy kidogo kwa hizi past few days nilikuwa namalizia malizia the new project ambayo sasa ipo ready kuwa introduced kwenu...
Actually it has already been introduced kwa wale ambao wanani'follow on my Instagram account... (go follow me @flowerhenry7 )   and special account for cosmetics is @e.zone_cosmetics
 No automatic alt text available.
E-Zone is a very new cosmetics point in town...
No automatic alt text available. 
Follow us on instagram account iyo apo...
 
Ni duka jipya la vipodozi na urembo wa kila aina, kuanzia watoto, wanaume na wanawake.... wote lazima tuwe watanashati... 
E-Zone Cosmetics is located in Iringa town, jirani kabisa na GF MIN DEPOT
No automatic alt text available.
Pamoja na kuuza a high end quality products pia E-Zone Cosmetics tunatoa huduma za Ushauri wa urembo... Njoo tukujibu maswali yako yoteee yanayohusiana na urembo.

Tutakushauri jinsi ya kutunza na kuboresha:
  • Ngozi yako 
  • Kucha zako
  • Nywele zako
  • Lips na macho yako
  • Miguu yako
Na kubwa kuliko vyoteeee, wale wenzangu na mie tunaopenda kuwa ma'beyonce, mje tukusaidie kuwa vile ambavyo umekuwa ukitamani kuwa kwa muda mrefu na bado hujawa... Karibu sana na utupe nafasi tukusaidie tuitimize ndoto yako...

  • Umeungua na creams feki??!! Njoo tukurudishie ngozi yako ya asili then sasa uanze upya kuutafuta uzungu...

  • Una sugu na rangi tofauti tofauti mwilini na usoni??! Ata usiwaze yaani wee njoo tukupe products za kukupa rangi moja mwili mzima...

  • Una michirizi ya unene/mimba/creams??!! Karibu ufute michirizi, madoa, makovu na mabakabaka yoteee mwilini

Kwa wale wa ku'keep it natural nao pia kuna lots of products ambazo zitawafanya waonekane watanashati zaidi na wenye nuru ya asili... 

Please dears, spread the news!!!

 Mawasiliano; 0753 891 997

KARIBUNI SANA...
XOXO!!!

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT