Hatimae leo mpiga picha wangu na yeye kakubali kupigwa picha, Hahahaaa...eti kasema this year will be different, ataanza kupenda tuu na yeye picha hadi ntamkataza, hahahaaa...then akamalizia kuwa he is just kidding!!
Bae and i...
He better kurudi tuu kwenye camera aiseee, i cant get a clear picha hata moja...mpiga picha wa leo kanikomeshaaaaa!!!siwezi hata mtaja maana atagoma next time kunipiga picha...hahahahaaa!!!
Duh...asante mpiga picha kwa picha ila nakugawa bureeeeeee!!!!
Bora niji'ekotite zangu mie na #CarSelfie....
leo naendeshwa mie....
Car-madness...
Flue bado inanipelekesha, you can tell from my face apo flue inavyonikomesha... But i am happy, very happy hata sioni kama naumwa...
Selfie with my beibe... wakwangu mwenyewe!!! Hahahaa, yes.. wa mie alone darlings!!!
Kupendwa rahaaaa....
Drunk in-love....
Somebody is gonna get me in trouble... hahahaaa, ama ni mimi ambae i'll get him in trouble eeeh?!
On our own planet...
Thank God tumefika salama tulipokuwa tunaenda...hahahaaa!
To be continue...
Nawapenda sana wote...
XOXO!!
No comments:
Post a Comment