Hope mpo pouwa sana, so do i..
Kiukweli jana na leo nipo on working-mode hatareee, na namshukuru Mungu kwa kuendelea kuzibariki kazi za mikono yangu.. Yaani kila kitu kinakwenda as i planned and even better!!
Since i am having a very productive day basi nikaona sio mbaya to have a minute kuwa hapa to do what i love most ''blogging''
Alright guys, am on diet since last week... And leo nimeanza ku'feel utofauti kidogoooo, ingawaje sijapunguza hata kilo moja yet ila nimeanza kusikia mwili mwepesi-mwepesi... I hope sintakatiza dose, hahahahaaa... Maana that's the problem with me, yaani nikishapungua tuu kidogo,nafurahiiiiii na dose siifatilii tena..then narudi kule kuleee.. This time nahisi nitajitahidi zaidi!!
Sasa ili next time tusikwazane, mie leo nimeona ngoja tuu niwaelezee huu wivu wangu ni wa namna gani...
Mie nina wivu wa maendeleo, wivu ni kutamani eeeh... so mie sema ukweli nikiona mtu ana maendeleo huwa natamani zaidi ya kawaida, yaani naweza nimfate tuu hata na mie anipe mbinu how to be like him/her... Nina wivu na vitu vizuri pia, nikiona mtu kapendeza huwa nasikia mwili unanisisimka so i will do my best hadi na mie nipendeze... ama nione mtu na hair-style nzuri, kiruuuu..hata kama ndio nimetoka saluni leo leo nitatamani nikafumue na mie nikasuke kama yake, na nitamuuliza kabisaa details zote ili nitokelezee na mie... Nina wivu wa kumiliki vitu vizuri na kuishi maisha mazuriiii na ndio maana i work my a** off in every way possible ili niweze ku'accomplish vyoteee ninavyovitamani... Huo ndio wivu nilionao mie, sijui kama ni wivu m'baya au mzuri lakini for me naona huo wivu unafanya kesho yangu isiwe kama jana yangu!!
Sasa since nimeshawaelezea aina ya wivu wangu, naomba mjitahidi sana tusikwazane tena...
And nimekusamehe bure shoga-uyoga wewe kwa kunisema nina wivu maana niliona may be ulikuwa hujui aina ya wivu nilionao... Since umeshaujua sasa next time ujue kuwa siwezi kukuonea wivu mtembea kwa miguu wakati mie natembea nimekaa, nitamuonea wivu anayeendesha Vogue and Fortune na sio wewe na sugua-gaga zako!!!
Nitamuonea wivu mtu anayejielewa kuanzia mavazi, accessories, ma'pochi na saluni kila wiki na sio wewe mwenye ngozi imekupauka kama nyoka anayekaribia kujivua gamba!!! Ngozi hata gryceline haiijui, sasa mie nikuonee wivu kwa kipi labda??? Kwa yapi uliyonayo ya kunitamanisha mie??? Au kutembea na dumu la mafuta ya kupikia kichwani nayo umeona biashara ya kunifanya niitamani na mie??? Hahahahahaaaaa... Nawaonea wivu watu wenye ma'boutique yao, watu wenye ma'office yao ya maana...hao ndio wananitamanisha yaani naweza kujinyima kila kitu ili na mie niwe kama wao, tena good thing nawaambiaga kabisaaa kuwa nawatamani and natamani kuwa even better than wao, lakini kwako kipenzi no,nooo my dear you got me wrong, sikuonei wivu hata kidunchuuuuuuuu ila nakuonea huruma sana!!!!
Since nimekusamehe bureee, ebu leo niishie hapo maana hahahahahaaaaaaa, nakusitiri kwa mengiiiii....
#TeamVepeeee #WamekukachaAmaaaa??!!
Gf mmoja kama millioni moja...
Madame Director!!!
In love with this red-pochi...
The green touches(mkufu and shoes) got me like I misssss being on green! Green used to be my favourite colour eeeeh??!!
Nawaonea wivu ma'director na sio ma'secretary... That's why i made myself a Director of my-own company...huo ndio wivu wangu mie!!! #MadamDirector
I am my Own-Boss... #MadameDirector
Short-hair things... #WaveOnFleek
Mashavu vepeeee....
Mkufu and hereni zake from my da'Ruth's shop... Call 0753 891 997 to get yours!!!!
The face i make when someone say ''Gf ananisema maana ananionea wivu'' Hahahahahahahahaaaa.... girl, you got some nerves!!!!
Confession:Siwasemagi ninaowaonea wivu maana kwanza nawakubali, nawatamani na natamani niwe kama wao, sasa hapo napatia wapi cha kuwasema???!!! Hata kama mie mchokozi lakini aiseee nakosaga kabisaaa pa kuwaanzia, maana wamekamilika kila idara...
Nawapenda woteee, Yes, woteee wale ninaowaonea wivu na nisiotamani kuwa kama wao pia... Love you all!!!
XOXO...
No comments:
Post a Comment