Personally namshukuru sana Mungu kwa kutuvukisha salama 2015, ni kwa neema zake na rehema tumeiona tena 2016... I am thankful for 2015, kiukweli 2015 ulikuwa mwaka wa baraka sana for me!! If i had a chance to change it, i would not change a thing... I am perfect me right now for i am human, i need to be imperfectly perfect!!!!
And sasa i am very ready for what 2016 has to offer for me...
And sasa i am very ready for what 2016 has to offer for me...
As ninavyouanza mwaka, nimeamua to set some goals, the goals too big enough to scare me... And hayo yote naamini nitayaweza katika yeye anitiaye nguvu!!!
Before 2016 ends i must take Gf Min Depot to the next level - Yes, next levels babyyyy.... Namuomba Mungu before 2016 ends Gf Min Depot iwe na branches mbili kubwa... Naami penye nia pana njia!!!
So help me Lord...
Mwaka 2016 pia uwe mwaka wa kuandaa a place ambapo me and hubby could settle when we get old...Not just a house, not even a dreamed house...we need a place we can call home!! A place ambapo tukizeeka wajukuu wetu watakuja kututembelea na kuwa proud kuwa tunaenda kwa bibi/babu...
So help us Lord...
2016 uwe mwaka wa less dramas and a lot of money-making deals...Sitaki mapurukushani yasiyo na maana ingawaje ukinichokoza nitakutengea muda maalumu... Sipendi shari ila ya dharura naiweza..
So help me Lord!!!
2016 mashauzi yataongezeka mara dufu maana i already know kuwa 2016 is gonna be my year!!!!
Mengine mengi na mapya ya 2016 mtaendelea kuyaona as the days go by.. But nawaahidi mambo makubwa na mazuri before 2016 ends!!
Nawapenda sana...
Once again dears,
Happy New Year 2016,
XOXO!!
G hiyo cheni Hahahahaaa meikumbuka lol
ReplyDelete