You can come again here hata kesho maana without you kuja kusoma hapa basi there will be no reason for me to keep on blogging...
Aya, kwa wanao'log out now ''bye and nawapenda!!!'' Na kwa wale wanaoendelea kusoma pia nitawaambia nawapenda at the end...
Sawa eeeh??!!
Mbona unakuta mtu hanunui nunui nguo, saluni huendi hadi sweetie wako akerwe na manywele akunyoe na wembeee, au hadi Gf akuzodoe ndio ukanunue ka'wig kanachopepea (but bora mpenzi) ...hanunui viatu (anasubiria vya mgao) wala mwanae havai nguo mpya hadi Eid-el-fitr and X-mass, am sure hata lotion nzuri haijui, perfume ndio kabisaaaaaaa pengine hajui hata how to spray it and still ana madeni hadi kesi police(nina evidence za picha, bisha nizi'post) na tena kila kukicha unakopa mapya, still huna anything ambacho unaweza kujivunia kuwa atleast i own this or that... Hahahahaaaa, mie i would tell you atleats i own a car but mujini hakuna mama mwenye gari so mie mwenzako mama mwenye nyumba and i am damnnnn proud of myself for that!!!!
Alafuuuu, mbona kupendeza doesn't need millions of money!!! Yaani kwa kipato chako hicho hicho plus vibiashara vya hapa na pale jamani mtu you can be smart!!! Hata kama wauza mafuta ya kupikia tuu ukipiga mahesabu kwa mwezi huwezi ukakosa 50,000tshs ya kununua gauni moja, ama top and skirt atleast basi kila mwezi unajiwekea budget ya nguo moja for you and mwanao... Just as simple as that, kina Gf hapo tutapata wapi ya kukusema if you do that??? Hata nikikusema aiseee hapo itakuwa ukorofi wangu tuu na mie... Hahahahahaaa... ndio maana kila ninapoliongelea wig kipepeo lazima ni'admit kuwa you did well, yes my dear...ni bora uvae tuu ivo kuliko kuacha watu woteee tuone ukoko wa kichwa..Oooops, sorry i wont mention that again till the day na'post on how to treat your hair!!!ila usipobadilika tena sasa ndio utanipenda buree!!!
hahahahaaa...
#Short-hair on fleek..
That smile kill it all...hadi sijioni na shape yangu ya ki'chagga plus kufutuka!! Hahahahaa... i love me some more...
Msisahau these dresses are available and miji'mikufu pia ya ukweee ipo at my da'Ruth's shop... Check me 0753 891 997 ujipatie na wewe, mikufu kama huo wangu hapo ipo in Yellow and Black, ipo pia designs nyingine tamu-tamu in sooo other cool colours too!!
White, Black and Red... #RangiPendwa
Kupendeza ni muhimu kama vile vilivyo na muhimu vitu vingine vya maendeleo wapendwa... Mwanamke kupendeza!!! and ukiona nakukumbusha kupendeza na kuwa msafi basi ujue nakupenda, yessss dear, i love you soooo much ndio maana nakupa ukweli wako kwa manufaa yako!!
NB:Eti niliambiwa wachagga wengi hawana confidence ya kuyavaa magauni design hiyo mie nimevaa..hahahahahaaaa!!! So mie for the love kwa wachagga wenzangu ili mpate ma'confidence na shape zenu leo i feel like kuligawa hilo gauni, still nalipenda so naligawa for the love i have for you all... nimelivaa mara mbili tuu and this time naligawa kwa msomaji atakayetokea Arusha ama Moshi na awe mchagga kiukweli... Yes, kigezo ni uwe Mchagga na uwe katika mikoa hiyo tuu na uwe wa kwanza kunitumia contacts zako and soon nakutumia gauni... Kumbuka, ni kwa Arusha au Moshi tuu!!!
Wachagga woyooooo.....
Nitaomba na picha pia ukiipata...i'll post it if ukipenda niipost na usipotaka niipost i'll respect maamuzi yako...
(Yule wa pink jumpsuit aligoma kunitimia picha jamaniiiiii.. Hhahahahaa, its owky lakini angenitumia tuu nimuone mie na nisii'post, coz alinitumiaga ya before sijamtumia jumpsuit jamani mtoto alikuwa mashallllahhhhh,shape ya hatareeee...haga(makalio) kama amebebeshwa ya watu wanne,hahahaaa..alikuwa mzuri jamani na aliomba nisimpost and i respect that,ila angenitumia na akiwa ameivaa ile jumpsuit ningeburudikaaaa...)
And pia there was a loving soul wa ile jumpsuit pendwa, yeye alinitumia picha and here it is....(Huyu ni yule aliyeshinda to write who Gf is, mnakumbuka eeeh??? If hukumbuki basi soma posts za nyuma, alinijazajeeeee maana sio kwa kunisifia kule,hahahahaaaaaa...na ninavyopenda masifa, dah...alinipatia kweli kweliii)
Beautiful soul from Mwanza... Didn't knew kama ingemtosha vizuri hiviii...Dah, hadi amenifunika...
Jamani mwili mdogo rahaaa eeeh??? Uuuuuwii,nipo kwenye dose ya kupungua na mie..hahahahaaa!!
My dear V, you rock girl...

Till next time lovies...
Nawapenda, tena sana!!
XOXO..
No comments:
Post a Comment