My Eve...
Tulisoma na Eve same school from baby-class to standard seven, ooops..mie nilimwacha primary bado coz mie nilikuwa darasa la mbele yake but how close we were yaani utasema tulikuwa same class... Then tukaja tena kusoma wote chuo kikuu, ingawaje Eve alianza first year mie nikiwa almost namaliza chuo but still we were kama kumbikumbi..yaani langu lake na lake langu... Kitu akisema Eve ''no'' na mie ni ''no'' without ku'discuss na tukikubali ni tunakubaliana wote... Jamani i cant find maneno ya kuelezea how mie na Eve tulivyokuwa maana sometimes hadi tulikuwa tunawakera watu... But she made my childhood memorable kiukweli!!!
And najua Eve pia ananipenda...hahahahahaaaa!!! Yes, i know it for sure aiseee ananipenda huyu mtoto hadi sometimes naonaga kama nam'take advantage, hahahahaaaa!!! She can do anything for me no matter how jamani Eve hapendagi nikikose nikitakacho, yaani yeye anataka tuu niwe na kila nikitakacho faster and nikiwa happy mie basi na yeye ndio furaha yake....
Dears, this LOVE between us ni so serious zaidi ya kila love we have ever experienced... Eve hajawahi kuninunua wala sijawahi kukasirikiana nae, I guess she is just an extra-ordinary being... hahahahaaa!!!
So, when i say it was fun growing up with Eve namaanisha it was really fun...verrryyyy fun!!!
As leo tunavyoikumbuka siku Eve ya kuzaliwa, I wish that she get all the luck, fortune and success possible...
Happy Birthday My Eve!!! Happy birthday mdogo wangu mie... Nakupenda sana...
XOXO!!!
Aaaaw this made me cry. I love you so much my dada
ReplyDeletelove u darln...
ReplyDelete