Happy Sunday lovies...
Leo is one of those lazy-sunday for me...yaani baada tuu ya kutoka kanisani nimejifungia ndani the whole day... I guess my body needed a rest coz it's been a while since nimeshinda tuu home siku nzima for no reason so nime'relax sana leo...
I pray from kesho nitapiga kazi like never before maana jamani i reallllyyyy wanna be a billionaire so freaking bad!!! And that was my today's prayer... Natamani niwe tajiriiiiiii, so pole for those who think i am tajiri coz my dear,i am not even close...na siku nikiwa tajiri trust me nitawaambia kuwa now i am rich..hahahahaaaa!!
Kwa sasa najimudu tuu nilivyo and najitahidi tuu ku'fight nisikose basic needs kama kupendezaaaa, kula bata kidogooo na vitu vingine vingine vidogo-vidogo... But siku nikiwa tajiri wallah mtafurahi na roho zenu maanaaaa,hahahahahaaaa....nisimalizie uondo..just chill tuu hadi niwe tajiri...
And since the God i serve
sio mjomba wa mtu basi naamini one day na mie nitakuwa tajiri...Kama
aliwapa kina Dangote why mie aninyime??!!
As long as namtumaini yeye aliye Juu, naamini na mie zamu yangu imekaribia....
Aya sasa after my today's prayer ebu enjoy my today's look... (Excuse my mashavu, maana yamekuwa manono hadi yananiziba macho, hahahahaa...i take that maneno from hubby..lol)
A soon to be Billgates..hahahaaa, kama najiona vile!!!
Mama La Mama...
Aaaawww....
In love with short-hair style...
My pochi on fleek..
Shavu vepeeee??!!
Shoga'angu wa ukweli, my toto, my one and only Faith nae akaingilia my picha... #ChurchThingzzz
Faith is on Tutu-skirt...i'll get more picha for you to see her skirt vizuri... i loveeeee that skirt, too bad i did not get my size...ndio maana napendaga kupungua jamani, why do they always toa styles tamuuuu for vi'portable kwanzaaaa... I need my size of Tutu-skirt too!!!
My beautiful baby girl and I...
OFF TOPIC: Jamani i am not here to judge anybody, wala sipo hapa kwa ajili ya mtu yeyote... Nipo hapa for me, myself and I... And i blog kwa mapenzi yangu personally so ninachokiandika hapa is what i feel ama what i know ama what i want to say... Sijawahi shinikizwa na mtu yeyote to blog na sintaacha ku'blog kwasababu ya maneno/vitisho vya mtu yeyoteeee...may be and only may be anikataze mume wangu tuu ndio nitaacha, but hakuna mwingine anayeweza nizuia kuwa hapa...
I don't do beefs na watu wasio my levels... #LevelsBabyyy
so if you feel that way ujue you are so damn wrong na hayo ni matatizo yako binafsi.. You want to mess with me basi make sure kwanza we are on the same level.. Otherwise, i only write facts na ukweli mtupu... I like to advice more than to judge, i like to give facts more than insolts and i am too honest ndio maana lazima ukweli ukuume...
And if you feel too offended by being here, feel free not to visit my blog...maana ku'blog mie sintaacha leo wala kesho... And to write and posting what i feel pia ndio kabisaaaaaaaaaa siwezi kuacha kipenzi, sasa unaonaje kama kila jiwe mie nikilirusha lakugonga weyee, why do you still here???!!!
Darling, you are'nt a hater!!! And trust me kuwa you know kila ninachokiandika hapa ni ukweli so you want to change ndio maana you are trying too hard to block me lakini bado kutwaaaa upo in my blog, hahahahahaaa... i know you love me coz i love you too!!
Last but not least, soma my words word by word...line by line and dont ever try kuyaelezea tofauti maana ni maneno mepesi sana haya na yanaeleweka...
Jua kutofautisha kati ya ''ubaya'' na ''uchafu''
Kumbuka pia matusi alinikataza mamaa.. My mamaa tought me well..(In Wema Sepetu's voice) Hahahahaaa!!!
And since i blog for love yaani i can be here till forever na nisichoke kuendelea kuwepo...Tatizo ni kwako maana i surely know this isn't your hobby so endelea kutafuta team ya kukusaidia, ila let me advice you one thing, make sure ukishawakusanya wa kutosha you give them all the details necessary ili waje wamejipanga... I mean that, wajiange haswaaaa maana hapa ni zaidi ya jeshi(JWTZ)...mie mmoja ila ni kama millioni moja...sikurupuki, najiamini, nimejipanga na nina full supporting evidence za kutosha so bring it on!!!
Huo ni ''muhktasari tuu'' (In mume-mswahili's voice) Hahahahahaaaa!!
#UmelikorogaUtalinywaPendaUsipende
Since najiamini, i'll never ever block anybody...I'll not unfriend anybody too maana i want everybody to see what i post direct, vya kuadithiwa huwa havinogiii... Ama neneee???!!!
Aya sasa tuendelee na maombi yetu ya utajiri... hahahahaa!!
Msisahau kuniombea pia nipungue jamani, haya mashavu sasa yaniache unene mwingine uhamie miguuni... Hahahahaaa!! #TooProudNaMiguuYanguYaKichagga
Nawapenda sana wapendwa,
XOXO...
No comments:
Post a Comment