PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, August 30, 2016

ITS ALL ABOUT EVE...

Hey all,
It's feels so good to be here again...Baada ya kimya kingiii chenye mshindo mkuu, i am back...kibabe kabisa!!!!
And leo it's all about Eve's engagement party... Yes dears,my Eve is officially engaged... and pia she is a bride to be so nipo mkao wa kula mie...(diet i am very sorry kwa muda)
Ila wapendwa wangu, Eve anapenda a private life so i'll do my best ili nisipatwe na mnuno wa mwendokasi... Ila she knows how dada'ake napenda kujishauaaa,lol... so nahisi nikizidisha atanisamehe tuu bure.. Ame vepeee??!!
Nianze kwanza kwa kutoa shukurani zangu za dhati kwa Mungu baba kwa kunipa wadogo wanaojielewa... maana kwa mashauzi haya wallah kuna waja wangeshani'mangeKimambi ila inshallah bado napetaaaa!!! Papa-God thank you oooh...
Pili nimshukuru mnooo Eve kwa kunielewa excuse yangu ya kushindwa kuhudhuria shughuli yake hii muhimu...kimwili sikuwa nae ila kiroho tulikuwa pamoja sana dear....
Tatu na mwisho naomba niwashukuru nyie woteeee, ambao mpo hapa na ambao mlikuwa mnachungulia huku daily kuona kama kuna new posts... Mungu wangu wa mbinguni awape haja za mioyo yenu...m'barikiwe sana wapendwa!!!

Baada ya shukrani sasa ni mwendo wa kujishaua, so naomba tuu kiroho safi kama leo upo out of mood tukutane tena kesho... Ila kama upo na stress-free mood ebu endelea kuwepo tujipe marahaaaa... Maana sitaki kesho tupishane na sura za ''utajijuuu''
Jamani naanza kufanya makusudi mie...naanza mashauzi yangu ya kistaarabu kabisaaaaaa maana hapo sikuhudhuria, ningeudhuria wallah mngenigawa bureeeeeeee!!!!
Ni ukweli wa waziwazi jamani nowdays ku-bebwabebwa kumekuwa habari ya mujini...yaani watu wanabebana tuu kama vifurushi vya taka, hakuna cha mahari wala cha kujionyesha mbele ya wazazi so ukimpata mtu akakuheshimu hadi kuja kukuchukua kwenu kwa heshima na taadhima aiseeee watakiwa kumshukuru mno Mungu...
Na tena sometimes waweza jifikiria na kusema bora hata hao waliopata wa kuwabeba beba...hahahaaa!!!
Unajikuta mtu hadi make-ups zinaanza kudunda usoni, maumivu ya umri yanaonekana waziwazi na hujampata hata wa kukubeba kimya-kimya, si waweza hisi una gundu... So narudia tena jamaniiii ni bahati na ni jambo la kumshukuru Mungu sana kuipata heshima kama aliyoipata Eve wangu...
Maana enzi zetu atleast ndoa zilikuwa nje njeee... Hahahahahaaa, where my age-mates at???!!!! lol
Kuolewa rahaaaa....tena raha sanaaaa, hata uwe bossylady zaidi ya Zari lazima kuna point you'll reach na kutaka uwe na someone to call hubby... Ujishaue na wewe na mumeo...na tena utataka kila mtu ajue una mume...hata awe ''jipu'' viiiiipi, still kuna part of you inayo'feel umuhimu wa yeye kuwepo... So wale ma'independent-ladies wa ''Ooooh mume,mume kitu gani wakati i can manage my life'' Weeeeeee...msiwaamini hata kidogo mwaya, maana hao ndio wapo ready hata kulishwa mavi ili waolewe, japo watoe tuu nuksi nao waitwe ''mke wa mtu'' na kwa wenye mashauzi ndio hao waliopo in the stage ya sizitaki mbichi hizi.... Poleni yenuuuu, endeleeni kumuomba Mungu maana yeye ni wetu sote!!!!
Na piaaaa...Every woman needs a man!!!Period...

So,Eve mpenzi natamani hata nisim'post shem'laa wangu huku maana dada zako ma'single ladies wengine wana technics za kijasusi katika kunyakua nyakua... Hahahahaaa... manyakunyaku mshindweeeee, mniwache mie nijashaue na shem'laa....
Ila nita'post picha zake chacheeee mnooo, till the big-day ndio nitamjaza kila kona ya hii blog... Kwa ruhusa ya wifeyyy to be lakini...lol


Kupendwa napo rahaaaa...
Maana anayekupenda atakuheshimu... Imagne hapo Kishumundu(Manyire) kwetu apo lakini shem'laa hakujali cha mavumbi wala manyasiiii....Kwa ridhaa ya moyo wake akaona to put a ring on it shurtiii goti lipigwe... wallah,he is a keeper!!! Ukimpata mwanaume kama huyu hata ufanye diet mwaka mzimaaaa lazima tuu idunde, so msije mlaumu Eve wangu kumuona ghafla kanifikia... Hahahaaa...
Mjue tuu hizo ni mambo ya mahaba zindekiii... Mahaba from mkata mkaa, hapana chezeiyaaa!!!
Now this is how my Eve looked... She nailed it!!!
Yaani alinoga big time....
Ndani ya Green Max-dress with silver glittered kwa kifua, matched with accessories and shoe...
The very simple make-up na kichina hair-style... In one world yaani ni BEAUTIFUL!!!!!
 
 
Dah, mutoto mutamuuu kama wali samaki wa nazi (In kabila la shem'laa voice) hahahahahahaaa....

Sasa mkutane na mpaniaji mwenzangu...yeye nae aliipania shughuli na akawepo... Hahahahaaa, our one and only Doctor wa familia... Doctor Deborah!!! 
Yaani ni alinoga as if kaniwakilisha na mie katika mwili wake...ni kama tumevaa pamoja eeee??!!Two in one... mimi na yeye wote, maana huko kupendeza kwake was too big for one person...
 
 
Ila JKT nayo shikamoooo... hahahahaa, ka'mwili bado katamu kama cake za Mama T aiseee... Ebu na mie nikazane na diet hadi siku ya wedding my mwili uwe katika mpangilio maalumu.... hahahahahaa!!
 
Yaani nikiwaga nasema hawa ni wadogo zangu, huwa it feels like i own a BOT wallahiii.... I am one proud dada alive!!!
 
 

Wadogo akee mie... Wakiwa na le'bff Janeth wa mie, yaani mlininyooshaaaa...Kila mtu kanoga dadekkkk zangu sasa nitawalipizia siku ya wedding... Uuuuwi, naanza tena kupania..hahahahaa!!!
 
Hapo sasa ndio a true definition of Beautiful with brain...
Warembo wanaojielewa...
 
 

Natamani ni'post picha nyingiiiiiii...ila duh, naombeni nyingine ziwe TBT maana after hii post kuna another post ni muhimu mnooo kuwa posted leo, soooo pleaseee naombeni nimalizie na hizo picha mbili tuu kwa leo atleast Baba na Mama mzaa chema pamoja na dada'Ruth wangu nao wawe wamewakilisha kwa leo... Nawapenda hawa watu zaidi ya vile ninavyojipenda mie... Unaweza mess'up with me na nikakupotezea tuu kiroho safiiii(ila ukizidisha kukupotezea ni ngumu) but you can never mess'up na hao (hata kidunchuuuu tuu) then nikakukalia kimya...That's me, that's my weak-point...My family comes first no matter what....
 
Eeeh Mungu asante kwa baraka nyingi katika familia yetu...

Stay here, i'll be back shortly...
Love you,
XOXO!!!

Saturday, August 6, 2016

FROM GFMIN DEPOT....

Hello dears,
Happy week-end to you all....
 
 This is a thankful note kwenu wote mnaoipa'support Gf Min-Depot, you guys are the best!!!! Bila nyie siwezi kuwa mie... nawapenda mnooooooo!!!
 
 Na kwa yeyote mwenye mahitaji ya vinywaji baridi(maji,soda,juice,energy drinks,etc) na vinywaji moto(spirits,whisky,brandy,vodca,gin) bila kusahau Wines na Shampen..please wasiliana nasi kwa 0753 891997 and tutayakidhi mahitaji yako ya vinywaji in a wholesale-prices...na huduma ya usafiri ni bureee kabisa kwa wateja wote waliopo ndani ya manispaa ya Iringa...
 Gf Min Depot - We are the best in town!!!
And msisahau kuwaa...
Mteja kwetu ni rafiki!!!





 With deep-love from Gf Min Depot...
XOXO!!!

Thursday, August 4, 2016

THE STRUGGLE IS REAL....

Hey dears,
Leo ni siku ya nne ya ile program yangu ya kupunguza mwili...duh, it's not a joke...wallah nakoma, the struggle is real...Ila it worth it!!! Maana nashindwa kupiga picha tamuuu coz najiona kibonge nyanya mnooo, pia natumia nguvu nyingi sana kuziweka swagger zikae on point...
 
The only time i remember being this chubby was nilivyojifungua my daughter... Yes, and the excuse was ''mie mzazi'' ''nanyonyesha'' hahahaaaa... 
But look at me now...duh!!! Mie i cant even tell where my kiuno is, my big-eyes sasa..kiruuu yamezibwa na mashavu kabisaaaaa na shingo ina mikunjo-kunjo as nataka kuwa na videvu viwili...hahahaaa, aiseee huu sio ubonge tuu, ni ubonge wa mwendo kasi... 98.4kgs and am not pregoo ata...yaani ni mimi myself and i tuu kgs zote hizo???!!! Zis is noti raiti kwa kweliiiiii.....
Aiseee hata iweje yaani i must kupungua tuu...hakuna namna, ingawaje my body is craving for sugar, yaani natamani soda and ice-cream hadi nadata...Uuuuwiii,jee ninavyotamani Ugali sasaaaa, kiruuuu...nime'miss ugali hadi ninavyoandika hapa nahisi ile harufu ya ugali flani iviii amazing unaungua kidogo iviiii na kitu cha hot-fire pembeni, chaaaaa!!! mate yananitoka... Hahahaaa...
 
Ila dah, sidanganyiki,this time hadi kieleweke... na tena from jana nakunywa na cabbage-juice to speed up the process ya kupungua uzito...so i am sure in seven days nitakuwa nimepunguza 3-5kgs inshallah!!!!
 
Still bado mwendo ni uleule...no sugar,no starch for a month... ni mwendo wa michemsho(eggs and white meat only) na kabichi za kutosha na matunda mengiiiiiii hadi nashiba... Plus lots of juice, fresh home-made juice...cabbage juice and buchirash...mazoezi kidogo...baaaasi!!!!
Heee, talking about mazoezi yaani hapa naumwa mwili mzima...Apo mazoezi ni only 30min a day...and nafanya mazoezi mepesi mepesi tuu kama kuruka kamba, jogging na set'ups kidogooo...ila in 30min nakuwa nime'sweat hatareeee!!! Kweli sikuutendea haki mwili wangu for kula-kula bila mpangilio...haahahahahaa!!!

Asanteni wadau wote tuliopo pamoja in this process... Thanx for ushauri, challanges na kero za kuongezeka uzito faster...its so nice sharing with you all personally...na'enjoy na kufarijika nikiona kuwa sio mimi tuu ninayeenda kula kula to calm-down myself when am in stress...and mostly napenda vile mnanipa ways to handle and kuepuka kula kula hovyo...And i am very sure hadi huu mwezi uishe lazima wote tuwe tumepunguza 10-15kgs...

Na wewe una tatizo la kula kula bila mpangilio???!!! Is that your way of handling a stressful situation???!!! Huendi unene unaokera???!!! Unahitaji ubonge-sexy na hujui how easy you can reduce your body size???!!!
 Worry out...Haupo peke yako my dear...Tupo pamoja!!! Gf yupo na wewe in the same situation, na sasa amepata njia ya kujitoa huko...ebu tutoke pamoja darling....
Let's chart kwa 0753 891 997,  normal sms/text pamoja na wassap only
(Dont dm me on my Insta account au usinitumie inbox kwa my facebook ac maana huko nilizilimbikiza za muda mrefu so zipo nyingiiii mnooo bado sijazisoma so ikiingia na yako huko kuiona ni kazi, but nikipata muda nitazifungua nizisome and nitajibu...ila for now tutumie my numbers tuu...and i promise you guys nitawajibu woteeee, inshallah)


And mnajua nini, nawapenda ile noumerrrr!!!
XOXO...

Monday, August 1, 2016

HELLOW AUGUST......

Hi dears,
Nimekuwa very thankfull and greatful kwa miezi yote ya 2016... From January to June kiukweli was amazing...more than blessed and mipango yangu yote ilikamilika 100% ama 200% kabisaaaa... Ila sasa, talking about July, keleuwiiii... yaani hadi sasa bado sielewi nimeuvukaje vukaje huo mwezi jamani...Dah!!! Ni kwa Neema tuu na Rehema za Mwenyezi Mungu, maana kiukweli July was a tough month ever (for me)... Nilikuwa na mambo mengi and still mambo mengi yapo pending ila atleast 60% yalikuwa accomplished...na kwa hayo tuu still siamini kama sasa i can proudly say ''Asante Baba Mungu umenitendea mema" naamini August kabla haijaisha mambo yote yaliyobaki July yatakamilika na goals za August zitatimia kwa Jina lipitalo Majina Yote!!!! Amen...
Funny thing is, as tough,stressfull and u'busy wa mwezi July was ndivyo na my eating habit ika'change, yaani ikawa si ya nchi hii... hahahahaaaa, nilikuwa nakula-kula balaa...
I guess that's the reason mie huwa nikiwa na stress nanenepa sana... maana nikiwaza tuu how mambo hayaendi vile nataka weeee najipooza na soda baridi kwanza ndio niendelee kuwaza vizuri... na yakinizidi mnooo natafuta bonge la kopo la ice-cream to cool down...mweee!!! hadi mambo yameanza kunyooka sasa ndio najishtukia nimekuwa kibonge nyanya flaniii iviiii not amazing!!
 This is me today...like very seriousssssssss,yaani 98.4kgs, wallah najikasirikia for this...i am not doing fair to my beautiful body...kiruuuu!!!

Ila sasa, since July imepita with everything good and bad ndani yake, mie bado nipo na nitaendelea kuwepo, Gf herself, mama la mama and i am still that Iron-lady of all the time... A conqouer, a winner...always kichwa na sijawahi kuwa mkia..
So kibabe kabisaa namshukuru Mungu kwa July and looking forward for a very successful August... 

And this is my ''hellow-August'' mood... 
 Kwanza kabisa ni mwendo wa zoezi(gym).... Ingawaje nachukia kufanya mazoezi lakini aiseee sina namna, huu mwili unakuwa tishio sasa for real...it's not healthy and it's not sexy... nataka ule ubonge'sexy... haahahahahaaa!!!
After gym sasa ni mambo flani hiviii amazing mnooo ya kurudisha my skin-tone... niwe mzungu flani from Kishumundu kwetu with a very healthy skin, natural tuiachie misitu...mweeh!!!
 Had a very serious 30min work-out today... Hadi nikalowa jasho, don't mind wanja haujafutika coz nimechora a temporary tatoo ya wanja hapo so i can sweat on it more than ten times ndio uanze kufifia...
(maana hamkawii oooh zoezi gani wanja upo on point,heeee...kwani mmeambiwa mkifanya zoezi ndio msijirembe??!! Haihusuuuu.....)

Then nimeanza diet and bila kusahau kitu cha Buchirash body sleem from fettilicous_kiboko_ya_vitambi....
Breakfast ni after mazoezi, mayai mawili ya kuchemshwa,matunda na my favourite coffee from Edmark, hii kahawa kiukweli nayo nahisi nitaiacha kwa muda,but naipendaaa..uuuwiiii, siiwekei sukari and still nai'enjoy hatareeeee!!!
 (i do gym in the morning only) na baada ya hapo ni lots lots of home-made fresh juice with no sugar and bila kusahau kitu cha cabbage till jioni nitakula samaki mchemsho...
Cabbage mchemsho...Ina chumvi,karots,hoho na kitunguu maji tuu... Ina ladha nzuri trust me, yaani haiboi, na kitunguu na hoho vinapoteza kidogo ile harufu ya kabichi...so its a perfect meal kwa mie kwa mwezi mzima....
 
My juice in the making...
naweka lots of fruits as possible na ili isinikere nitakuwa na'change change aina za matunda kila mara kwa mwezi mzima..
 
Ina ladha nzuriiii hatareee, no sugar apo lakini ni tamuuuu!!!

And kila Jumamosi nitakuwa nakunywa buchirash.... 

So let's chill and see kwa huu mwezi mmoja nitafanikiwa kupunguza kgs ngapi???!!!

Feel free to join me katika kupunguza mwili kidogooooo!!!

Aaaah, i also take asali mbichi when nikisikia mwili umechoka au nikitamani kula kula vitu vitamu vitamu...natembea na kikopo changu cha asali kabisa, ni mwendo wa kulambaaa tuu asali kwa raha zangu... No ice-cream No soda No chocklate for the whole month...Hadi kieleweke!!!

 Naamini hadi August iishe lazima nirudi kwenye 75-79kgs... yaani hata ikiwa 80kgs sio mbaya sanaaa, ila ndio iwe mwishoooooooo.... na Mungu akiniwezesha hata 74kgs hivi nitashukuruuuu, lakini nisikonde,lol...nipungue tuu...maana napenda nibakie na nyama nyama amazing!!!! 

Tell a friend to tell a friend that's i am back... And my love for you still the same!!!
XOXO...

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT