PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, October 19, 2016

ALL ROADS LEAD TO EVE.....

Hey dears,
It's all about Eve's send off party... 

Ilikuwa ni party ya kifamilia tuu and few very close friends... Tulimuaga Eve wetu, home kwetu, kijijini kwetu Manyire Arusha...
Naomba niifanye post hii iwe na maneno machacheee as possible, maana nina picha nyingiii and zote natamani nizipost...so nikiweka porojo zangu hapa wallahy hii post itavunja world's records kwa urefu... (sijui kama nitaweza maana nina mengiiii pia ya kuelezea yaani, hahahaaa... nitajitahidi tuu...hakuna namna)
 
Aya tuanze sasa, kwanza kabisa hii blog post inakujia kwa udhamini munonooo wa shemelaaaa mwenyewe Mr.Peter.. Asante baba kwa kuniwezesha ku'blog nikiwa napulizwa na kiyoyozi moja matata kabisa hapa kwa kando na Apple juice pembeni...Umetisherrrr sana shemelaaa ake mie...
Pili ni kwa wote wasiotaka kuonekana huku msijali maana sintawa'post... kiukweli naheshimu sana privacy ya mtu so nitajitahidi my very best kuwa'post tuu wale waliopo willing...ukijiona kwa bahati mbaya pleaseeee ujue nimepitiwa tuu...

 Tatu natamani niwatambulishe kwenu Mr & Mrs Peter to be ila it already feels like kila mtu ameshawajua...so let's skip that na tuanze hiviiiii.......
 
 
Party yetu ilikuwa ya ki'coctail flani iviiii very amazing...Yaani uzungu mwingiiii, uswahili ndio usipimeeee...mix apo apo kigita na kichagga then ongezea tena uzungu mwingine...
Wallahy naweza sema so far that was the very bestttt, verry free and verrryyy classic Send off party niliyohudhuria mwaka huu wote...
Maana kila mtu alikuwa free to do vile anapenda ilimradi mambo yaende sawa... And si mnajua home is always the best eee??!! sasa pata picha partyyy la ki'home home... aiseee was the very bestesssstttttttt....

  
Kabla sijaendelea na ma'picha picha naomba nitoe shukurani zangu za dhati kwa niaba ya my dad and mamaa kwa wote mliohudhuria na kushirikiana nasi kwa namna moja au nyingine kukamilisha party hii...
Tunamshukuru Mungu kwa mema mengi, baraka tele, afya, amani na furaha...
We are very proud of our Eve kwa kututoa kimaso-maso... Pia asanteni our in-laws kwa kutupa heshima kubwa kama hii!!!

Mungu awabariki sana....

Special thanx to our big sisy Hellen, wifi yetu (mama Levina) kwa kusababisha katika suala zima la maakuli/msosi mtamuuuu sana (hasa hasa lile pilao wallahy naombeni course ya kulipika)... 

Asante pia big bro Adam kwa kufanikisha swala zima la nyama nyama, wewe ni noumerrrr kakaa!!

Asante da'Ruth wangu, Doctor wa familia a.k.a Dr.Debby and me katika kupendezesha kijijini kwetu...warembaji wa kujitegemea sie!! Hahahahaaa...
 
Asante sana Sellah for the beautifu l''Mrs Peter To Be'' Cake, all the way from Dar es salaam (Follow her Instagram @didis_creamcake) and Janeth (Follow her Instagram @janjebby) for the nice cake and cup cakes za ki'A-city... Mlitisha sanaaaa wapenzi wangu!!!

Devine make up, asante kwa kutufanya tung'areee kipenzi... Follow her Instagram page @devine_makeup kwa make ups za kijanja ndani ya A.town na mikoa ya karibu...

Asante sana kaka la makaka...
 

The one and only ''DON'' wa familia, Barnaba wetu for usafiri usio na stress ya petrol, for drinks na mazaga zaga kibao babe...
Ulisababisha vyema pande zile aiseee!!!! Mungu akubariki zaidi ''ze don'' wetu... Ingawaje uliondoka mapema sana kwa sababu za kikazi ila uwepo wako ulisababisha makubwa mnooo kwenda sawa!!! We love you Barnabas wetu!!!
 Hayupo single jamaniiii, he is taken and we gonna officialize it soon ila you can follow him on his Insta page @n.a.b.a.s
Hapo Faith kamsaidia my wii kukaba penalt...hahahahahaaaa!!! hataki muchezo na nyakunyakuzzz....

Dah..eti apo ndio najitahidi kufupisha maneno...Kiruuu, ebu sasa karibuni tukaanze shereheee...
Meet our queen of selfie...bibi arusi wetu to be apo aki'take selfies na dad and mamaa before going to her table....


I just fall for this picture, yaani inaongea maneno matamu sanaaaa!!! I call it picha inenayo mema...
Say AMENNNNNN...

Basi wazazi wakamfikisha Eve kwenye meza yake, tukafungua kwa sala, na Eve akajiona mpweke...eti amepwaya kwenye kiti....

Si unajua sie si watu wa mchezo mchezo....Tukampatia bongeee la kampani from Faith, hahahahahaaaaa....
Eve akasema eti yeye na Faith wana mahaba mazito, na anampenda Faith zaidi ya GF anavyompenda, lol..(Apo kweli aliamua kuturubuni) ilaaaa angefurahi zaidi angepata kampan ya jinsia nyingine kwa siku iyo, then Faith yeye ataendelea kubaki moyoni mwake...
 Akajua katuwezaaaa...kumbe alisahau sie hatupendi ujinga... Hahahhaahahaha....
Tukamlete wa jinsia nyingine tena wawili kwa mpigo...
Apo ndio akagundua sie sio watu wa mchezo mchezo aiseee... Ikabidi tuu aseme jameniiii mie hapa mbele leo nataka nikae na murume wani... Sasa apo kwa vile wengiiii wetu tulikuwa ni wachagga tukabaki tumetoa tuu macho... Kiruuuu, kumbe kuna mugita mumojaa kutoka pande za Musoma yeye alielewa what Eve alimaanisha... Ghafla Eve huyooo, kumfata m'gita wake, sie tukabaki ''macho kodo-kodooooo tukakodoaaa kodo,tukakodoaaaa''
Kumbe huyooo ndio Murume wani ''in Eve's voice'' hahahahaaaaa.....

Mchagga wa kizungu a.k.a my dad... Mwenyewe hanaga makuu wala hana hiana, akampokea ''murume wani'' wa Eve pamoja na ndugu,jamaa na marafiki wote from our in-laws....Akawakaribisha Manyire kwetu...
 (hahahahahahaha,Peter unaninyoosha wallahy maana haya mazingira uliyoniweka ni'blogie ndio yananifanya naongea maneno menggiiiiii wakati mie sitaki...hahahahahaaaa...Chezeiyaaaa ku'blog kwa udhamini munonoooo weye) 

Baada ya utambulisho from our in-laws... Na mambo mambo mengine machache yaliendelea then Our sweetes boy Lucky, mtoto wa our big sisy akaomba special chance ya kumpa ma'mdogo wake a very special taji... Alilitengeneze mwenyeweee kwa mikono yake ili amvalishe ma'mdogo Eve... 
Too sweet!!!

Apo kila kitu sasa kikawa sauwaaa kabaisaaa....tukaendelea!!Hahahahahahahaa... I wish niwe napost picha zote ila as i said mwanzoni kuwa naheshimu privacy za watu... So najitahidi mnooo kuziweka picha ziendane kimatukio bila kuharibu mpangilio na still watu wengine wasikwazike kwa kuwekwa hapa... Nadhani tunaenda sawa eee?!
Eve naona apo tabasamu likawa kuntuuuu....
Akawapokea wakwe na mu'beibeee kwa kitu cha shampen... Eeeeh, mwanamke shurti ujue kunesa nesa na shampein buanaaaaa....
Pozi apo kama vile Peter anasema Wantekenyaga ukinyongaaa salomeeee, Eve anamaliziaje vilee................................... Eeeeewaaah!!! Ivo ivo mlivyomalizia...  Hahahhaaaaa... Ukipendwa ringaaaa!!!!
Doctor nae hakuwepo nyuma katika sualaa zima la kufungua shampen...yaani jamani Doctor that day alifanya kazi nyingiiii,dah...pole mdogo wangu, maana kiukweli hataa hukuonyesha kuchokaaa sana..ila tuu niliamini ulichoka kipenzi haswaaa pale ulipogoma kuvaa hills...hahahahaaa.. Ila nilielewa my dear, and unajua ni neneee???!!! Ulinogaaaa, yaani ulifunikaaa hatareeee kabaisaaa mdogo wa mie...
 
Doctor mrembo hadi mgonjwa anapona bila matibabu... Hahahahhaaa, doctor akikuangalia tuu na jicho lake weee unapona fastaaa... Jicho jichoooo mutoto...
Ghafla nakufananisha na VeraSadiki...hahahahahaaaa!!!!

Kiruuuu...tuendelee na shampen wapendwa wa mie...
 Ikamiminwaaa....
 
Wakagonga cheerssss....
Wakanyweshanaaaa....
Cheers na wazazi...
Msijali maana nishatanguliza barua ya maombi kwa wazazi wa Peter atleast siku ya wedding waniruhusu ku'post picha yao ya cheers...hahahahaaa... Masharti na vigezo nitavizingatia maana nimeomba kwa heshima na taadhima!!!
 Wote tukagonga Cheerssss na wapendwa wetu... Tukawatakia kila lenye heri liwapate na kila ovu liwapitie mbaliiiii!!!!

Baada ya wote kugonga Cheers sasa ni time ya Cake... Yesssss, sekta muhimu iyo..hahahahaaa...
Cake ya kwanza was from the parents, walishindwa kumwambia Eve good-bye... Instead walimwambia wanampenda!!!
And since watoto wetu wanawawakilisha wazazi wetu (As Faith is my mamaa's name-sake so yeye ni mama'angu na Fred since ni first born basi yeye ni baba mkwe na baba'angu apo apo since sina other son...so as applied to watoto wa my sisys n bros) So wao walitoa Cake ya pamoja na wazazi, ''we love u daughter cup-cakes)
Babu,Bibi na wajukuu wakimkabidhi Eve cake and cup-cakes....
Akapokea, akashukuru....

Second cake is from her dadazzzz... Madada wa nguvuuu!!!
Tukamkabidhi Mrs Peter To Be...
 
Eve akasema yee alimfunza mama kuwa kila atakachopokea ni lazima nae atoe... So akapokea Cakes na akutulisha woteeeee...
From wazazi wote to kila aliyehudhurua....

 Naomba tuu niji'post na mie nikila cake then wengine nitawapostigi siku nyingine, ili nijitahidi kumaliza matukio yote fastaaa... Maana juice ya Apple iliisha nikaletewa milk-shake ya vanila, hata sijaimaliza sasa nishaletewa ''plata'' (Mixed nyama za kila aina in one plate) natakiwa nile mie....hahahhahahahaaa... Huu udhamini shemelaaaa, sio wa kitoto...
Aaaaw...ni udhamini munono munooooo!!!!

After cakes sasa ni msosi timeeee....
Dah, hapa ninavyo'blog nalikumbuka lile pilao...Wallahy lilikuwa kuntuuuuu!!! Thanks God nina ''plata'' yangu hapa so mambo yanaenda sawa...

 
Msosi unaendeleaaaa....

 Hahahahahahahaaaaaaa.....ila aliyenipiga mie na wanangu hii picha mungu anamuonaaa... hahahahahahahahaa, sio kwa kuzama hukooo deep in msosiiii...lohhhh!!!! Mcheck ebu Fred apo jamaniiii, hahahahahaaaaa... sijui ni nyama ile mdomoni anaisikilizia apo kama aweke kijiko chini aikule vizuri na mkono,lol..Faith sasaaa hahahahahaaaaa, mdomoni kumejaa bado mkononi kuna nyama, njoo sasa kwa mama la mama..Uuuuuwiii, namtafuta mie aliyenipiga hii picha... Wallahy ana zawadi yake, ebu ajitokeze tuu fasta..hahahaaa...maana sio kwa mimashavu hayooo and kama vile kapilao kameingia kwenye shavu so hapo nakaweka sawa...
hahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
My ribs....

Baada ya msosi sasa ni zawadi time...
Mamaa akimsomea Eve zawadi zake... 
Cheque ya pesa taslim za kiTanzania ambayo ni siri yao na Eve, na Peter nahisi...hahahahaa... Hati ya kiwanja kilichopimwa pamoja na kapu la mama...(Kapu lenye mahitaji muhimu ya nyumbani)
 Akashukuru kwa mazawadi yenye uzito munonoooo...

Mambo za madolariiii...
cheko la pesaaaaaaaaaaa hiloooo.....

Mama La Mama nikimtunza mdogo wangu kitu cha kwa obama.... Mie nikitoa pesa za madafu sasa na Faith atoe neneeee???!!! Hahahahaaaa...pata kitu cha Dollar beibyyyy.....
Niongezeeeeeeeeeeee.... hahahahaaa, wallahy nina bitiiii!!!

Apo tena Lucky akaona huyu ma'mdogo ananizoea...mambo za kuvaa na kuvua taji langu sio fresh...sasa namvalisha tena..hahahahaaaaa... Rahaaaaaaaa... Alivyomvalisha tena alafu akamvua na akamvalisha tenaaa...hahahahahahaa
 
Then zamu ya Faith kutunza....
 
 Mambo za dinner-sets za ukweeeee.... 

 
 Hahahhaaaa...hapana chazeiyaaa mchagga na pesa aiseeee...yaani kagoma kuziweka dolareee pembeniii... Anapokea nazo zawadi nyingine ivo ivo kazishikilia...hahahahaaa!!! Tisherrr sana dear...
 
Doctor ulitisherrr mamaaa....

Dah...kiukweli nimejitahidi kuyakumbuka matukio mengiii...hata kama sio yote ila 90% nimeyaelezea apo... Hope mme'enjoy kuwepo hapa leo... Na si mnajua Mungu ni wetu sote eeeeh???!!! So msi'panick kwa baraka za wenzako... endelea kumuomba Mungu na wewe atakujalia... One day yessss, ama nene??!!!

 Peter na Eve, tunawaombea kwa Mungu aendelee kuwabariki... mmalize safari yenu hii pamoja na awape watoto kama hao mliopiga nao picha hapo... Hahahahaaaa... Iyo ndio iwe familia yenu, one girl and three boys, hahahahahaaa..Inshallah!!!





Sasa wacha tujishauweeee.....
Hahahahaahahahaaa.... bi.arusi to be ulitishaaaa, itabidi Debby akufundishe mapozi ya ki'bi arusiiii...
maana doctor nae mtataaa..lol

Meet Gf katika ubora wangu sasa....
 

Aaaawwww..... Mie and Debby on pointtttttt
 
 

 Mie na roho zangu....
 mapicha-pichaaa kwa kwenda mbeleeey
 
 
 

Naombeni niwaage sasa...
Asanteni wote kwa uwepo wenu...
Tunawapenda sanaaa!!!

XOXO...

Tuesday, October 4, 2016

HABAREEE YA MUJINI.....

Hey all,
Habari ya mujini kwa sasa ni kuwa wakala wa Black Bee Gin... What are you waiting for my dear??!!!
Kuwa mujanjaaa... Kamata fursa ya kujiongezea kipato kwa kuwa wakala wa Black Bee Gin, tupigie 0753 891 997 tukupe maelezo zaidi...  It's soooo very easy yaani...just call us ama tutembelee dukani kwetu at GF MIN DEPOT - Iringa mjini....
 
Ni wakati wa kujiachia sasa na Black Bee Gin.... Crisp clear taste!!!
 

Maisha ni haya hayaaa... Furahia maisha na Black Bee Gin!!!
Tena kwa usawa huu wa ancle'magu, when it comes to kujipa raha kiukweli unachohitaji ni kupata burudani yenye thamani ya pesa yako and nothing less!!! Yesss, and ukiongelea suala la burudani yenye thamani ya pesa yako you must be talking about Black Bee Gin...
Bei affordable, ladha nzuri na inakupa burudaniii ya kijanja!!!!

 
Eeeeh ndiwooo!!!
Utamu Utamuniiii... Black Bee Gin ni zaidi ya kinywaji, ni hisia... 
 
Wakati ni sasa. Hii ni siku yako. Fanya iwe ya kipekee kwa kujiliwaza na Black Bee Gin...
 
Drink responsibly... 
Usisahau Black Bee Gin inakupa urahisi wa kuburudika muda na mahali popote unapotaka kupumzika baada ya kazi...

 Leo Blog Post hii imekuja kwa udhamini wa mnono wa Black Bee Gin... Gin ambayo inanipa leo mapumziko muruwaaaa...na'relax without stress maana ina mtonyo mrefuuu, hapo hapo naburudika kwa ladha nzuri huku naongeza wekundu flaniii ivi kwa wallet yangu...

Nahitaji nini tena mie??!! #PapaGodThankYouForMyLife
#IReallyLoveMyLife
                 
XOXO!!!

Monday, October 3, 2016

OCTOBER VIBES....

Hey all,
Happy October....
 


Ila siku zinakimbia... Yaani i can't believe bado miezi miwili tuu tuumalize mwaka 2016, dah...I am very happy kiukweli!!!
Nafurahi sana maana almost 90% of my 2016 goals zipo accomplished, sina cha kumrudishia Mungu wangu zaidi ya kusema Asante,kweli wewe ni Baba!!!
 
Na kwa wale ambao bado kukamilisha goals zenu za 2016, msikate tamaa, miezi miwili ni mingi sana kama una nia na malengo...
Hata kama mambo ni magumu make sure hukati tamaa...Keep on trying no matter what... Hakikisha 2017 haikukuti pale ulipokuwa 2016, make sure umesogea, piga hatua, sio lazima uyamalize/uyakamilishe yote uliyoyapanga ila keep going...
Mwendo ni mwendo as long as hubakii ulipokuwa before... Kimbia kama unaweza,ila pia usijilazimishe sanaaaaa maana sio lazima ukimbie, kama haiwezekani basi tembea tuu...ikishindikana kabisaaa basi tambaa... ila what'ever you are doing make sure you move... 


Na katika yote tuyafanyayo tukumbuke kumtanguliza Mungu mbele... Akazibariki kazi za mikono yetu na everything we touch kibadilike kuwa dhahabu... Neema na Baraka za Mungu ziwe juu yetu wote wenye nia za kufanikiwa...
 
Na katika yoteee hayo mkumbuke kuwa haya ni maisha... Live to the fullest!!! Ishi vile unapenda na unaweza, do not compete with mtu yeyoteeee...narudia tena jamani do nottttt shindana na yeyote katika kuishi... Compete with yourself, vile utakavyoishi kesho kuwe better than vile unaishi leo...
Na haya maisha ni barabara/njia tuu, wote tunapita so ku'overtake is allowed... pia nobody atakushangaa if you move in a slow motion... hakuna atakaye'panic pia ukitoka na speed 360.... ila tuu mie nitakushangaa kama utabaki umeganda barabarani miaka nenda rudi...

That's my October vibe... 
Take it or leave it, maamuzi ya mwisho ni ya wewe mwenyewe....
If my vibes bores you am soreeeee... If yakiwa na maana ebu jaribu ku'work on it then come thank me later!!!

 
XOXO!!!

Thursday, September 29, 2016

POVU VEPEEE.... #PANIC AT YOUR OWN RISK

Dears...
One thing about me ambacho wala sio cha kujishaua wala cha kujisifia...yaani ni kitu very true about me ni kwambaaa...
Mie ni mtu mmoja peace sana, yaani napenda kuwa na amani all the time, na hivyohivyo napenda kuwa chanzo cha amani to everyone... As they say vile upendavyo kufanyiwa ndivyo uwafanyie na wenzako...That's me!! so ukiona mie mpaka naamua kuongea vya kukukosesha amani wallahy ujue yamenifika hapaaaaaaaaaaaaaaaa shingoni kabisa!!! And trust me yaani sipendiiiii, ila inanibidi tuu maana hakuna namna yaani i must talk tuu....

And before hatujaenda mbali pleaseeee,unajijua una pressure yako ya kushuka ishia hapa before hatujasababishaina mengineee... Maana mie hadi niongee kitu yaani nipo 100% certain na nikisemacho na ndio maana sijawahi futaga post...Once umeona nime'post ujue nina uhakika na najiamini mia ya mia na i am very ready for lolote litakalokuja after iyo post... Yaani najipanga haswaaaaaaaaaaaa...so sipendi kutishiwa nyau... As nilishawahi sema before, this is my blog... nobody can nipangia what to post here... labda yaani tena ni labdaaaa naweza tetemeshwa tuu na mume wangu about my posts... And to him only ndio naweza jielezea zaidi about my posts so you better take your pressure pills and relax maana i am about to start.......
Picha za Faith zinahusiana na post hii since leo my fashionista alimtoa mtu povu kwa vile alikuwa in her ''hair-relaxation'' mood... 
I call it ''hair-relaxation'' mood maana sio kawaida ya Faith kubaki na nywele zake ivo tuu for days, huwa nikimfumua leo namuosha, i blowdry her and kumsuka on the same day... na hata kama akiwa na place anaenda akiwa amezibana yaani akirudi home jioni lazima nimsuke... As mnaona her hair is still natural so akilala nazo ivo next day hata kuzichana tuu inakuwa kasheshe... But hizo apo nilikuwa sijamsuka leo was siku ya tatu..(Ingawaje sasa nimeshamsuka)...
And this post is not kwa vile nilishasemaga mie cheza na mimi but don't touch my family.... Noooooo, this post is about me trying out kuelezea na kuonyesha tofauti ya nywele rough na nywele zinazopumzishwa...
Coz if it were about me posting here kwa kumsema vibaya my baby wallahy nakuapia hata usingeweza kuamka kesho asubuhi kwenda kazini...i got tonnes of shits za kukuambia na ujione upo uchi hata ukiwa ndani ya hijab... Ila let's save all the drama and nikuelezee tuu kuwa leo ulivyomuona Faith na nywele zake ivo, ni kwa vile sometimes kichwa kinahitaji kupumzishwa, na nywele natural (safi ofcoz) haziwezi kunyooka as zimetiwa relaxer so ulivyoenda kujiongelesha kuwa Ooooh Gf mashauzi na mwanae wakati manywele yapo rough sijui manini nini mwenyewe wajijua mapovu yalivyokutoka...mamaa koma, tena ukome haswaaa maana Faith sio size yako hatarobokwake wewe huwezi ingia... Sijisifii ila huo ndio ukweli, wewe na ukoko wako wa kichwani tokea umenunua wigi moja(lenye mabawa ukivaa kama unapeperuka) kutwaaaa kulivaa hilo-hilo kama wewe huachagi kichwa kipigwe na upepo shostiii basi leo naona upate somo through Faith... Mwanamke shurti kichwa kipigwe na upepo mara moja moja...
Kwa taarifa yako hao ulioenda kuwapa povu lako ndio kutwa wanalalamika uvundo unaowatolea ofisini... Hahahahaaaa!!! walihisi labda hujui kuoga fresh, ama hujioshi ukatakata...kumbe tatizo laweza kuwa uvundo unachangia na kutokuosha kichwa,kurudia wigi mwezi mzima bila kuachia kichwa kipate hewa... Hahahahaaaa, yaani nacheka kama mazuri,,,duh!!!
 As nimesema ni hiviii...Leo najaribu tuu kuelezea tofauti ya nywele rough sijui kitimu timu na nywele chafu zenye ukoko na uvundo... Faith pamoja na kuwa ni mtoto lakini when it comes toher hair hadi watu wazima wanampigia saluti...
Hasukwi wala haoshwi nywele zake salun ila hair products zake ni shikamoooo... Na mie sio kujishaua ila kila mtu ni shaidi kuwa i know how to treat her hair right... tena nikimsuka walaaa hutaamini kama ndio kwanza nimejifunzia kusuka kwenye kichwa chake...
Aya....wewe secretary mzima mara yako ya mwisho hata kuosha nywele zako na shampoo ya buku jero ni lini????!!!!!!!
Maana mapovu yalivyokuwa yanakutoka i am very sure kichwani kwako bado lilikuwepo wigi lile lileeee la kipepeo dot com... Aya, nalo mara ya mwisho kuli'treat ni lini????!!!!! Au hujui hata kama wigs pia should be treated... maana hata hilo la bei ya nyanya latakiwa liwe linafuliwa shostiii...ila usije panic ukalifua then ulikaushe na drayer mama, hahahahaaa....maana litayeyuka kama mfuko wa rambo ukidondokewa na kaa la moto...
 
Let's make things short and mie niwe clear tuu one thing... No matter what's going on in your life, no matter how life treats you and no matter how misserable your life seems to be..Never never never ever tolea stress zako kwa mtoto, tena kwa maneno ya uongo tuu ya kumchafua... Ni ushauri tuu na sio lazima uufate!!!
Ila siku nyingine waweza nikuta na zile akili zangu za kichokozi mie nikaanza hadi elezea hapa how your hubby alivyodondoka juu ya meza akipanda darini kuficha naniiii...nimalizie???!!!!.....naniiii!!!...hahahahahaaa... Bahati yako leo sipo na hizo akili... leo sitaki kukukosesha amani kabisaaaa, i only want to make things clear...
By the way, Your trick was very nice...Ingawaje mie nilishakusahaugi mudaaaa, ila that was the very best way ya kujaribu kuninyima raha leo, ila ume'fail...Yaani hujafanikiwa hata toneeee...sana sana unataka tuu nikuaibishe na mie sipendi kukuaibisha shostito wa mie....
Alafu unajua wewe una akili sana, sasa why upogo kama punguani most of the time??? Maana now umeijua weak-point yangu, that's sooo brave...umejua pa kunitikisia ni upitie through Faith,roho yangu mie, mwanangu wa dhahabu.... ila tuu one thing ni kwamba, umekosa la kunitetemesha...nywele rough??!!!Kitim-tim sijui hazijachanwa....Hahahahahahahaaa.... Iyo ni style ya ki'super-star ya kukipumzisha kichwa mamito if you didn't knew... Sasa ebu jaribu kingine labda, ila iyo ya nywele aiseee...Hapanaaa, na a true definition ya kitimu timu ni wew, if you dought it ebu jiangalie kwenye kioo kwanza...maana kioo hakidanganyi mama!!!
 I can not tell you uachane na Faith au umkome, ila nakushauri tuu sasa utafute something relevant ndio uje with facts... Yaani uje na bomu ambalo mie mwenyewe nikilisikia lazima nidateeee, lasivyo don't ever thing of kuhamishia stress zako kwa any member of my family tena maana sasa i will take that personnaly...
Na sintakuwa hapa kuweka mambo clear ila nitakuja to show you the real definition of being over protective kwa familia yangu...
You can play with me vyovyote upendavyo and sintajali walaaaaaa,ila never ever rudia tena to play with my family member yoyoteeeeeeeeeee!!!
I mean it madam-secretary wa boss...
 
 
 
 The very good thing i love taking pictures so hizi picha nilimpiga Faith before hata sijazisikia hizo povu... Looking at them now najiambia mbona my girl wa rocking ivo na kiduku style yake ya kishkaji... Au ushamba??!!! Hahahahaaa... Maana pengine my shogaa-uyoga yeye ni mujanjaaa, mie na u'kishumundu wangu apo nilijiona mwanangu ka'rockkkk like Blue Ivy ama North Kanye West...hahahahaaaaaa... kumbe kamtoa povuuuu my shogaaaa!!! hahahahaaaaa...
 
Aya buanaaa... mie ni kama vile ndio stimu za kuendelea kuwepo hapa zinazidi... Ila nina majukumu mengine wapendwa wa mie, so nijikaze tuu kuishia hapa... Wale wa ku'panic ebu m'panic tuu at your own risk maana hakuna namna...Ila tuu msisahau one thing which will never ever change between me and nyie ni mapenzi yangu kwenu... Nawapenda mnooo, wote...

Till next time,
XOXO!!!

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT