PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Thursday, December 25, 2014

MERRY CHRISTMASS...

Wapendwa,
Me, my family and Gf-team tunawatakia Heri ya Christmas... Tunawapenda and kwaombea mema yote yawe juu yenu!!







Merry Christmas Everybody!!!
XOXO...

Wednesday, December 24, 2014

''UNASUBIRI NINI NA WEWE USIVALISHWE PETE SASA'' IN SHILOLE VOICE...LOL

Hahahahaa,
Wapenzi wa mie, kwanza kabisaaa naombeni niwaambie kuwa mie mambo ya ''project'' yashanikinai kabisaaaa, mwanzoni yalikuwa na mvuto hatareeee ila sasa kama waiiii, hata hayasisimui tena so msishangae kuniona kimya siyaongelei, ni kwamba bado namsubiria kaka ''Diamond'' aje kivingine!!

Leo naomba tuhamie kwa Shishi baibbbyyy a.k.a Shilole kiuno a.k.a muke mtarajiwa wa Nuh Mziwanda na tuache roho za kwanini, tumpe pongezi zake kwa kuvalishwa pete ya uchumba... Ama neneee (in Wema Sepetu's voice)
Shilole 1
Ilikuwa ni her birthday party and Engagement ring ikashushwa kidoleni kwake, means she is officially mke mtarajiwa wa Nuh!!
 Matukio yote in Video...

Hongera shishi baiby wa mziwanda...
Mie binafsi nakutakia kila la heri kwa hatuo hiyo mwaya, Inshallah Mungu awasaidie mfikie ndoa salama na mzeeke pamoja... 
Achana na waliokosa hata wa kuwavalisha iyo pete, kila siku oooooh, jimama ooooh serengeti boy.. nyoooo!!! Na wewe si ukatafute serengeti wako akuvalishe pete bi.shost uondoe hata nuksi... Tusemage ila alishachumbiwaga??!! (In my funny voice)  Hahahahaahaa!!!
Acheni hizooo, la sivyo mtabaki tuu kudandia waume wa watu (kama mlivyozoea eeeh??!!) badala mtafute vijana wenzenu muanze nao maisha...
Naamini it's every African-woman dream kuwa mke wa mtu ila kama kwako unaona kweliiii imeshindikana kabisaa na ndio kwanzaa unaanza kuwa mzee basi kaa kimya watu wakiwapata wa kuwaoa, tena utulie na utafute plan B kimya kimya...


Ni hayo tuu kwa leo... Kama kimekugusa basi poleeee shogaa, endelea kuomba Mungu, inshallah atakufikiria na wewe, by the way kwani how old are you??????!!!!!!
Hahahahahaahahaa..
Bye!!!

Nawapenda hadi napata raha!!!
XOXO...

Tuesday, December 23, 2014

IT FEELS LIKE X-MASS....

Hello darlings!!
It's a very busy holiday week eeh... Yaani kila mtu yupo busy, mji umechangamka and I like the feelings.. Inaonekana it's realy a holiday week.. 

Let me take this chance to wish you all maandalizi mema ya sikukuu maana tayari it feels like X-Mass!!!



X-Mass mode = ACTIVATED


My Fashionista In X-Mass week swagger!!!


A million dollar pose!!!


Nampenda huyu apa....


Ready kwenda kununua mapambo ya X-Mass tree...


My doll is better than yours!!!


Love you all...

Thanx for stoping by...

XOXO!!!

Monday, December 22, 2014

FASHIONISTA IS BACK....

Hellow dears,
Duh, nimewa'miss sana woteeee, and I realy miss being here too..

I had a very busy week'end and pia I was not feeling well sana but namshukuru Mungu leo I am supper good...

Tell every body kuwa I am back baibbbbbyyyyy!!!!!

My fashionista Is Back too... 

On Point na Sunday swagger...



Roho ya Gf...


My Kichuner....

Aaaaaw....



Totoo ake mie...


XOXO!!!

Friday, December 12, 2014

HAPPY FRIDAY....

Hey dolls!!
It's Friday, happy day...
Yaani kati ya zile siku za week nizipendazo ndio zinaanzia leo.. Hahahaaa, i realy love fridays, saturdays and sundays...

And my diet is still on progress... Maendeleo ni mazuri sana, I am back to 79kgs... God is good!!!

Bado nakaza buti hadi sasa nifikishe 70kgs kabisaaaa... Yeah, Mungu nisaidie maana kuna vi'birthday vingi arround, kweli naweza vumilia cakes mie??!!! Hahahahaa...
Ila kwa vile sipendi manyama uzembe aisee nitajikaza... Mmmmmhhhh!!!!
Apo ndio ugumu wa diet unaanziaga, when watu wanakula cakes unawaangalia tuu unatamani ulie... Nyama sasa, aaaauuwiiii tena ziwe roast roast sijui ndio tandoor beef masala na ma'curry curry ya kutosha, keleuwiiii...
Kwa uwezo wa Mungu nitaepuka vishawishi, hahahahaaa... Au nitakula tuu this week then next week nianze tena diet upya... kidding bana!!!

 

Good thing ukiwa na middle size body yaani unakuwa mwepesi and unatoka more sexy and free in any swagger you put on... Sio kwamba wabonge hawawi sexy and free, nooo..wanakuwa pia ila sio kama wanavyonoga wembamba!!


 
 Haya sasa wale wa kujiachiaaaa...tukutane wapi kule???!!! Hahahahaa...lol hujiachiii week'days, hata na week'end bado unajibania???!! Wacha hizo banaaa, twende tukaharibu diet kidogo leo ama nene....

Happy friday everybody!!!!!!
XOXO..

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT