Habari zenu... Mie nipo much better kwa sasa!!!
I miss you guys lots... Ebu kwanza niwape pole wale wenzangu na mie tulioingizwa mujini na wifi... Hahhahaaaaaa...lol Sasa wifi ndio nini kutufanyia usanii ivo??? Tumenunua link, tumekesha na White party bado hatujaona, hahahahaaaa.... Shikamoo Zari!!!
Aya sasa after iyo ya wii ebu tujiliwaze na Faith's day!!!
Yeah, jana was my little angle's born-day!!
It was amaizingggg yaani, kama kawaida ilikuwa family party...
So, for now mle tuu kwa macho..hahahahaaa #FamilyParty
For me when you talk about party aiseee cake ndio everything, nikikosa cake (tena a very nice one) naona kama sio party... So i had kumtendea mwanagu haki, all shukrani goes to Mama T's cake delight, maana kweli she did wonders.... Aliifanya Faith's birthday iwe a very nice party day!!!
Ka'mdoli cake was soooooo beautiful...
And the cup'cakes too.... Yummyyy
Msosi sasa... Mpishi ni mie mwenyewe... Yes, i cooked by myself!!! Haahhahahahaa...#mpishi mie#
MENU: (1)Pilau njegere karots and beef (2)chips kavu (3)kuku roast (4)kabichi ya kukaanga na nyanya (5)mchuzi wa nazi (6)uyoga roasted!!!
Chezea mpishiiiii Gf.....
Nilifanikiwa to suprize my girl... alifurahi saaanaaaa!!!
Tulikulaaaa na kusaza...
Daddy akee... (picha za usiku mbaya,hahaahahhaaa...)
Aya sasa Faith akaona a dress linamzingua, anashindwa ku'enjoy the birthday cake fresh...
kaka Fred Jr was here too... #My son
Mmmmhhh.....
Tupoje busyyy.... Jamani dadyyyy, picha gani hizi... Hahahahaaaa!!! Ki'home home...
Mdoli akachomolewa... Hahahahaa
Full kushiba, full kula cake...
Owky wapendwa, hope mme'enjoy Faith's birthday as we did... Cake bado ipo, karibuni sana!!
Happy Birthday Mr.Henry too...
My dad pia alizaliwa same date and month na Faith.. So my warm birthday wishes pia zimuendee dad wangu, my king and my hero!! Happy Birthday papito... I love you sooo very much!!!
So Faith is my dad's birthmate and my mama's name-sake... When I say I love Faith, namaanisha nampenda mwanangu, my dad and my mama!!
I love you Faith, I love you very deep...
Happy Birthday Dears!!!
XOXO!!!
Aaaaw happy birthday by lovies
ReplyDelete