Pamoja na kuwa bado hajisikii fresh ila my fashionista bado anapenda urembo, yaani jana kaning'ang'aniza nimsuke hatareee...
Nikimsuka tuu kidogo analala,namuacha...akikurupuka anataka niendelee, nikianza tena analala...hahahaaa... naona hizi dawa za mafua ndio zilikuwa zinampa usingizi...na ukizingatia mama haumizi kusuka,anasuka taratiiiiibuuuu hadi mwenyewe anasinzia!! #SuperMama#
Aya. hii ndio hair-style alio nayo fashionista from jana, hahahaaaa... Hapo juu tulisema tutamalizia badae...hadi leo bado hatujamalizia.. Duh...hii ni Faith's style basi...
Fashionista alimsindikiza mama site, mafundi ndio wanafanya finishing sasa... God is good!! Ila tayari frames(vyumba) vyote vipo booked..
Aya sasa before Faith's style, my toto alikuwa hiviiii...
Post hii ni kwa hisani ya my old laptop...
Love you....
XOXO!!
No comments:
Post a Comment