Habari za Alhamisi... Mie siku yangu was wonderful, leo watu kibao wameshatoa oda zao za SLIMMING HERB ya BODY SLEEM, hope by next week tutaanza kupata feed back from wote mtakaozitumia...
Yeah...tungependa tujue matokeo ya kila mtu...
Pia dawa hii ni ya asili so haina side-effects zozote kabisaaaa so uwe na amani kutumia, na unasisitizwa kunywa maji mengi sana kwasababu itakutoa mafuta kwa speed ya hatareeee ambayo itakufanya mwili ushtuke na uishiwe nguvu kidogo, so unavyokunywa maji mengi ndio utakuwa ngangari hadi umalize dose...
Aya sasa ngoja mie nianze kuwapa matokeo yangu... Au kabla ya matokeo niwape mkasa ulionifikisha kuifahamu hii dawa...
Mmmmh, if mnakumbuka post ya juzi juzi tuu hapa ''GF HERSELF'' ni post ya MAY 5th 2015 ilikuwa siku ya Jumanne, (if huikumbuki ebu kaisome fasta then uje tuendelee) ........................... ............................ ................................. .................................. ...............
Aya mshaisoma eeeh???!!! Si mmeona nilivyokuwa najishaua na my bantu-figure??? Hahahahahaaaa.... And i said sipo kabisa kwenye moody ya diet mwezi huu, ni hadi June ndio nitaanza diet...
Pia mnakumbuka huu mwezi ulivyoanza niliwaambia ni mwezi niupendao sana, maana una memories nyingi tamu za maisha yangu and you all know what's the bestestttt way ya kuzienzi memory nzuri za maisha yako eeeeh.... ni full kujipa raha, na raha hainogi bila msosi mtamuuuu na outings za kwenda kula ice-creams na vijizawadi zawadi vya chocklates n.k
Sasa kiukweli ningewezaje kuwa na moody ya diet???? Nikiwaza hubby aniletee chocklate then nisiile uuuuuuwiiiiiii mate yananitokaje sasa najikuta nakosa kabisaaa hamu na diet....
So niliona nisijitese to the limits, kupungua napenda sana ila jamani kula pia napenda aiseee...na ndio maana nikajipa huu mwezi mzima nileeee hadi ''memories'' zote nizitendee haki then June ndio nianze tena diet yangu....
Sasa that day (May 5th 2015), nilikuwa natamani sana kuvaa that U.S.A's flag shirt niliyoivaa, ila tatizo lilikuwa moja tuuuuuu, lilikuwa haliwezi kufunga vifungo!!! Nilikazana weee lakini wapiiii.... vifungo vikagoma kabisaaa kufikiana...
As mnavyonijua sikubaligi kushindwa easly eeeh...ndio nikaja na that stylish swagger, nikavaa blue-vest ndani then ndio nikaivaa iyo shirt kwa juu... Hahahaaa, mie kibonge ninaejielewa atiiii!!!!!
Nilivaa hiviii...
Hapo navishika vifungo hata kimoja kifunge kinizibe tumbo...lol
Nilipendeza lakini eeeh, yeah...nilitokea fresh tuu na sio rahisi mtu ku'notice kama nilifanya vile coz shirt halifikiani kufunga vifungo...wengi mlijua ndio swagger yangu (which it's perfect) na I have to admit, mie pia nilijipenda nilivyovaa vile...
Only one person ndio alinizodoa kuwa kwenye lile pozi, tumbo langu lilionekana kubwa as if nina mimba changa...
Hii ni screen-shot ya message yake, hapo nime'cut msione namba yake lakini....
And you all know when i act when i got mad eeeeh??!!! Hahahahaaaa, I simply give you an ''I DONT CARE'' message then ''NATAFAKARI'' then ''NACHUKUA HATUA'' and that was exactly what i did the day....
Nilimpatia huyo mtu maneno yake ya kumtosha tuu kuwa walaaaa sijali opinions zake maana kwanza that time ndio nilikuwa nimetoka kwenye malaria dose nilikuwa ni lazima nile, so i gotta love my bantu body anywayyyy!!!! Eeeeeh,si unene wangu,wewe ulikuwashia nini???!!!! Hahahahahaaa.... (We all feel much relief tukisema ivo, ila rohoni mmmh we feel horrible)
Then nikayatafakari yale maneno, nikaona why huyu tuu ndiye aliyenizodoa??? Mbona wengine wamesema i look good??? So huyu atakuwa tuu ni ''hatter'' and you all know what ''hatters'' do... They motivate me... So,i felt motivated.... three days latter nikaanza research ya kupungua unene while bado naweza kula kula vinono kidogo, and guess whaaaattttt?????!!!!! Hiki ndio kikawa chanzo cha kuijua hii SLIMMING HERB ya BODY SLEEM... Thank you Fetty!!!
Nikachukua hatua, nikapewa na mifano hai kabisaaaaa kwa walioitumia... Then juzi na mie nikaanza, leo ndio siku ya nne yesssss ''four days only'' tokea nimeanza kuitumia na tayari my U.S.A's flag top inafunga vifungo......
Hii ni picha ya leo, yes leo tarehe 14th May 2015
Apo na leggings za orange ni kabla sijaanza kutumia SLIMMING HERB ya BODY SLEEM than red leggings ni on my 4th day ya kutumia hii dawa...
Picha ya mwanzo shirt vifungo viligoma, ya pili vimefunga ila bado limenibana kidogo sasa nataka picha ya tatu hilo shirt liwe linanipwaya kabisaaaa, hahahahaaaa!!!
Bado sijapima uzito hadi nitumie dawa kwa seven days, ukiniangalia faste unaweza ukahisi kama sijapungua...ila as i told you jana, hii dawa inakupunguza kwanza tumbo (na ndicho kilichotokea kwangu leo) mie nimeshapungua tumbo sasa nakazana nipungue zaidiii hadi na mwili wote pia uonekane umepungua then na'stopisha kidogo nili'check...
Hadi manyama uzembeee kwa nyuma na pembeni ya tumbo pia naona yanaanza disappear eeeh...
Shostito hajui tuu nilivyo na raha leo,hahahahaaa...ata akiingilia picha yangu simfukuzi...ila hilo poziiii jamani Faith...!!!!
No more manyama uzembe, i am very happpppyyyyy!!!
Call us kwa 0753 891 997 au 0767 728 764 na wewe uwe na bantu figure inayoeleweka... Ama neneee!!!!
Nasalije sasa nipungue mpaka mashavuuuu... hahahaaa!!!
Imagine apo mashavu yakipungua jinsi jicho litakavyoonekana vizuri... Uuuuwiiii hubby lazima unilipie mahari upya aiseee, this time mahari unipe mwenyewe eeeh... hahahahaa #Kidding
Ila i love this round-face, i hope sintaipoteza yote... Na ndio raha ya hii dawa, weee ukiona sasa umeshapungua vile unapenda wewe basiiii una'stop...
Say noooo to mashavu yanayoziba macho... Hhahahahahahaaaaaaaaaaaa.... nitanuna!!!
Habari ya mujini ni kuwa na bantu-figure inayoeleweka... Say BIG NOOOOO to manyama uzembe, kitambi na unene usio na mpangilio....
Lazima kieleweke... ''2015 A walk to remember'' (Nimeiiba iyo kwa madame Sepetunga)
Nawapenda sana wooooteeeeeeee........
Faith na yeye anataka atokee kwa lap'top so forgive the pose,
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment