PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, May 12, 2015

MY ZILIPENDWA-DRESS

Hi all,
Hope everybody is fine... Mie nipo owky too!!

Hizi picha nilikua nipo on my ''zilipendwa'' dress, yeah...kila mtu anayependa fashions najua lazima analo hili gauni maana ni moja ya magauni yaliyopendwa sanaaa enzi zake.... Na kati ya the most selling dresses at my boutique aisee these dresses zipo on top five...


Haya magauni yalitokaga ya rangi nyingi nyingiiii, na mengine yalikuwa plain, mengine with a touch of polka-dots na mengine strips kama hili langu....
And yalikuwa na ka'belt flani iviii amaizing!!!!!

Great thing about this dress ni kwamba lipo classic, style yake haipitwi na wakati easily maana it has too much of official teaste...
And the most beautiful thing about this dress, it makes you feel like a lady, it has that feminine-gesture and that can absolutely bring out the very best of who you are!!!


If i were to advice you on what to keep kabatini kwako....this dress worth it!!!






Faith akeee on mama's photo...



It was lovely passing by,

XOXO!!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT