Hii picha sasa ndio nimeamini kweliiii nimepungua, hapo no filter..
Leo hata nimepata hamu ya kujua nina kilo ngapi sasa, and guessss whaaatttt????
Nimeshapungua 6Kgs, yes kilo sita nimezikata faster without gym wala diet, maana nakula as usual... Ni mambo tuu za SLIMMING HERB ya BODY SLEEM hizo, ni hatareeeeeee!!!
Naanza kupunguza speed aisee maana hapa sasa nahisi pananitosha tosha eeeh...maana hadi naona nimekuwa na shingo ndefu... Kiruuuu, hii dawa ndio kiboko yangu mie!!
Selfieeeee....
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment