This is Gf herself and she is dressed by her own boutique...
I miss to pose for a pic sana, thank God am well now maana ni mwendo wa ma-picha picha tuu...
Nimeongezeka sana, i gain 4kgs.. kipindi chote nilivyokuwa naumwa sikuwa nafanya diet and msosi nilikuwa naula bila kujivunga, hahahahaaaa.... And i wont be in diet the whole May, maana huu ni mwezi wa kula-kula tuu...
June ndio nitaanza diet tena, now i have to love this body anyway....
I love this collection... #Tops and leggings bado zipo, anayetaka anicheck kwa 0753 891 997
Yewomiiii....
Mmmmh... Gf....
Gotta love my bantu-figure for a while....
#Nipo in No diet mode#
Come you shop with us!!! 0753 891 997
Nawapenda...
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment