PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Monday, January 11, 2016

ABOUT MY BIRTHDAY....

Hi all,
On 5th this month was my birthday...I was turning 30, yesss 30years old and i feel like a sweet-sixteen still..hahahaaa!! All the thanx kwa Mungu Baba muumba mbingu na nchi!!
I am greatful!!!
 
I have been too very busy hadi nikachelewa to update you about my birthday things...Ila leo pamoja na my too tight schedule still nimejikaza tuu to blog maana etiiiiii nimesikia kuna ka'mtu kanajitapa kalinitukana on my birth-day??!! Hahahahahahahaaa...uuuuwiii, nicheke mie, eti ulifanyaje???!!!! Serious shogaaaa???!!! Hahahahaaa, labda ndotoni, maana shoga'angu wewe tuu from juu hadi chini tayari ni tusi...so hata ulipokuwa unalalamika kuwa nakutukana in my blog yaani nilicheka tuu maana kuelezea tuu wewe ulivyo ni bonge la tusiiii!!! Hahahaaa.. Ila uache uongo mpendwa wa mie maana utanifanya next time niku'record kabisaaa vile unavyotiaga huruma when ukikutana na mie, ili ukiwa unawadanganya watu niwe nawarushia video kabisaaa!!!
Alafu unajipatia dhambi za bure kusema nakutukana coz mie kutukana alinikataza mama... And kumbuka mie ni team no-matusi!!! Hapa facts tuu, na ninazoje facts nyingiiiii, ila nakusitiri kwa mengiii ivooo wewe???!!! Au niyamwageee??? Hahahahahaaaa.... And the good thing nayapata direct from the source, hizo facts hata sio za kuadithiwa na third-party...yaani ni full direct from the core!!! Hahahahaaaa.... Kama nakuona pressure inavyoanza kushuka, relaxxxx dear, leo ni mambo za birthday tuu bana na facts kidunchuuuuuuuuuuu za kukukumbusha next time uwe mkweli...
Aya banaa, ngoja tuanzie mwanzo kabisaaa how that day ilivyokuwa...
For real ilikuwa day pouwa sana kwangu maana kwanza kabisaaa niliamshwa na ka'pesa kakuji'spoil from my hubby maana he was not arround... Thank you love, najua mdogo mdogo kuna siku utani'suprise na Lamborghini kabisaaaa!! (hizo spelling sijui ndio ivo,kiruuu)
 
Thank you hubby akee...
#ExcuseSalio 
Jamani wapendwa, sijui ni uchagga wangu au vepeee, maana hakuna kitu nafurahia kama kupewa zawadi ya pesa.. hahahaa!! Tena from my mume...Kiruuu, hata ikiwa sh.mia wallahhh naweza kushukuru wiki nzima... Hhahahahahaaa!!! Dont get me wrong but kweli napenda zawadi-pesa... and i respect and protect his money a little bit more serious too...
Tatizo sasa ni wale kina shoga-uyoga wa mie..hahahaaa, mume hadi anaogopa kuweka pesa ndani maana akigeuka tuu upande wa pili umeikwapua... Hivi wawezaje kumuibia mumeo hela???? Keleuwiiii... mbaya zaidi ni vile mume anavyokuwa fed'up hadi anaanza kukutangaza etiii ''mke wangu bora nimuache na mwanaume usiku kucha kuliko kumwachia hata elfu hamsini yangu chumbani then niende kuoga'' hahahahahaaaa!! Shogaaaa, ina maana wamfanya mwenzako aoge na pesa pembeni au ufunguo wa kisanduku??!!! Hahahahahaaa... Mume hadi aombe watu wamfichie hela, kisa anakuogopa mke mwizi...mbaya zaidi etiiii ulishawahi kumsingizia mtoto??? Hhahahahahaaaaaaa.... vitu vingine sio vya kucheka jamani...Duh, ebu niishie hapo banaaa, mie sitaki kumuumbua zaidi shoga-uyoga wa mie!!!
#KuwaNaMumeMswahiliNayoYatakaMoyoPia
 
Ila thank God maana siku izi shogaa ana ka'wig flaniii iviiii...hahahaaa!! Ingawaje kapo kama kanapeperuka ila mwaya afadhali kuliko kuonyesha #UkokoWaKichwani ... Mwee!!!
Gf na mie mpanaaaaa!!! Hhahahahahahahahahaha.....

Once again, Thank you mume wangu ''mzungu'' kwa zawadi ya pesa... Ubarikiwe darling!!!
 
Aya sasa.. That day i planned nilale hadi saa tano maana a day before nilikuwa nahama..
(Yes...nimehama wapendwa!!!Cant wait to show you where i live now)
But i had kuamka mapema sanaaa maana i had some serious issue to take care that morning before sijaanza kuwa na my in-door's party-mode!!
And namshukuru Mungu maana hiyo issue went successful... The justice was done and i was extremely happy...
#KunaTofautiKatiYaLakiMojaNaElfuIshirini

So baada ya hiyo issue kukamilika tuu, i went for shopping kidogo and buy vitu necessary vya kujifungia na kusherekea then nikapitia Gf Min Depot kuweka some few business matters vizuri then nikajipa a day-off so nikarudi zangu in my new house, getting ready for my in-doors party with few sweet-hearts of mine(wasiopenda publicity)
And by the time cake inafika nadhani mimi kama mimi i was not in a state ya kuweza to pose for a picture maana that dayyyyyy, kiukweli nilizaliwa upya kwa mara ya 30, hahahahahaaaa!!!

All the thanx kwa mpiga picha wangu hata kwa hizi picha chache (Ingawaje zimefifia hatareee) but boraaaa maana by 6th Jan mchana ningeanza kulia pale ambapo ningeamka nijikute sina picha hata moja ya 5th Jan...

Asanteni sana wote mlioni'wish a very happy birthday..I really appreciate!!
Asante pia Mama T's cakes diva kwa cake tamuuuu... Asante Gf min depot kwa vinywaji amazing vilivyonifanya hadi nisikumbuke kupiga picha nzuriiii zaidi... Hhahahahaaa!!! Just jocking wapendwa..
Asanteni na wote pia mnaotumia muda wenu to log in kwa my blog...God bless you all, maana naona viewers mmeongezeka hatareee!!! That's a good thing... Nawapenda sana wote!!

Aya sasa let me get back to my Interior-designing things ili soon niweze kuwakaribisha to a place where i can call home!!! #NewHouseOnFleek


Love and only love...
XOXO!!!

Monday, January 4, 2016

GREATFUL & THANKFULL.....

Hi!!
My moody right now is like...
Ni kwa Neema tuu!!!!

Kila ninapofikiria how far God has brought me yaani nakosa kabisa maneno ya kuongea zaidi ya kusema ''Asante''
I am thankful and greatful indeed!!!

Na ndio maana i consider kila mtu ni rafiki yangu no matter matawi gani upo coz i know where i also came from, and mostly kwa kuwa najua maisha ni safari...hakuna anayeanzia juu, wote tunaanzia chini kuelekea juu kwa msaada wa Mungu!!!
Ingawaje kuna mashoga-uyoga wengiii ila mie still in my heart i consider you all as my friends... Na ndio maana pia nakuwa greatful pale ambapo maneno yangu yanaweza kuwa na nguvu ya ajabu ya kum'badilisha mtu...hahahaaa!! Yes, yaani yanam'change mtu kabisa in such a way nazidi kufurahia this blogging hobby each and everyday...
Wahenga wanasemaga sikio la kufa halisikii dawa but you my dears are not sikio la kufa...Yaani nyie ni wapendwa wangu wa kiukwelii kabisaaa na ndio maana when nawapa msumari wa kuwachoma moyoni you always come back kwenye mstari, na hicho ndicho kinazidi kunifanya niwapende daima...
Sometimes maneno yangu pia yanakera a little bit too much hadi mnapata na pressure za kushuka, yes..i know!! So sio lazima kuyafatilia sanaaaaa...ila how comes if hayo hayo maneno pia yanatoka kwa mtu wako wa karibu kama sweetie-lotion wako???!!!
I am very very sure ni experience ambayo hakuna anayetamani kuipitia... Na ndio maana always nasema kuwa nawapenda coz i am here to give you the love nobody could take it away, the pure love la kukupunguzia stress za maisha, the love from this blog to you all....the real love from Gf!!!
Kesho is my birthday, I am gonna say good-bye to 20's sasa rasmi nitaingia in my 30's... I would not be thankful enough kama sintamshukuru Mungu kuwa in my 20's kuna mtu nilimsaidia kuyabadilisha maisha yake na leo live nimeshuhudia kwa macho yangu... Pia nitakuwa sijatenda haki if sintakuwa greatful kuwa in my 20's kuna watu waliniangalia mimi kama role-model wao na wakawa na maisha yanayotamaniwa na wengi...
I am too thankful and greatfull!!! Maana yote hayo yamenifanya nione how sweet and blessed my 20's were and i am looking forward for a bright and amazing 30's...
Cant wait for tomorrow!!! Cant wait to be 30 years old!!!

I am Blessed and i know it!!!
XOXO...

NEXT LEVEL...

Dears,
How are you all...
Well, mie nipo super fine and thank God nimepona flue..
Sasa leo wapendwa wa mie naomba nianze na promo la ku'take Gf Min-Depot to the next level...Mmmmmh, but before that napenda kuwashukuru sana woteeee mnaonipa support, i feel the love...
Pia wote mnao'pass by my blog pia asanteni sana, na wote mnaoendelea kunipa mastor mastory pia nawakubali hatareee and lastly wooooteeeeee ambao blog yangu kwa njia moja au nyingine imewabadilisha na kuwapa maisha positive, i really love and adore you all sooo very much!!!
Got a lot to tell you guys so stay here and enjoy... Time will come for everything ila sasa naombeni niwe kikazi zaidi, hahahaaa.... #UmbeaNextTime

Aya sasa back to promo la Gf Min Depot baibbbyyyyy!!!
 Hii ni After-Holiday Offer; Gf Min Depot inatoa 10% Discount kwa oda zote za vinywaji zinazoanzia Tshs.100,000 - 500,000 na 15% Discount kwa odder ya kuanzia 510,000 na kuendelea...
This is absolutely the big thing!!! What are you waiting for... Ebu wahi mpendwa uje ujipatie Discount kabambe na tuanze mwaka kijanja!!! Ama vepeeee??!!
 Bila kusahau A free delivery to your destination... (Hii ni kwa waliopo ndani ya manispaa ya Iringa tuu,wengine tutacharge a very fair and affordable transportation charges) Karibuni sana!!!
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kututembelea ofisini kwetu Opposite na Jengo la CCM-Mkoa wa Iringa utaona kibao chenye maandishi GF MIN DEPOT.... Ama tupigie simu namba 0753 891 997... Mteja kwetu ni rafiki!!!
 
 And never forget, we are the best in town!!!
 

 GF MIN DEPOT = NEXT LEVEL...
 
Tunawapenda sana,
XOXO!!

Saturday, January 2, 2016

ON OUR OWN PLANET....

Hi all,
Hatimae leo mpiga picha wangu na yeye kakubali kupigwa picha, Hahahaaa...eti kasema this year will be different, ataanza kupenda tuu na yeye picha hadi ntamkataza, hahahaaa...then akamalizia kuwa he is just kidding!!
He better be kidding maana kama vile naanza kuona watu walivyonuna... Hahahaaa, and he is the only one who can nipatia picha clear, maana hizi za leo ni as if mpiga picha katupiga picha gizani...kiruuuu!!!
 
Bae and i...
 He better kurudi tuu kwenye camera aiseee, i cant get a clear picha hata moja...mpiga picha wa leo kanikomeshaaaaa!!!siwezi hata mtaja maana atagoma next time kunipiga picha...hahahahaaa!!!
 
Duh...asante mpiga picha kwa picha ila nakugawa bureeeeeee!!!!
 Bora niji'ekotite zangu mie na #CarSelfie....
leo naendeshwa mie....
Car-madness...
Flue bado inanipelekesha, you can tell from my face apo flue inavyonikomesha... But i am happy, very happy hata sioni kama naumwa... 
Selfie with my beibe... wakwangu mwenyewe!!! Hahahaa, yes.. wa mie alone darlings!!!
Kupendwa rahaaaa....
Drunk in-love....

Somebody is gonna get me in trouble... hahahaaa, ama ni mimi ambae i'll get him in trouble eeeh?!
On our own planet...

Thank God tumefika salama tulipokuwa tunaenda...hahahaaa!

To be continue...

Nawapenda sana wote...
 XOXO!!

Friday, January 1, 2016

2016 VIBES....

Happy New Year Dears,.
Personally namshukuru sana Mungu kwa kutuvukisha salama 2015, ni kwa neema zake na rehema tumeiona tena 2016... I am thankful for 2015, kiukweli 2015 ulikuwa mwaka wa baraka sana for me!! If i had a chance to change it, i would not change a thing... I am perfect me right now for i am human, i need to be imperfectly perfect!!!!


    And sasa i am very ready for what 2016 has to offer for me...



As ninavyouanza mwaka, nimeamua to set some goals, the goals too big enough to scare me... And hayo yote naamini nitayaweza katika yeye anitiaye nguvu!!!
Before 2016 ends i must take Gf Min Depot to the next level - Yes, next levels babyyyy.... Namuomba Mungu before 2016 ends Gf Min Depot iwe na branches mbili kubwa... Naami penye nia pana njia!!!
So help me Lord...
Mwaka 2016 pia uwe mwaka wa kuandaa a place ambapo me and hubby could settle when we get old...Not just a house, not even a dreamed house...we need a place we can call home!! A place ambapo tukizeeka wajukuu wetu watakuja kututembelea na kuwa proud kuwa tunaenda kwa bibi/babu...
So help us Lord...
2016 uwe mwaka wa less dramas and a lot of money-making deals...Sitaki mapurukushani yasiyo na maana ingawaje ukinichokoza nitakutengea muda maalumu... Sipendi shari ila ya dharura naiweza..
So help me Lord!!! 

2016 mashauzi yataongezeka mara dufu maana i already know kuwa 2016 is gonna be my year!!!!

Mengine mengi na mapya ya 2016 mtaendelea kuyaona as the days go by.. But nawaahidi mambo makubwa na mazuri before 2016 ends!!

Nawapenda sana...

Once again dears,
Happy New Year 2016,
XOXO!!

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT